dkt. samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Ludewa tunasema asante Rais Samia Suluhu Hassan

    LUDEWA TUNASEMA ASANTE MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN Wilaya ya Ludewa tunamshukuru Rais wa Jamhuri wa Muugano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hasani kwa kuipatia fedha Wilaya ya Ludewa Milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa BOOST. Nimefanikiwa kukagua miradi yote ya BOOST Wilayani...
  2. Stephano Mgendanyi

    Wananchi Kata ya Makame (Jimbo la Kiteto) Wamshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Miradi Mingi ikiwemo ya Umeme

    Wananchi wa Kata ya Makame Wamemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mbalimbali mingi ya Maendeleo huku wakimuomba Mbunge wao, Mhe. Edward Ole Lekaita kumfikishia Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Salamu za Pongezi na shukurani nyingi kutoka kwa Wananchi. Mhe. Edward Ole Lekaita...
  3. Mwanamayu

    Mhe. Rais Dkt. Samia akiendelea kufungua nchi!

  4. H

    Rais Samia Suluhu Hassan avunja ukimya kuhusu yanayo endelea mtandaoni

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ahutubia Kamati ya Vyama vya Siasa Jijini Dar es Salaam Dar es Salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alitoa hotuba muhimu leo katika mkutano wa Kamati ya Vyama vya Siasa uliofanyika jijini Dar es Salaam. Hotuba...
  5. Meneja Wa Makampuni

    DED na DC wa Wilaya ya Mtwara Waliohamisha Mradi Hawafai Kukaa Ofisini: Rais Dkt. Samia Amechukua Hatua Sahihi kwa muda sahihi

    Nakupongeza sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanya uamuzi wa kuwatimua kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya (DED) na Mkuu wa Wilaya (DC) wa Wilaya ya Mtwara, kufuatia maamuzi yao ya kuhamisha mradi kutoka kata moja kwenda kata nyingine kutokana na...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mhandisi Fatma Rembo - "2025 Tuna Jambo Letu Ambaye ni Dkt. Samia Suluhu Hassan na Hatuna Mwingine"

    Mjumbe wa Baraza la Jumuiya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa, Mhandisi Fatma Rembo akizungumza na Wanawake wa Mafinga Mji, Iringa amewaomba waendelee kushikamana kwani tunaelekea kwenye Uchuguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na Uchaguzi...
  7. Stephano Mgendanyi

    Wilaya ya Ludewa Tunasema Asante Sana Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    LUDEWA TUNASEMA ASANTE MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Wilaya ya Ludewa tunamshukuru Rais wa Jamhuri wa Muugano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hasani kwa kuipatia fedha Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa Boost katika kipindi cha mwaka wa fedha...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Dkt. Samia: Kinachotokea bandarini nitakisomea Ikulu

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo June 09,2023 amefungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Biashara (TNBC), Ikulu Dar es salaam ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba kazi kubwa inaendelea kufanyika ya kuboresha mifumo ya TEHAMA kwenye Sekta za Umma ili...
  9. K

    Shule ya Dkt. Samia Suluhu Hassan visiwani Zanzibar

    Ikiwa leo ni maadhimisho ya miaka 59 muungano wa Tanganyika na Zanzibar, tunatambua kazi kubwa inayofanywa na viongozi wetu Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu na Rais Dkt. Hussein Mwinyi katika kuleta maendeleo ya Tanzania. Tanzania ilipata mkopo wa ahueni ya UVIKO-19 na maelekezo ya Rais Samia ni...
  10. N

    Rais Samia tafadhali soma hapa na ujumbe ukufikie

    Mh. Rais Dkt. Samia, Kwanza naomba unisamehe kwa lugha ngumu nitakayoitumia hapa ili kukufikishia ujumbe huu kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania. Nikurejeshe siku uliokula kiapo pale Ikulu ya Dar es Salaam, ukiwa kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania uliapa kuilinda nchi hii...
  11. Stephano Mgendanyi

    Waziri Jenista Mhagama Apongeza Miaka Miwili ya Rais Samia Madarakani

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Songea Vijijini Mhe. Jenista Mhagama amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani 19 Machi, 2021 - 19 Machi, 2023 Mhe...
  12. J

    Mbeya: Wananchi wa Chimala waonesha furaha yao kwa Rais Samia

    Wananchi wa CHIMALA washindwa kujizuia kuonyesha furaha yao Kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Askofu Dkt. Josephat Gwajima uliofanyika Chimala, Mkoani Mbeya. Mkutano huo umefanyika Tarehe 9, Machi, 2022
  13. K

    Utekelezaji: Shule ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ruvuma

    Mwonekano wa Ujenzi wa Shule mpya maalum ya Sekondari ya Bweni na sayansi ya Wasichana katika Mkoa Ruvuma kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita iliyosajiliwa rasmi kwa jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan inayojengwa katika Halmashauri ya Wilaya Namtumbo. Ujenzi wa shule hiyo Mpya unatekelezwa...
  14. J

    Nampa 100% Rais Samia

    Kongole Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Umeifungua Tanzania, Watalii wanamiminika wa kutosha, umemwaga ajira, umepandisha madaraja kwa watumishi sasa ni neema tupu. Umeboresha huduma za Jamii, sasa elimu bure Darasa la (I) kwanza hadi kidato cha Sita (VI) Mikopo ya kutosha kwa wanafunzi wa...
  15. Msanii

    Uwepo wa asali katika picha ya Ikulu Mbowe alipokutana na Dkt. Samia ina maana gani?

    Heri ya Mwaka Mpya wana JF nyote. Nimekutana na picha ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA bw. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia lakini baada ya kuiangalia sana nimeona kwenye mandhari ya nyuma ya picha kumewekwa chombo chenye asali ndani yake. Nimejiuliza maswali mengi bila majibu. Kwa...
  16. peno hasegawa

    Freeman Mbowe kukutana na Dkt. Samia Ikulu Desemba 31, 2022 yawa kilio kwa Mbunge Saashisha Mafue

    Kitendo cha Freeman Mbowe kukutana na Dkt. Samia Ikulu Desemba 31, 2022 kimemfanya mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafue kumalizia mwaka 2022 na kuanza mwaka 2023 vibaya. Hii imetokana na mwaliko aliyokuwa amealikwa lama Mgeni rasmi kutokuoneka na bila kutoa taarifa ya udhuru jambo ambalo...
  17. Roving Journalist

    Rais Samia: Wanaosema tunakopa sana, waseme pia tunalipa sana

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia Sherehe ya Utiaji Saini Mkataba wa SGR LOT 6 (Tabora - Kigoma) katika Ukumbi wa Kikwete Hall - Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 20 Desemba, 2022. Utiaji saini huo utahusisha kati ya Serikali kupitia Shirika la Reli na Kampuni za ubia wa CCECC na...
  18. Roving Journalist

    RC Makalla: Rais Dkt. Samia ameidhinisha Bilioni 4 kujenga madarasa 207 Wilaya ya Temeke

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, leo Desemba 13, 2022 ameendelea na ziara ya ukaguzi Maendeleo ya Ujenzi wa vyumba vya madarasa Mkoa huo ambapo ilikuwa zamu ya Wilaya ya Temeke, ameelekeza Halmashauri hiyo kuhakikisha madarasa yanakamilika kabla ya Desemba 30, 2022. RC Makalla...
  19. K

    CHADEMA, ACT Wamkaribisha kwa Shangwe Dkt. Samia Suluhu mkoani Lindi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu leo alishiriki kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani ambapo kitaifa yalifanyika mkoani Lindi. Mapokezi ya Rais Samia mkoani Lindi yalihudhuriwa na wananchi mbalimbali wakiwemo wananchama wa vyama vya Upinzani kama CHADEMA...
  20. msuyaeric

    Rais Dkt. Samia aweka rekodi ya mapokezi ya wananchi mkoa wa Lindi

    Wakazi na Wananchi wa Mkoa wa Lindi wamejitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi kwa ajili ya kumpokea Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye amewasili mkoani humo kwa ajili ya kushiriki siku ya Ukimwi Duniani. Kwa mujibu wa Wananchi wa Lindi waliokua wamevaa sare maalum...
Back
Top Bottom