dini

  1. Katika nchi zinazopenda dini duniani, Tanzania ipo nafasi ya tano

    Utafiti ulifanyika,watu wakaulizwa kama dini ni ya maana katika maisha yao; Ya kwanza ni 1. Indonesia. 2. Senegal 3. Pakistan 4. Mali 5. Tanzania. Waliofanya utafiti wanaitwa Pew Research Center
  2. Habari Ndiyo Hii; Hata Viongozi wa Dini Hampo Salama.

    Amani kwako mdau. Viongozi wa madhehebu mmekaa kimya kama waumini/ kondoo wa mazizi yenu wamekamilika. Hali siyo nzuri, mnapaswa kupiga mwangwi kupitia madhabau, hii hali ya utekaji inayoota mizizi nchini kisa tu mwananchi anaongea/ kuandika kuhusu serikali. Mtume Issa bin Mariam, Yesu Kristo...
  3. U

    Fahamu Sifa kuu za Muislamu ni pamoja na kujizuia, uvumilivu, kusamehe, huruma na hawana woga wa kusema ukweli tuifate dini ya mwenyezi Mungu

    Wadau hamjamboni nyote? Hizo ndizo sifa kuu za Muislamu Uslamu ndiyo dini ya haki duniani kote Ni wenye akili. Daima wapo makini, kwa sababu wana ufahamu wa ibada zao. Daima huwahudumia waumini na dini kwa kutumia akili. (al-Mumin, 40/54; az-Zumar, 39/18) Ni wenye kupambana kiakili kwa nguvu...
  4. Watu wa Jadi vs Dini Mnafikra gani kuhusu maisha?

    Jadi ni mila za kale na potofu? vs Dini shughuli za kibiashara ambazo zimeletwa kutudumaza akili? vipi kuhusu pagans/athens?
  5. Raia milioni moja wa Iran wabadili dini na kuwa wakristo

    Wakuu Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam. Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu. Kifupi wairan ni...
  6. Simba & Yanga ni Dini Mpya Tanzania

    Jambo jipya kutokea haimaanishi lile la kale lazima liwe limepotea au limekufa, hivyo naamini nitaeleweka kuwa huu uzi haujamaanisha kuwa Simbana Yanga zimekuwa mbadala(replacement) wa dini na imani za watu. Ila nimekuja kueleza kuwa hizi team zimekua na nguvu ya dini kwa sasa. Soka ndio mchezo...
  7. Simba & Yanga: Dini Mpya Tanzania

    Jambo jipya kutokea haimaanishi lile la kale lazima liwe limepotea au limekufa, hivyo naamini nitaeleweka kuwa huu uzi haujamaanisha kuwa Simbana Yanga zimekuwa mbadala(replacement) wa dini na imani za watu. Ila nimekuja kueleza kuwa hizi team zimekua na nguvu ya dini kwa sasa. Soka ndio mchezo...
  8. Taifa la Israeli linaweza kuwa Taifa la Manabii/Mungu au ndiyo fununu za kufubaza akili za watu kuhusu dini?

    Wakati nasoma O level nimeshuhudia kwa maandishi kuwa kunabiashara inaitwa Triangular Trade ni biashara inayohusisha mabara 3,moja ya bidhaa muhimu ni Watumwa kutoka Afrika siwezi kushangaa Taifa la Marekani kuwa na mchanganyiko wa Rangi. Wakati najiribu kuangalia kwa ukaribu uwepo wa Taifa...
  9. Wasanii wa Bongo Fleva heshimuni dini za watu

    Kitu ambacho nashangaaga sana ni wasanii wa bongo hasa wa kiislamu kutumia themes za kikristo kweny nyimbo zao za hovyo. Kwann wanafanya hivi? Wamekosa content za kuimba? Harmonize, Rayvanny, Baba Levo na Dullah Makabila etc. Kwann wasiingize Qaswida na Swala za Muhammad na Allah kweny nyimbo...
  10. B

    Kwanini viongozi wa dini huwa hawakemei huu uonezi wa Polisi?

    Naamini hawa Viongozi wa CHADEMA ni waumini, tena asilimia kubwa ni wakristo kwa nini Viongozi wa Dini wamekaa kimya au wanaona walichofanyiwa walistairi?
  11. ICON ya wasomali Ilham omar anaolewa na Myahudi soon atabadili dini! Pole Somali conservative

    Ilham Omar na Mumewe mtarajiwa. Mumewe ni Tim, myahudi wa ki-ashkenaz na mfanyabiashara. Soon Israel watakua wana influence somalia
  12. Dini ndio zitakazo tupeleka motoni. Msingi wa Mungu ulikuwa fresh tu hadi hapo Siasa za dini zilipoingilia kati

    Nimekuja kuelewa kuwa tunamuabudu Mungu kwa misingi ilioandaliwa na wanadamu wenzetu. Tunamuenzi Mungu kwa nguzo zilizotengenezwa na wadamu wenzetu. Tunamtukuza Mungu kwa masharti ya wanadamu wenzetu. Yaani ni kama kabla ya kumfikia Mungu inabidi kwanza tutukuze misingi na nguzo za hawa...
  13. Dini ziachwe na ziheshimiwe

    Mimi Mjanja M1 siamini dini yoyote ulimwenguni lakini haimaanishi kuwa sitaki dini ziwepo ulimwenguni. Nimekaa na kutafakari sana endapo kama huu ulimwengu ungekuwa hauna Imani za dini ingekuaje, jibu nililopata ni kwamba binadamu tungeishi kama Wanyama. -Watu wangezaliana hovyo na hata...
  14. M

    Utapeli kwenye dini ni sawa na utapeli kwenye shule hizi za english medium, wazazi stukeni dunia imebadilika,

    Jinsi watu wanavopigwa kwenye hayo makanisa, ndio hizo shule nazo wanavotupiga pesa ndefu, Shule hizo nyingi tofauti na majengo na kumiliki magari ya njano hawana ule ubora ambao dunia ya sasa inahitaji, Dunia iko kasi inahitaji sio kiingereza tu, inataka fani, ubunifu na vipaji ili maisha...
  15. Marekani ilipoteza muelekeo ilipoanza kuchanganya dini na siasa kinyume na malengo ya waanzilishi wake

    Historia ya Marekani ilianza kwa raia walioondoka Ulaya hasa Uingereza kuanzia karne ya 16 kwa sababu mbalimbali lakini kubwa zaidi zikiwa ni mbili, fursa za uchumi na mkandamizo wa dini. Kipindi cha karne ya 15 hadi 17 kulikuwa na mabadiliko makubwa katika sekta mbalimbali Ulaya ikiwemo...
  16. M

    Mambo ya kuulizana dini na kabila hospitalini hayafai

    Kama serikali Haina dini Wala kabila Kuna haja gani ya kuulizwa taarifa kama hizi, nilienda hospitali kutibiwa na Kadi ya NHIF nikawa naulizwa mambo haya imeniuma sana kwa kuwa mimi sioni kama kabila langu na dini yangu kuwa ni vitu vya kujivunia sana naamini kama watu wote ni sawa.
  17. Dhambi 5 zisizoepukika hata kwa washika dini

    Hata uwe mtu wa dini vipi kwa siku angalau utatenda mojawapo ya hizi dhambi. 1. Uongo 2. Uzinzi/uasherati 3. Dhuluma 4. Ubinafsi/Uchoyo 5. Chuki
  18. Kujitia moyo kwenye kupigwa, kuzidiwa na kisha kulalamika wanapolipwa kisasi, kupo ndani ya damu za warabu na washika dini!

    Inanipa shida kubwa sana kuwatafsiri hawa warabu na washika dini! Kufa, wanakufa wao, tena dhahiri, peupe pe, macho yanaona, lakini bado watakwambia, ametukosa! Trampo anasema, nchi zisizostarabika na kupenda Amani, ni eneo la kwenda kutolea haja kubwa huko! Je, ni kwa waarabu? Mi sjui...
  19. G

    Top 10, Nchi zinazoongoza kwa kuwabana wanawake kwenye ajira, Kuna uhusiano na dini ?

    Vyanzo vingi vinaonesha nchi hizi ndio zinaongoza kwa kuwa na imbalanced work force, Yaani baadhi ya nchi kwenye hii orodha ni mwiko mwanamke kwenda chuoni, kazi zinabanwa ziwe kwa wanaume tu.
  20. JF POLL: (Nini sababu ya kuongezeka kwa Atheists na Non-Believers miongoni mwa vijana hapa Tanzania). Majibu ya poll ni baada ya masaa 24

    Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu. 1: Kuongezeka upotoshaji katika dini 2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa. 3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…