dodoma

  1. Simba mliacha kuandaa timu mkaenda Dodoma kwenye sherehe za CCM

    Mliacha kuandaa timu,mkavalishwa madera ya kijani na njano rangi xa timu ya Chasambi Sisi ni wekundu jamani rangi za matunda na mbogamboga wapi na wapi
  2. Wastaafu Kufuata Huduma ya NHIF Dodoma Sasa Limekwisha

    Wastaafu Kufuata Huduma ya NHIF Dodoma Sasa Limekwisha "Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita Aliandika Barua Kwenda Wizara Ya Afya Kuomba Wazee "Wanatakiwa Wasije Hapa Dodoma Ama Kwenda Ofisi Za Mikoa Kwenda Kuhudumiwa Kule Na, Tumeiona Barua Yako na Mimi Nikwambie Sasa Wale...
  3. Jenista Mhagama: Ujenzi wa Ghala la MSD Dodoma Wakamilika kwa 95%

    JENISTA MHAGAMA: UJENZI WA GHALA LA MSD DODOMA LAKAMILIKA KWA ASILIMIA 95 Ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200, litakalogharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 23.7 umefikia asilimia 95. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya...
  4. Mchengerwa: Utaratibu unaotumika stesheni ya SGR Dodoma ni mbovu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amekosoa utaratibu unaotumika wa abiria kuingia na kutoka stesheni kuu ya treni ya mwendokasi (SGR) Dodoma, kuwa umekuwa ukileta adha kwa abiria, hivyo ametoa maagizo kwa uongozi wa mkoa wa Dodoma...
  5. Maktaba ya CCM Dodoma

    MAKTABA YA CCM DODOMA Maktaba ya CCM Dodoma imesheheni vitabu vingi na majarida mengi. Mara ya mwisho miaka mingi iliyopita nilipokuwa hapo maktaba ilikuwa chumba kitupu mfano wa ukumbi mrefu wenye viti na meza mtu akakaa na kujisomea. Leo Maktaba ya CCM ni Maktaba hasa yenye meza na viti...
  6. Wakati wenzao wanajiandaa na mchezo wao wakajiona tayari mabingwa wakaenda kuzurura bungeni dodoma

    Weka neno moja kisha pita kimyakimya 😀
  7. Jenista Mhagama: Ujenzi wa bohari ya dawa Dododma umefikia asilimia 95%

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, amesema ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200, litakalogharimu zaidi ya Tsh. bilioni 23.7 umefikia 95%. Mhagama amesema hayo leo February 6, 2025 wakati akikagua ujenzi wa ghala hilo...
  8. Kondoa, Dodoma: Ujenzi wa shule ya sekondari iliyogharimu milioni 544, wanafunzi wapya watakiwa kufanya vizuri kwa kupata daraja la kwanza

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Shaban Millao amewataka wanafunzi wa shule mpya ya Mnenia Sekondari kufanya vizuri kwenye mitihani yao na kuhakikisha kwamba wanapata Daraja la Kwanza (Division One) wote kwani wao ndio wanafunzi wa kwanza hivyo wanapaswa...
  9. Dodoma: NEMC Kanda ya kati, kufanyia kazi Malalamiko kuhusu athari za sauti. Imekagua na kutembelea miradi 603 ya uwekezaji

    Dodoma: BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Kanda ya Kati kwa kipindi cha Julai, 2024 hadi Januari, 2025, limekagua na kutembelea miradi 603 ya uwekezaji katika Mikoa ya Dodoma, Iringa na Singida ikiwa ni asilimia 75 ya makadirio kwa mwaka 2024/25. Kaimu Meneja wa NEMC...
  10. Mbunge ailalamikia barabara ya Iringa - Dodoma kuwa na mashimo mengi

    Mbunge wa viti maalumu wa Chadema ameihoji serikali kuhusu mpango wa kuijenga kwa upya barabara ya Iringa - Dodoma ambayo imekuwa na mashimo hali inayoondoa hadhi ya barabara hiyo kuunganisha mikoa miwili Kwa mujibu wa Naibu waziri wa ujenzi na uchukuzi Mha. Godfrey Kasekenya amesema serikali...
  11. Pre GE2025 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma: Maadhimisho ya Kuzaliwa Kwa CCM 05 Februari, 2025 kutakuwa na uji bure kwa wananchi

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Rosemary Senyamule Amewaomba Wakazi wa Dodoma na Wananchi Wote Kwa Ujumla Kufika Mapema Katika Maadhimisho ya Kuzaliwa Kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Yatakayo Fanyika Katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma Tarehe 05 Februari 2025. “Hapa ningependa kutumia nafasi hii...
  12. Tetesi: Boniface Jacob (Boni Yai) yupo Dodoma, kuna nini?

    Leo nikiwa maeneo ya Dodoma Hotel nimemshuhudia Mwanasiasa Machachari Boniphace Jacob maarafu kama Boni Yai akiwa viunga vya maeneo ya Dodoma hotel Bony aliongozana na washkaji wawili ambao siwafahamu majina pia wakiwa na Msaidizi wa Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM Je, Bony kakimbia chama ama...
  13. Hapa Dodoma kuna watu washambashamba sana wanajifanya wapelelezi

    Wamevaa vikofia vyeusi kwenye maeneo ya starehe wana act kishamba shamba sana. Walugaluga wakubwa, ushamba sana.
  14. L

    Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa kwa CCM. Chama ambacho kimeendelea kubeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania, chama...
  15. Rais Samia azindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Toleo La 2023, Dodoma

    https://www.youtube.com/watch?v=gVEY5kDgETg Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho kuhusu masuala mbalimbali ya Elimu kabla ya kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete...
  16. A

    Natafuta kazi yoyote ya halali. Napatikana Dar es Salaam

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Naombeni mnisaide kazi, mahali pa kujitolea au hata ushauri, Nina Shahada ya Uchumi na Takwimu na nipo vizuri hasa kwenye masuala ya hesabu. Iwe ndani ya fani au nje ya fani muhimu ya halali tu. Napatkana Dar es Salaam Mawasiliano yangu ni; 0784990919...
  17. Mkutano wa Nishati ungefanyika Dodoma! Wageni wangelala na kustarehe wapi?

    Ushamba ni mzigo sana kwa Watanzania! Baada ya Jiji la Dar es Salaam ku host Mkutano Mkuu wa Nishati wale Team Dodoma wamefura sana eti Mkutano ungefanyika Dodoma. Labda tuwaulize tu wale Team Dodoma. Mkutano ungefanyika Dodoma Wageni wangelala wapi? Dodoma Hotel? Domiya? Au pale Rafiki...
  18. Shughuli zote za Kiserikali zifanyike Dodoma, Dar Es Salaam iachwe kwa mambo ya Biashara tu

    Binafsi nimuombe Rais Samia S. Hassan aongeze kasi ya kuijenga Dodoma ili shughuli zote za kiserikali including zake mwenyewe zifanyikie Dodoma. Dar es Salaam tuiache ipanuke kibiashara zaidi. Mikutano yote ya kitaifa na kimataifa ya kiserikali ifanyikie Dodoma. Marais wakija Tanzania waende...
  19. Pre GE2025 Dodoma: Machinga kusherekea siku ya kuzaliwa Rais Samia kwa kutoa punguzo la 30% kwa bidhaa zote

    Wakuu, Kunaanza kunoga huko😂😂😂. ===== Wamachinga wa Soko la Wazi la Machinga Complex, jijini Dodoma, wameandaa sherehe ya kipekee kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, itakayofanyika Januari 27, 2025. Katika kusherehekea...
  20. Pre GE2025 Mbunge Mavunde Awawezesha Kiuchumi Wafanyabiashara wa Soko la Sabasaba Jijini Dodoma

    ▪️Awapatia miradi ya Kiuchumi na kutunisha mfuko wa Kikundi. ▪️Wafanyabiashara wamshukuru kwa kuwajali na kuwaendeleza kiuchumi ▪️Wampongeza Rais Samia kuboresha miundombinu ya masoko Jijini Dodoma 📍Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini Mh. Anthony Mavunde ameahidi kuwaendeleza kiuchumi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…