dodoma

  1. Tlaatlaah

    Sina usharika na Joseph Mbilinyi, ila ngoma yake ya Wanakuita Sugu, naweza kumwambia dereva aireplay hiyo ngoma Dar to Dodoma na siichoki

    I love that song badly, but I am completely not accepting the style of Joseph Mbilinyi unreached politics, specifically in mbeya town constituency. Alistahili kuwa mbali zaidi, lakini pia more powerful politician zaidi ya Lisu na Mbowe kwenye siasa za Chadema na ndani ya Tanzania kwa ujumla...
  2. chiembe

    Kwanini kozi za uongozi wa serikali za mitaa zitolewe chuo kikuu mzumbe halafu za maedeleo vijijni zitolewe Chuo mipango Dodoma?

    Samia yuko Morogoro, time to trigger Hawa wa mitaa waungane hapo Dodoma?
  3. A

    KERO Miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) hasa upande wa Hostel za Social umekuwa kikwazo kwa wanafunzi. Tunaomba mamlaka ishughulikie

    Miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) haswa upande wa Hostel za Social umekuwa kikwazo kwa wanafunzi wanaotumia hivyo tunaomba mamlaka ishughulikie hili suala kwa afya bora za Wanafunzi. Pia soma > KERO - Ubovu wa miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma Ndaki ya Sayansi ya Kompyuta...
  4. Nahman

    Nataka rafiki wa kike alieko dodoma

    Kama uko dodoma,ni check inbox
  5. Mindyou

    LGE2024 Msimamizi Wa Uchaguzi Dodoma: Maandalizi ya Uchaguzi yamekamilika na wagombea 326 kutoka vyama 14 vitashiriki!

    Wanabodi, Kuna hii taarifa kwamba kuna vyama takriban 14 ambavyo vimejitokeza kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa huko mkoani Dodoma. Hivi ukitoa CCM, CHADEMA na ACT hivyo vyama vingine ni vipi? Au ndo matawi ya CCM? ==========================================================...
  6. O

    Gharama za maisha: Kati ya Dar es Salaam na Dodoma wapi rahisi kutoboa

    Nimeleta huu uzi ili tupate kidogo maarifa na tunaweza kusaidiana kimawazo Mimi ni mzaliwa wa kanda ya ziwa huko ila nimebahatika kusoma chuo Dar moja ya chuo maarufu mjini Dar n hata baada ya kutoka chuo nikaamua kubaki Dar sasa kuna ndugu yangu mmoja akanipa mchongo wa kuja Dodoma nimekuja...
  7. Waufukweni

    LGE2024 Msimamizi wa Uchaguzi Dodoma: Marufuku viongozi kujipitisha kwenye vituo vya kupigia kura

    Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dk. Frederick Sagamiko ameonya tabia ya viongozi wa vyama vya siasa kujipitisha katika Vituo vya Kupiga Kura wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ili kuepusha migogoro isiyo ya lazima. Dk. Sagamiko amesema hayo...
  8. The Watchman

    LGE2024 Dodoma: Uchaguzi wahairishwa kwa sababu ya kifo cha mgombea wa CCM

    Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya jiji la Dodoma, Dkt. Frederick Sagamiko ametangaza kuahirishwa uchaguzi kwa nafasi ya wajumbe mchanganyiko katika mtaa wa Mwangaza jijini humo kwa mujibu wa Kanuni NO. 21 (ii) ya Kanuni za Uchaguzi Mamlaka za Mitaa, ngazi ya miji kutokana na mgombea wa nafasi...
  9. B

    Vodacom yazindua Vodashop katika stesheni ya SGR Dodoma kuwasogezea huduma wateja

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule (katikati) akikata utepe kuashiria kufungua rasmi duka la Vodacom lililopo eneo la kituo cha mwendokasi (SGR) cha Samia Jijini Dodoma leo. Kulia ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Vodacom Tanzania, Jaji Mstaafu Thomas Mihayo na kushoto ni Mdau wa...
  10. Friedrich Nietzsche

    Wakuu sikioni chuo Kikuu Dodoma, tuliambiwa ni chuo kikubwa Afrika

    Aah nini kinaendelea au hujuma😎
  11. A

    KERO CBE Dodoma hawatoi vyeti kwa ngazi ya Astashahada mpaka wamalize Stashahada

    Ni jambo la ajabu kwa ngazi ya certificate kukosa cheti eti mpaka umalize diploma ndio upewe cheti. Hii haipo sawa na inatukwamisha kimaisha. Tunaomba mtoe vyeti kwa wahitaji muache janja janja, kila ngazi ina cheti chake.
  12. Waufukweni

    Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

    Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
  13. Waufukweni

    LGE2024 Wananchi Dodoma: Tunataka kupita katika uchaguzi wa haki na huru

    Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameviasa vyama vya siasa nchini kudumisha amani wakati wa kukamilisha michakato ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 Pia, Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma 2024 Kadhalika, wameishukuru...
  14. N

    Hivi Serikali ilipohamia Dodoma ilikuwa ni Majengo na Ofisi lakini Watawala walibaki DAR?

    Leo nimeona WATAWALA wana wahi kwenye eneo la MAJANGA kariakoo, ni kwamba wanaishi hapa hapa DAR es Salaam au waliletwa kutokea Dodoma? Kama bado wapo Dar es Salaam, nani alienda Dodoma? na Kwanini wao bado wanaishi Dar es Salaam badala ya kuwa Dodoma? PIA SOMA - LIVE - Live Updates Kuporomoka...
  15. Stephano Mgendanyi

    Wakina Mama Wajasiriamali wa Dodoma Wamshukuru Rais Samia kwa Fursa za Kiuchumi

    WAKINA MAMA WAJASIRIAMALI WA DODOMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA FURSA ZA KIUCHUMI ▪️Wajipanga kujiimarisha kiuchumi kwa fursa za kiuchumi kwa fursa zilizopo Dodoma. ▪️Wajipanga kujenga Maduka ya kibiashara na eneo maalum la uwekezaji ▪️Wampa tuzo Mbunge Mavunde kwa mchango wake kwa wakinamama...
  16. Cute Wife

    LGE2024 Dodoma: Walioenguliwa CHADEMA wakosa tena sifa!

    Wakuu, Sidhani kama hizo sehemu nyingine mambo yatakuwa tofauti. Serikali (CCM) itasema mchakato ulikuwa wa huru na haki, wamepokea hata mapingamizi tena wakaongeza na siku za kupokea mapingamizi hayo lakini bado walioweka mapingamizi wamekosa fursa, Demokrasia yetu imekomaa kabisa! Sasa hivi...
  17. T

    LGE2024 CHADEMA yagonga mwamba rufaa za wagombea wa uchaguzi serikali za mitaa Dodoma

    Majibu yaliyotolewa na Kamati leo tarehe 15 Novemba, 2024, ambapo hakuna mgombea yeyote aliyeshinda katika majibu hayo ya mapingamizi kwa sababu zilizoambatanishwa ikiwa ni rufaa hizo kutokuambatanishwa na nakala ya maamuzi kutoka kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi, majibu ambayo tumeshuhudia...
  18. mdukuzi

    Bila Freeman Mbowe na Jordan Rugimbana, Tundu Lissu angepoteza uhai siku ile aliyopigwa risasi Dodoma

    Wale walenga shabaha(snipers )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu. Mnaidhani wale sio sniper refer Donald Trump alipunyuliwa nywele badala ya kupigwa kichwa na sniper....tuendelee Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili. Mbowe mtoto wa mjini akahisi...
  19. Cute Wife

    LGE2024 Wananchi Dodoma walishwa maneno kuisifia TAMISEMI, huyu mama kashindwa hata kumeza alicholishwa!

    Wakuu, Nadhani niliweka uzi jana kama si juzi kuhusu kiupepo hiki cha wananchi kuhojiwa wakisifia OR TAMISEMI kusimamia vizuri mchakato wa wagombea kuchukua fomu na mpaka tamko la muda kuongezwa. Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special...
  20. Roving Journalist

    LGE2024 Dkt. Biteko aipongeza Dodoma Jiji kuvuka lengo uandikishaji Wapiga Kura

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari la wapiga kura ikiwa ni maandalizi ya Uchanguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Dkt. Biteko ametoa pongezi hizo...
Back
Top Bottom