dodoma

  1. M24 Headquarters-Kigali

    Huenda Dodoma kuna kiwanda cha Toyota /Nissan V8 na hatujui

    Dodoma haipit dakika 5 hujapishana na chuma V8 inakata mitaa, FULL AC. Kiwanda Kipo sehemu gani hapa Dodoma? *Tumeshindwa kabisa kuweka vipaumbele?
  2. M24 Headquarters-Kigali

    Dodoma hakukaliki, V8 zapishana highway

    1. V8 zinatembezwa mwanzo-mwisho (400-1000kms) ifikapo weekend kisha kurudi Dom J3 alfajiri. Hapo NI mbali na wanaosafiri na ndege, SGR kila weekend kwa gharama za mwajiri wao. 2. Hii si sawa kwa walipa Kodi. Maendeleo tutasikia kwa Wenzetu arabuni Destinations: Dar, Arusha, Iringa,Mbeya na...
  3. Mzee wa Code

    Gharama za Maisha Dodoma: Mabadiliko ya Haraka Yanavyowatesa Wakazi Baada ya Serikali Kuhamia, na Ujio wa Sgr

    Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa katika uchumi wa jiji, ambapo wenyeji wa zamani wa Dodoma walijikuta wakifurahia faida za muda...
  4. Mindyou

    LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Dodoma aliyekimbia na daftari wakati wa Uchaguzi aripoti Polisi

    Wakuu, Mnakumbuka yule Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Dodoma ambaye siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa alikimbia na daftari la wapiga kura akidai kuwa kuna hujuma zimefanyika? Inaonekana sasa "watu wa system wameanza ku-deal nae. ========================================================...
  5. mdukuzi

    Ikulu ya Dodoma imetelekezwa? Rais Samia anatumia ya Dar es salaam na Tunguu Zanzibar

    Ikulu ya Dodoma imetekekezwa? Rais Samia anatumia zaidi ya Dar es Salaam au Tunguu Zanzibar. Je huu ni uungwana?
  6. Q

    Wabunge watatu waliopata ajali wahamishiwa kitengo cha mifupa MOI.

    Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI. Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo.
  7. Mkalukungone mwamba

    Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI

    Wakuu! Ile ajali ya wabunge ukitazama kama ilikuwa ndogo lakini baadhi ya wabunge hali zao bado ni mbaya hadi wamehamishiwa MOI au tuseme maombi ya baadhi a wabongo? ===================== Wabunge watatu majeruhi wa ajali ya basi la Kampuni ya Shabiby waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya...
  8. Mzee wa Code

    DOKEZO Jiji la Dodoma kuna changamoto ya mpango mji, Watu wengi wanaishi maeneo hatarishi

    Hali ilivyokuwa ya Desemba 2024 Dodoma, mji ambao umekuwa na ongezeko la idadi ya Watu kwa kasi kubwa tangu kuanza kutumika kwa Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2007. Mbali na hapo uamuzi wa Hayati Rais John Magufuli kuhamishia rasmi makao makuu ya Serikali jijini hapo kumeifanya Dodoma iwe ‘busy’...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mavunde Akabidhi Nyumba kwa Watoto Walioangukiwa na Nyumba Jijini Dodoma

    ▪️Ni watoto walioachwa na Mama Mzazi aliyefariki kwa kufunikwa na kifusi ▪️Viongozi wa Dini wamshukuru kwa upendo na moyo wa kujitolea ▪️Aahidi kuwasomesha na kuendelea kuwahudumia watoto hao Mbabala, Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde leo amekabidhi nyumba kwa watoto...
  10. Mzee wa Code

    Bar maarufu ya Mwanga Bar Dodoma wanatuuzia chakula na mataka yakiwa mbele ya jiko. Usalama wetu walaji uko wapi?

    Wale tunaokujaga dodoma nadhani tunaifaham bar maarufu kwa misosi ya Mwanga Bar iliyopo Jijini Dodoma, nikiwa natoka zangu safari kanda ya ziwa nikasema nipite kula hapo kilichonishangaza ni rundo la matakataka ambayo inaelezwa yapo hapo kwa siku ya tano leo uku uandaaji wa chakula ukiendelea...
  11. I

    Wabunge akina nani walipata ajali Dodoma

    Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safarini kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa? Ni haki yetu wananchi kufahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!
  12. Msanii

    Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

    Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇 Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE? Maswali yanazidi kuchanganya umma...
  13. Waufukweni

    Dodoma: Maelfu washiriki 'Generation S Samia Jogging'

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mhe. Shekimweri ameyasema...
  14. J

    Lema: Wabunge sasa mjue Jamii inawachukia kuliko hata inavyomchukia Shetani

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameandika Ukurasani X akiwasihi Wabunge walionusurika ajalini Wasome maoni ya Wananchi kwenye mitandao ya kijamii Lema amesema Jamii inawachukia Wabunge Kuliko hata inavyomchukia shetani Soma Pia: Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa...
  15. Mkalukungone mwamba

    Mvua yasababisha uharibifu wa mali Dodoma

    Baadhi ya wakazi wa Dodoma wamepata hasara na usumbufu baada ya mvua kubwa kunyesha kwenye maeneo yao na kisha maji kuingia ndani na kuharibu mali mbalimbali. Soma Pia: TMA yatangaza mvua za siku tatu mfululizo mikoa minane, kuanza leo Disemba 3
  16. Waufukweni

    Dodoma: Wakazi wa mtaa wa Bochela, Mnyakongo, Salama na Mtube wahofia kukosa makazi, nyumba zaidi ya 300 zazingirwa na Maji

    Wakazi wa mtaa wa Bochela, Mnyakongo, Salama na Mtube kata ya Nkuhungu jijini Dodoma wahofiwa kukosa makazi kutokana na maji kuzingira makazi zaidi ya nyumba mia tatu.
  17. sergio 5

    Ameitiwa kazi Dodoma bila mkataba, je aende?

    Ni rafiki yangu anasema Kuna mshikaji wake ametaka aende dodoma Kuna kazi ya ivi vi kampuni vya mikopo mshahara elfu 90 Hela ya kula per day ni elfu 3 Eneo la kulala lipo kwa degree holder iyo ni kazi au Maana nauli ameambiwa atafute yeye yupo mwanza kazi ipo DODOMA
  18. TRA Tanzania

    Dodoma: TRA yatoa elimu ya Kodi ya zuio Kwa taasisi za Umma

    Mamlaka ya Mapato Tanzania imetoa semina kuhusu kodi ya zuio kwa Taasisi za Umma leo tarehe 5/12/2024 Dodoma. Semina hiyo iliongozwa na Naibu Kamishna wa Huduma za Kiufundi kutoka idara ya Walipakodi Wakubwa (DCTS) Bw. Gabriel Kimweri.
  19. Mindyou

    Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

    Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani? ====== Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
  20. Mindyou

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma: Viongozi wa Serikali za Mitaa msiwe mawakala wa kuuza viwanja vya wananchi

    Wakuu, Kumbe viongozi wa CCM upande wa serikali za mitaa walikuwa wanauza kiholela viwanja vya wananchi na mlikuwa hamsemi? Naona CCM sasa wameanza kujiumbua wenyewe hadharani kwa kusema mambo ya hovyo ambayo walikuwa wanayafanya kipindi wako kwenye uongozi. =========================== Mkuu...
Back
Top Bottom