Treni ya SGR iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma imekwama kwenye Stesheni ya Kilosa baada ya Umeme kukatika, tuko hapa tunasubiri umeme urudi ndio safari iendelee, tumeambiwa Grid ya Taifa imezima.."
Kabla hayajafika tulishauri haya Madude yaje na "Power bank" lakini Mfumgwa wetu...
Wakuu!
Naona vijana wanaendelea nguvu ya uchawa kawa Rais maana kila kitu sasa utasikia Samia hivi na vile yani hashitag kibao kumuhusu Rais Samia.
Sasa ndiyo njia pekee ya kufanikiwa kwenye mambo yao? Hii ni to much
======================
Programu mpya ya vijana inayojulikana kama Generation...
KUMBUKUMBU YA MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA
Tunamkumbuka Shujaa wa Uhuru wa Tanganyika
Haruna Iddi Taratibu Muasisi wa TANU Jimbo la Kati (Central Province) 1955
Haruna Iddi Taratibu
Sifa kuu katika ujumbe wa Julius Nyerere ilikuwa ni kule kueleweka kwa mantiki yake na kuweza kuwavutia...
Wakati mechi ya Azam na Dodoma jiji inaendelea hapa uwanja wa Jamhuri Dodoma. Linatokea tangazo la waendesha uwanja kuwa taa zote za uwanjani zitazimwa Ili ndege itue kwenye uwanja ulio karibu na uwanja huo Wa mpira.
Hii imekaaje kisheria?
Tunajua akili za TAHOSSA zinakuwa kama zimewaruka, mwezi huu wakuu WA shule wa msingi na sekondary watakwenda dodoma wana ajenda zao zilezile hawana jipya Ila ninawapa tu tahadhari Waache kutumika na mbogamboga
Watumie hiyo siku kuleta mapinduzi ya kiuchumi kwa walimu, wajenge hoja kuendana na...
Wewe mkazi wa Dodoma au popote ulipo, kama umekuwa ukiota kumiliki kiwanja Dodoma, sasa ndoto yako inaweza kutimia! Tunakupa fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja kwa bei nafuu na chenye thamani. Wekeza leo kwa faida ya sasa na baadaye.
Viwanja Vinavyopatikana:
1. Kiwanja Karibu na Hospitali ya...
Wenyeviti 36 na wajumbe wa serikali ya mitaa 180 katika Halmashauri ya Mji Kondoa Mkoani Dodoma wameapishwa tayari kuanza kutekeleza majukumu yao katika serikali za mitaa.
Akizungumza baada washindi hao kula kiapo, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kondoa Mji, Majaliwa Said amewaasa viongozi hao...
Wakuu,
Kuna vitu mpaka aibu unaona wewe! Useless kabisa!
Baadhi ya viongozi wa dini nchini wamesema kuwa wamebaini viashiri vya uwepo wa namba za simu za nje ya nchi zikihamasisha taarifa potofu kwa lengo la kuwagawa Watanzania, huku wakidai kuwa kuna watu ambao hawaitakii mema Tanzania...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Hamza Johari amepiga kura katika eneo la llazo jijini Dodoma
Amepongeza Waandaaji na Waratibu wa Uchaguzi kwa mpangilio mzuri uliopo kwenye vituo unaofanya watu watumie muda mfupi katika zoezi la kupiga kura.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi amempatia zawadi ya pikipiki mpya aina ya SAN LG Msaidizi wake wa Ofisi (PS) Florenciana Kagya, kutoka na kazi nzuri anayofanya na kujituma katika ofisi yake.
Kihongosi amesema kuwa ameamua kutumia mshahara wake kumnunulia msaidizi wake huyo zawadi ya...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amewataka wananchi wa Chamwino kujitokeza kwa wingi kupiga kura kuchagua viongozi wao ambao watawasaidia katika kuwaletea maendeleo.
Waziri Ndejembi ameyaeleza hayo leo Jumatano Novemba 27, 204 mara baada ya kushiriki zoezi la...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amepiga kura yake katika Kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali ya mtaa anaoishi, eneo la Kilimani, jijini Dodoma, tarehe 27 Novemba, 2024.
PIA SOMA
- LGE2024 -...
Baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hawapo katika Vituo vya Kupigia Kura Jijini Dodoma, Mfano ni Kituo cha kupigia Kura Ofisi ya kata ya Chamwino hakuna msimamizi wa uchaguzi na Askari wote kwa pamoja hawapo kwenye vituo vya kupigia kura, Msimamizi wa Kituo cha kupigia kura Mtaa wa nduka chamwino...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amepiga kura katika kituo cha shule ya msingi Dodoma Mlimani iliyopo Mtaa wa Salmini kata ya Tambukareli.
Baada ya kupiga kura amezungumza na Waandishi wa habari ambapo amewahimiza wakazi wa Dodoma kutimiza haki yao ya kikatiba kwa kujitokeza...
Ikiwa kesho novemba 27 ni siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika jumla ya Wagombea elfu nne mia nne na nne wa vyama vyote vya siasa Mkoa wa Dodoma wamejitokeza kugombea nafasi mbalimbali huku watu zaidi ya milioni moja na laki saba elfu kumi na mbili mia nne sabini na mbili...
Wakuu,
Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema kuwa hatua zitachukuliwa dhidi ya mwananchi yeyote atakayeonesha viashiria vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi wa serikali za Mitaa utakaofanyika kesho Novemba 27, 2024 nchini.
"Siku ya kesho ya kupiga kura kila mtu atunze amani...
Habarini wenyeji wangu.
Kwa mwenye kuzijua ofisi za Tume ya maendeleo ya Ushirika TCDC Dodoma anielekeze na kama una chombo cha moto kama boda boda anipeleke asubuhi hii majira ya saa mbili.
Siku tano baada ya dawa ya Uriphytol inayoelezwa kukinga na kutibu tatizo la kutanuka kwa tezi dume kuanza kuuzwa rasmi, dawa hiyo imeadimika katika maduka ya dawa mkoani Dodoma ilikoanza kuuzwa.
Dawa hiyo imegunduliwa na wataalamu wa Kitanzania, licha ya Serikali bado haijatoa tamko rasmi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.