Inashangaza, inasikitisha, inakera, inaumiza, inahuzunisha,
Ikiwa Mbunge wa kuchaguliwa hajui kama nchi tuna dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Je mbunge huyu anajua kuwa kuna Ilani ya chama? aliombaje kura kwa Wananchi kama hajui chochote? je anajua yuko bungeni kwa kazi? akiwa kama Mwenyekiti...