Sijawahi kuelewa kwa nini kuna watu wanasema mungu ni mmoja ila duniani kuna dini nyingi mbalimbali tofauti kila moja ikiwa na maelezo tofauti kabisa kuhusu mungu.
Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
Msichoke, kila hatua ikemeeni kama haitendi haki.
sasa kampeni , wapinzani wanaonewa sana, serikali , polisi for that matter, imeonesha ushenzi mkubwa.
Wakemeeni na kumtanguliza mungu wa Mbinguni awaadhibu weye dhambi ya madaraka
Nimeamini kumbe wajinga ni wengi sana aisee na wala hauwezi kuona watu wanaojielewa wapo thread za kubishania dini na huu ndiyo mtaji mkubwa wa wanasiasa uchwara kwa sababu watu wanaojielewa wapo bize na constructive topic na sio hizi mada za kujimbwafai kwamba dini fulani ni mbaya na dini...
Majanga ni yetu sote na wanaopatwa na majanga siyo watu wa dini flani au kabila flani. Ni kariba zote z viumbe hai.
Natamani kuwakumbusha viongozi wa dini kwamba disaster management and control ni kazi yao ya msingi kabisa. Wanapobaini uwepo wa mifumo inayochagiza majanga wanapaswa kupiga...
Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji.
Amesema katika Chaguzi za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuwanyima haki baadhi ya wagombea hasa wa upinzani kutokana na...
Wakuu,
Rajab Abdul Kahali maarufu Harmonize amepanda Madhabahuni na kupigwa maombi na Pastor Tony Kapola
===
Harmonize afanyiwa maombi na Pastor Tony Kapola sikuche baada kuonyesha kuvutiwa na mtazamo wa mtumishi huyo wa Mungu na kuandika, "Nataka nione kile ambacho Mungu ataniambia!!"...
Jamaa mmoja hivi anapinga sana uwepo wa Mungu,
Mishipa inamsimama kudai Mungu hayupo, na anatoa hoja za kifedhuli kweli kweli,
Sasa leo ushahidi wa mazingira umeonesha kwamba jamaa ni mkiristo tena ana hasira Kweli kweli kutajwa vibaya wakristo,huyu tumuweke kundi gani?
Nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo.
Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.
Utafiti na uzoefu wangu umenionyesha kuwa watawala wetu wawe wa kisiasa au kiroho huwa wanajitambua kwa asili zao kwanza na dini baadae.
Mfano, Mwarabu ni mwarabu kwanza uislam unafuatilia. Mzungu ni mzungu kwanza dini inafuatia hata wakati mwingine haipo kabisa.
Kwa waswahili waliotawaliwa...
Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza!
Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia,
Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia,
Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
Vitabu vya dini kubwa zote vinamtaja shetani. Na kumsema mabaya yake.
Cha ajabu shetani yeye amekaa kimya tu.
Nimeota muda si mrefu shetani na yeye anashusha kitabu chake mapangoni.. kama waislamu wanavyodai Quran ilivyoshushwa ama kama Musa alivyopewa amri kumi pale mlima sinai.
Kitabu...
Nashangazwa sana hawa watu ambao kutwa kumsema askofu shoo kwa maneno yake ya kumsifu Rais samia lakini watu jamii nyingi ya Watanzania ni mandumilakuwili tu leo hii akitokea askofu akimpiga spana Rais samia watu wale wale waliokuwa wanamsema askofu watageuka kumsifia askofu shoo! Hii nchi ina...
Muziki wa injili umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakilinganisha nyimbo za injili za zamani na za sasa, huku wakidai kuwa nyimbo za zamani zilikuwa na ujumbe wenye nguvu zaidi na wa kina kuliko hizi za sasa.
Je, madai haya yana...