Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mheshimiwa Rais,
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, napenda kuchukua fursa hii kukuandikia barua hii ya wazi. Kwanza kabisa, naomba nikupongeze kwa uongozi wako wa hekima na maono, ambao umeendelea kuleta...
Kalamu ya: Leah D. Mbeke
Kutoka: CCM Makao Makuu
Neno falsafa ni neno la Kigiriki, ambapo mwanafalsafa ni mpenzi au mfuasi (philia) wa hekima (sophia). Mtu anayefanya kazi katika uwanja wa falsafa anaitwa Mwanafalsafa. Mwanafalsafa ni aina ya mtu wa fikra na mtafiti.
Rais Samia Suluhu Hassan...
Rais Samia Suluhu Hassan Aorodheshwa Kama Kiongozi Bora Afrika Mwaka 2023
Dar es Salaam, 15 Agosti 2024 – Rais Samia Suluhu Hassan ametambuliwa kama kiongozi bora Afrika kwa mwaka 2023 na gazeti la The African Times USA. Tuzo hii muhimu inadhihirisha uongozi wake wa kipekee na mafanikio makubwa...
Rais Dkt. Samia ameridhia ombi la wanaushirika la kuunga mkono juhudi zao ya kuanzisha Benki ya Ushirika ya Taifa kwa kuchangia mtaji wa Shilingi Bilioni 5.
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wahitimu wa Kozi ndefu ya mwaka 2023/2024 katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kutumia maarifa waliyoyapata katika kazi zao kwa manufaa yao na nchi zao.
Rais Dkt. Samia ametoa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali Mtumba Mkoani Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada mbalimbali za kufungua Mkoa wa Katavi kwa kuboresha miundombinu ikiwa ni pamoja na ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami ili kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji.
Rais...
RAIS DKT. SAMIA AIPA HONGERA NSSF
Na MWANDISHI WETU, Katavi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi kwa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) baada ya kuelezwa mafanikio mbalimbali ambayo NSSF imeyapata katika kipindi cha miaka mitatu ya...
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ametumia dakika 127 sawa na saa 2 na dakika saba kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/25 huku jina la Rais Samia Suluhu Hassan akilitamka mara 40.
Dk Mwigulu ameanza kusoma bajeti hiyo leo Alhamisi, Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma kuanzia saa...
Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano
Hotuba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa kuhusu Miaka 60 ya Muungano. 25 Aprili, 2024. Dar es Salaam.
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali Duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa kuongezeka kwa masoko ya bidhaa za Tanzania, biashara, uwekezaji, utalii na tekbolojia nchini.
Rais Samia ametoa pongezi...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Jokate Mwegelo amesema kuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wake kwakuwa amefanya makubwa katika sekta mbalimbali za Afya, Elimu, Miundombinu, Maji...
-Ukusanyaji wa Maduhuli ya Serikali Katika kipindi cha kuanzia Machi 2021 hadi Februari 2024, Wizara kupitia Tume ya Madini imeendelea kutekeleza jukumu la ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali yatokanayo ada za mwaka za leseni, ada za ukaguzi, ada za kijiolojia, mrabaha, fines, penalties and...
MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Mzeru, amewataka wanawake katika maeneo mbalimbali hapa nchini kuwa mstari wa mbele kumuunga Mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Serikali yake kwa kazi kubwa anayoifanya kuleta maendeleo kwenye jamii na...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali imeamua kwa dhati kuendeleza vyanzo vya umeme wa Jotoardhi ili kuhakikisha nchi inazalisha umeme wa kutosheleza mahitaji ya wananchi wake.
Amesema chanzo hicho cha umeme kitaongeza nguvu katika vyanzo vilivyopo vya Maji...
TAFAKURI KWA WANAWAKE WOTE JESHI LA DR SAMIA
📌 Dar es salaam, 📝 29/01/2024
Wanawake wa mkoa wa Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan, Mwanamama shupavu, jasiri, mstahamivu, mwenye subira, Maono na mwenye khofu ya mungu, anahakikisha haki ya mtu...
Kulingana na hali ya kisiasa na matukio ya awali, Huu ni muktadha wa jinsi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alivyoweza kuimarisha ustahimilivu katika demokrasia ya Tanzania hadi wakati huu.
1. Mwelekeo wa Kusikiliza na Kujenga Ushirikiano
• Rais Samia ameonyesha mwelekeo wa kusikiliza...
Nimekuwa nikitafakari sana kwa kina kuhusu 4R za Rais Dkt. Samia. Leo nimeona niwezekutoa ufafanuzi.
Hebu ungana nami katika kuelewa jambao hili.
Reconciliation (Maridhiano)
Rais Dkt. Samia anaamini katika kujenga jamii yenye maridhiano na maelewano. Amesisitiza umuhimu wa kuwa na msimamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.