Wadau, nilisikia miaka ya nyuma kulikuwa na mipango ya kujenga uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu hapa Dodoma, lakini hadi sasa sijasikia maendeleo yoyote makubwa.
Swali langu ni, huu uwanja unajengwa kweli au ndoto hizi ziliondoka pamoja na Mzee wetu aliyekuwa na maono hayo?
Kama kuna yeyote...