dodoma

  1. U

    Dkt Samia Aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachoketi leo tarehe 17 Januari 2025, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika...
  2. chiembe

    Pre GE2025 Dodoma imejaa ikatapika: Kuna mtu kabaki Dar?! CCM yafunika, ni shangwe kila mahali kuelekea mkutano mkuu wa CCM

    Uko Dar? au mikoani? Unafanya nini? Mpaka Bozi Boziana yuko Dodoma! Ni mkutano mkuu wa chama kongwe kuliko vyote Afrika. Ni mkutano ambao unaenda kupanga sera za nchi kwa ajili ya vizazi vingi vijavyo. Baada ya kukaa na wana CHADEMA wenzangu tukitukanana kwa karibu wiki nne, twende kwenye...
  3. Waufukweni

    Wasanii mbalimbali watua Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM: Hivi, Wanaenda kwa lengo la Maendeleo au Wanatumika kwa Agenda za Kisiasa?

    Wakuu Kama mnavyoona picha hapo chini, Ingawa ni haki yao kushiriki, ni muhimu kujiuliza: Je, wasanii hawa wanapochangia katika majukwaa ya kisiasa wanachangia kwa lengo la kuleta mabadiliko ya Kimaendeleo au Wanatumika kama vifaa vya kuendeleza agenda za kisiasa za CCM? === Wasanii...
  4. Cannabis

    Kuelekea Mkutano Mkuu maalum wa CCM, Dodoma yageuka kuwa kijani tupu

    Hali ya Dodoma ni kama inavyoonekana kwenye picha.
  5. P

    Anahitajika mwalimu wa English language., Shule IPO wilaya ya chemba mkoa wa dodoma (Kijijini sana) ila umeme na maji vipo. ..Pia shule ni ya serikali

    Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo) Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree 0695252896
  6. Faana

    Kwa anayefahamu, naomba msaada: Vituo vya treni ya SGR kati ya Dar es Salaam na Dodoma ni vipi?

    Naomba mwenye ufahamu wa vituo vya Reli ya SGR kati ya Dar na Dodoma anisaidie hapa ili nivifahamu
  7. KIXI

    Uwanja wa Mpira Dodoma: Ndoto au Uhalisia?

    Wadau, nilisikia miaka ya nyuma kulikuwa na mipango ya kujenga uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu hapa Dodoma, lakini hadi sasa sijasikia maendeleo yoyote makubwa. Swali langu ni, huu uwanja unajengwa kweli au ndoto hizi ziliondoka pamoja na Mzee wetu aliyekuwa na maono hayo? Kama kuna yeyote...
  8. Yesu Anakuja

    KERO Bwawa la mavi Dodoma lipo katikati ya jiji karibu na ofisi za Waziri Mkuu

    Likizo yangu ya mwaka jijini Dodoma ilikuwa nzuri, tumshukuru magufuli kwa kuhamishia Serikali Dodoma, pamepambazuka sana, pamechangamka, kuanzia saa moja usiku hadi saa sita usiku panakuwa pamekucha. Sinywi pombe ila kwa wafanyabiashara nyingine safi, ni mji mzuri kwa biashara. Sisi wengine...
  9. Decisive

    MWISHO WA KUHAMIA DODOMA

    Wadau hivi ni lini mwisho wa taasisi zote kuhamia Dodoma nimewamiss wagogo plus mji sasa hivi umekua mzuri na miundo mbinu ya kutosha.
  10. Carlos The Jackal

    Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

    Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!. Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano. Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa...
  11. Megalodon

    Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

    Taarifa zilipofika Bungeni, chap watu wakawahi eneo la tukio kisha Hospital. Kufika Hospital, Katibu Wizara ya Afya wa wakati huo , this great man , Dr. Ulisubisya , Daktari wa Kuua na Kufufua ( Anesthesiologist)akawahi kuingia Theater for bleeding management and major first aid akishirikiana...
  12. Waufukweni

    TRC yaomba radhi baada ya Treni ya SGR kukwama njiani Januari 8, 2025

    Shirika la Reli Tanzania (TRC), linapenda kutoa pole kwa abiria waliokuwa wakisafiri kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma Januari 8, 2025 kufuatia usumbufu uliojitokeza kutokana na hitilafu ya kiufundi iliyotokea katika kituo cha Ihumwa Dodoma majira ya saa 5:38 usiku. Tunajua kuwa safari...
  13. JanguKamaJangu

    DOKEZO Treni ya SGR ya Dar - Dodoma imesimama Morogoro kwa Saa Mbili, kisha imezima tena kabla ya kufika Dodoma

    Mimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa. Safari yangu ni kuelekea Dodoma, matarajia ya kuwasili yalikuwa Saa 3:30 asubuhi baada ya hapo ilikuwa nielekee kwenye...
  14. milele amina

    Mrithi wa Kinana kujulikana Januari 19 Dodoma, Fomu za kugombea na kuomba nafasi hiyo zinapatikana wapi?

    Ninaomba,msaada wenu! Mimi ni mwanachama wa CCM tangu mwaka 1977. Ninahitaji kupata fomu kugombea nafasi ya Kinana! Fomu zinapatikana wapi!
  15. A

    KERO Tatizo la Maji Machafu Dodoma - Area D, Mtaa wa Mganga/Mtawa

    Yahusu: Tatizo la Maji Machafu Dodoma - Area D, Mtaa wa Mganga/Mtawa Habari, Tunapenda kuwasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya maji machafu yaliyotapakaa barabarani katika eneo la Dodoma - Area D, hasa mtaa wa Mganga/Mtawa karibu na zilipokuwa ofisi za Pembejeo. Kwa sasa, kinyesi kimeenea...
  16. Waufukweni

    Pre GE2025 CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma. Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan kutafanyika uchaguzi wa makamu...
  17. supercharger GT

    Nimekuwa nahangaika na masomo ACCA kwa muda mrefu bila mafanikio

    Habari wakuu? Mwaka mpya umeanza kwa kasi, inabidi tuanze punguziana machungu sasa. Mimi niko Dodoma, kuna namna nimekuwa nahangaika na masomo ACCA kwa muda mrefu bila mafanikio. Naomba kwenye uzi huu kama watapatikana wenzangu ambao nao wapo huku Dodoma na wana changamoto kama yangu...
  18. Waufukweni

    Kaka wa Tundu Lissu aibua masikitiko juu ya ukimya wa uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi (Lissu) Dodoma

    Alute Munghwai, Kaka wa mwanasiasa maarufu wa upinzani, Tundu Lissu, ameonyesha masikitiko makubwa kuhusu ukosefu wa maendeleo katika uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi kwa ndugu yake jijini Dodoma miaka saba iliyopita.. Akizungumza kwa masikitiko makubwa, amesema: “Ukumbuke alivyoshambuliwa...
  19. Mayor of kingstown

    Huduma ya uchimbaji wa visima Dodoma

    Hii ni dodoma tu na wilaya zake zote tuna tambua tabu ya upatikanaji wa maji dodoma, ivyo Kwa mahitaji ya: -kuchimba kisima kirefu au kifupi kwa matumizi ya nyumbani, shamba au mifugo -kusafisha (flushing) na marekebisho ya kisima -kufunga pump na matengenezo ya pump -na mahitaji mengine...
  20. Z

    Nashauri Makonda ahamishiwe Dodoma ili Makao Makuu yachangamke

    Heri ya mwaka mpya 2025. Kwa muda mfupi tumeshuhudia jinsi RC Makonda alivyo waunganisha wa chuga na kufurahia maisha kwa pamoja. Wamepokea mwaka 2025 kwa shangwe kubwa. Hakika Arusha kumechangamka kwa ubunifu wa RC Makonda. Nashauri kama itafaa, RC Makonda ahamishiwe Makao Makuu Dodoma ili...
Back
Top Bottom