dkt. samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ime

    Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Shilingi Bilioni 16 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya, kwa ajili ya Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto, pamoja na...
  2. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 3

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  3. RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  4. Mkurugenzi Karatu: Dkt. Samia Suluhu Hassan ni chachu ya maendeleo kwa wanawake wa wilaya ya Karatu

    Kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu mkoani Arusha, Juma Hokororo, amemtaja Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kama chachu ya maendeleo kwa wanawake wa wilaya ya Karatu kutokana na uwezeshaji wake mkubwa wa kiuchumi na kijamii, kwa...
  5. Pre GE2025 Tanga: Rais Samia agawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza

    Tanga: Rais Samia akigawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza, Tanga Februari 27, 2025. https://www.youtube.com/live/f7YdbNKOKTs?si=3P4VZ7EdvyNewX9Q Ester Barua ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Magila iliyopo Muheza mkoani Tanga akiwa kwenye kiti cha Rais Samia...
  6. Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi. Mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha Wananchi zaidi ya 20,000 Wilayani Korogwe. Mradi huo...
  7. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
  8. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran ya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa muda mfupi kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Tanga, tarehe 23 Februari, 2025.
  9. Rais Samia: Afrika lazima inufaike na thamani ya Kahawa yake – Tunapata 0.5% tu ya Dola Bilioni 500!

    Rais Samia akifungua Mkutano wa 3 wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Afrika Februari 22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/g5djiMf20HY?si=9JV2vTK9WBrKcyKu Wageni kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika wakishiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Barani...
  10. Pre GE2025 Baraza kuu la UWT Same lampongeza Rais Dkt. Samia

    Baraza kuu la UWT Wilaya ya Same lampongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumtunuku cheti Cha Pongezi kwa kazi nzuri anazofanya kwa wanachi huku wakimpongeza kwa kuteuliwa Kuwa Mgombea Pekee wa Nafasi ya Urais na kumuahadi kuendelea kusema Yale mazuri yote aliyofanya ndani ya kipindi...
  11. Pre GE2025 Mjumbe Kamati Kuu CCM, Mamuya: Hakuna anayeweza kushindana na Dkt. Samia

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Halima Mamuya amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan hatakuwa na mpinzani katika uchaguzi mkuu wa 2025 kwa sababu licha ya kwamba ni Rais lakini pia ni Mama mlezi wa Taifa. Amesema...
  12. Pre GE2025 Shamira Mshangama: Vijana lazima tuyaseme makubwa yanayofanywa na Dkt. Samia

    Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa Viti Vitatu Tanzania Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa vijana kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Shamira Mshangama katika ziara yake ya Mkoani Simiyu...
  13. Pre GE2025 Mrisho Gambo: CCM tumekaa tumesema sisi 2025 mgombea wetu ni Dkt. Samia, wewe yasiyokuhusu unapiga porojo unapoteza muda

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo amesema Chama cha Mapinduzi na wanachama wake wameshafanya maamuzi ya kumteua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea wa Urais hivyo wanaopiga kelele wanapaswa kukaa kimya kwa sababu wao sio wanachama wa Chama hicho. Soma, Pia: Wajumbe...
  14. Pre GE2025 Mjumbe UVCCM Taifa: Vijana tuna jukumu la kutafuta kura za Dkt. Samia

    Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa (Viti Vitatu bara) Ndg. Shamira Mshangama amepokelewa katika Wilaya ya Musoma mjini, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana wa CCM katika mikoa, Wilaya, kata, matawi na shina kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu 2025. Ndg...
  15. Wakili wa Kujitegemea, Joseph Mahando:Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikukiuka Katiba wala sheria yoyote kwa kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombe

    Wakili wa Kujitegemea, Joseph Mahando, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikukiuka Katiba wala sheria yoyote kwa kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wake wa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.Akizungumza kuhusu mjadala ulioibuka kuhusu uhalali wa mchakato huo, Wakili Mahando...
  16. Rais Dkt. Samia awasili Harare Zimbabwe

    Matukio mbalimbali ya kuwasili kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Mugabe, Harare nchini Zimbabwe kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika leo...
  17. Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia

    Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan Ikiwa zimebaki siku 29 kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, Tanzania inajipanga kuandika historia kwa kuwa mwenyeji wa tukio hili kubwa. Mkutano huu, unaotarajiwa...
  18. Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,235.1 mwaka 2020 hadi 15,366.36 mwaka 2024. Huo ni utekelezaji wa ujezi wa barabara zenye urefu wa kilomita 2,131.26. Pakua Samia App kupitia...
  19. Tanzania ipo mikono salama chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    Tanzania ipo mikono salama chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Rais Samia ni Amiri Jeshi Mkuu na anahakikisha mipaka ya Tanzania ipo Salama na watanzania wanakuwa na tabasamu kila kukicha. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  20. Hapi atema cheche Shinyanga "Tumejipanga kuhakikisha Dkt. Samia anapata ushindi wa sunami"

    Na Mwandishi Wetu KATIBU MKUU WAZAZI ALLY HAPI AWATAKA VIONGOZI KUTOA USHIRIKIANO KWA MBUNGE KATAMBI. KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ndugu. Ally Salum Hapi (MNEC) amewataka viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wajumbe wa mkutano mkuu kumpa ushirikiano wa kutosha Mbunge wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…