A diploma is a certificate or deed issued by an educational institution, such as college or university, that testifies that the recipient has successfully completed a particular course of study. The word diploma also refers to an academic award which is given after the completion of study in different courses such as diploma in higher education, diploma in graduation or diploma in post-graduation. Historically, it can also refer to a charter or official document, thus diplomatic, diplomat and diplomacy via the Codex Juris Gentium Diplomaticus.The diploma (as a document certifying a qualification) may also be called a testamur, Latin for "we testify" or "certify" (testari), so called from the word with which the certificate begins; this is commonly used in Australia to refer to the document certifying the award of a degree. Alternatively, this document can simply be referred to as a degree certificate or graduation certificate, or as a parchment. The certificate that a Nobel laureate receives is also called a diploma.
The term diploma is also used in some historical contexts, to refer to documents signed by a King affirming a grant or tenure of specified land and its conditions (see Anglo-Saxon Charters and Diplomatics).
Wazazi somesheni watoto wenu elimu ya Diploma. Nikipita kwenye AJIRA PORTAL ya serikali wanatangaza sana nafasi za Diploma.
Hii naiona kama nzuri kwa serikali kwa sbb ndio wanaopiga kazi sana kuliko wavaa suti na tai wa diploma. Serikali ikaze hapo hapo safi sana. Kuajiri wengi wa degree ambao...
Za jioni wadau
Naomba msaada wenu mimi nina diploma ya pharmacy nimemaliza mwaka jana nikataka kuendelea mwaka huu lakini nilikosa awamu zota tatu.
Likaja dirisha la huruma la awamu ya nne kwakuwa nilikuwa na cheti cha form six nikajaribu kuombea nacho pale ardhi (nilifanya kama kujaribu tuu...
Ni kama vile Suleiman Matola hapendi kusoma hizi kozi bila kujua anajinyima fursa za maana, ndugu yangu Matola, TFF washatangaza hii nafasi nenda kasome sasa we mzee.
Uongozi wa Simba pangeni ratiba kabisa huyu jamaa apewe nafasi akapate cheti hicho, ikibidi hata yule Sebastian Nkoma naye aende...
Greetings guys of JF nimepost Uzi huu natafuta field ya IT katioa level ya diploma nimetafuta field jimekosa nimeona nije umu kwa ajili ya msaada wenu mkoa was Dar au Dodoma Niko tayari kwenda.
Ni matumaini yangu wote wazima humu ndani. Nimesoma diploma ya procurement and logistic management ila baada ya kuingia bachelor degree nikabadilisha course na kusoma business management, naenda miaka 6 sasa hivi bila ajira, naona nilikosea kubadilisha course.
Naomba kujua kama ninaweza kufanya...
Habari samahan sana kwa kutumia muda wenu lakin nianaombi moji ambalo no ufadhili wa masomo ya diploma kwa mwaka wa masomo 2022/2023.
Naitwa Frank Mabula juma nikijana mwenye umri wa miaka 21 nikijana ninaetoka katika familia ya Mzazi mmoja yaani mama peke.
Nimehitimu kidato cha sita mwaka...
Natumai muwazima wa afya wana JF.
Asikudanganye mtu yoyote siri kubwa ya kwenda degree ya afya ukitokea diploma ni kupata G.P.A KUBWA (KUANZIA 4.5 MPAKA 5.O) Ukipata hiyo G.P.A Hakuna chuo chochote kwa hapa Tanzania utachokosa mkuu haijalishi Umeipatia wapi hiyo GPA yako kubwa maana hawaangalii...
Amemaliza kidato cha 4.
Akachaguliwa kozi ya ualimu ngazi ya cheti.
Alisoma arts ana ufaulu wa division 3.
Ameshindwa kuendelea na diploma ya education kwa sababu utaratibu hauruhusu.
Anataka kusoma Diploma ya kitu kingine lakini hajui asomee nini.
Hivyo anahitaji ushauri wa kusoma kozi...
Habari, naitwa Hamis,
Nimehitimu mafunzo ngazi ya diploma kozi ya Animal Health and Production.
Naomba mwenye nafasi ya kunitafutia mwenzenu kazi ya kujiitolea kwanza kwenye.
Makampuni yanayo relate na Animals ntashukuru sana.
Simu namba 0627544910.
Location Bagamoyo Pwani
Hello wakuu,
Leo ni tarehe ya mwisho kuapply diploma, mimi nataka kuapply diploma ya afya pale UDOM ila nimekitafuta chuo kwenye website ya kuapply ya NACTE sijakiona....Na website yao haina system ya kuapply diploma. Naombeni Msaada tafadhali.
Guys neona nilete hii topic mezani kwa ambae anajua au experience, ukiachana na degree na masters chini kuna diploma na certificate but lets highlight kwa diploma hasa hali ikoje let's say upande wa tech (IT).
Unakuta mtu ana D zake mbili. Anaenda chuo, labda cha kilimo au afya. Anapiga mwaka mmoja Anapewa certificate. Hapo anaweza kwenda kuajiriwa nk. Lakini akiongeza mmoja anakuwa na Diploma. Sasa hii diploma inakuwaje?
Maana kawaida syllabus ya diploma na certificate huwa tofauti kabisa. Kuanzia...
Kwema wakuu,
Nina mpango wa kurudi shule ukubwani. Nimemaliza degree ya engineering UDSM ila nataka nirudi nisome diploma ya afya.
Naomba kufahamishwa Chuo gani cha serikali (Kwa dodoma na Dar) kina hizi kozi (Clinical Medicine/Phamarcy) na maisha ya chuo sio kama ya sekondari?
Yani hakuna...
Naombeni msaada wenu wakuu.
Nimemaliza diploma na nilikuwa napenda kuendelea na elimu ya juu lakini kulingana na hali ya maisha naweza nikashidwe kujihudumia na kama mnavyo fahamu chuo kikuu ni gharama kubwa.
Naomba kufahamishwa kama naweza pata mkopo ili niweze kuendelea na elimu yangu...
Kila nikiingiza equivalent namba napata meseji hii
"Only post request with a payload is allowed"
Ambapo equivalent namba natumia namba yangu ya chuo niliyofanyia mtihani.
Au nakose? Mwenye uelewa tafadhari!
Nimeajiriwa as mwalimu, na ajira yangu nilipata kupitia postgraduate diploma In education, nataka nisome postgraduate diploma in curriculum. Je, inaweza nisaidia kufanya transfer kutoka kuwa mwalimu wa secondary to mwalimu wa vyuo vya ualimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.