The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.
Mahakama ya Benki ya Dunia imetupilia mbali sababu nyingi za Tanzania za kubatilisha tuzo ya dola milioni 119 (zaidi ya TZS 309 bilioni) kwa mchimba madini wa nikeli kutoka Australia.
lakini uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Eliezer Feleshi kuendelea kutaka kufutwa kwa tuzo hiyo katika...
eBay imekubali kulipa $59m (£46.3m) kutokana na madai kuwa iliuza vifaa vinavyoweza kutengeneza dawa za kulevya.
Idara ya sheria ya Marekani ilikuwa imedai kuwa maelfu ya mashine za kutengenezea vidonge na mashine za kufungia ziliuzwa kwenye tovuti, ikiwa ni pamoja na kwa watu ambao baadaye...
Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu Watanganyika walikuwa hawana uelewa wa masuala ya kujitawala.
Ni ulevi wa madaraka na uditekta dhidi ya...
Tumesikia maelekezo ya viongozi wa Chadema kwamba tarehe 24/1/2024 wataitisha maandamano nchi nzima kupinga muswada ya sheria ya uchaguzi na mwendo wa demokrasia nchini Kwa ujumla wake.
Nashauri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM kwamba huku ni kukitikisa dola na kuijaribu Serikali...
Hali ilivyo nchini kuna njia mbili yakuamua siasa za 2024 hadi 2025. Njia ya kwanza ni chama cha mapinduzi kuweka kwenye safu yake viongozi wenye ushawishi kwa jamii. Kwa mtazamo wangu hakuna jina la katibu mkuu linaweza likawa na ushawishi kuliko jina la makamu mwenyekiti bara Ndugu Kinana...
Kwa miaka mitano mfululizo, kila mwaka dola za Marekani milioni 300 zimekuwa zikitengwa, hivi karibuni msomi wa Ulaya Bw. Jan Oberg alifichua katika mahojiano kuwa Marekani imetoa mswada wa kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari ili watoe ripoti mbaya kuhusu China. Inadaiwa kwamba kile...
UWEKEZAJI MAHIRI KATIKA MAENEO YA KIMKAKATI YA TAWA KUIINGIZIA SERIKALI ZAIDI YA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 314
Na Beatus Maganja, Dar es Salaam
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Serikali inatarajia kupata mapato yanayokadiriwa kufikia dola za Kimarekani milioni...
Niende moja kwa moja kwenye wazo langu. Licha ya kwamba biashara ni huria lakini naamini Nchi ina taratibu zake hasa kwenye masuala ya Kifedha. Na imeshatokea mara kadhaa Serikali kuagiza malipo ya ndani ya Nchi isipokuwa kwa Watalii yafanyike kwa Shilingi ya Tanzania lakini hali ni tofauti...
Argentina wamemchagua Javier Milei kuwa Rais wao mpya. Ni jamaa mwenye msimamo mkali wa kulia. Moja ya malengo yake ya kukabiliana na hali mbaya ya uchumi na mfumuko wa bei ni kuiua pesa ya Argentina(Peso), kuvunja benki kuu na kuanzisha matumizi ya Dola ya Marekani kama pesa rasmi ya nchi...
Nimewaza hapa nikaona kuwa inawezekana huu mgao mkali wa umeme ni serikali haina pesa ya kununulia gesi ya kutosha. Naomba kufahamu serikali inanunua gesi kwa kutumia pesa gani?
Kutokana na sheria za ushindani ambazo zimekuwa mwiba kwa kuweka vikwazo kwa makampuni makubwa kuyanunua makampuni madogo hasa startups, Adobe imeghairi mpango wake wa kuinunua Figma.
Sheria hizi zinazuia kampuni kuwa monopoly. Mimi ni mpenzi wa Figma nadhani kuiacha ijitegemee ni uamuzi sahihi
Kukiwa na mahusiano mazuri kati ya vyombo vya dola na wananchi kunachochea:
Uimarishaji wa Uwajibikaji: Mahusiano mazuri kati ya wananchi na vyombo vya dola ni msingi wa uwajibikaji. Raia wanapohisi kuwa na uhusiano wa karibu na vyombo hivyo, wanakuwa na moyo katika kulinda usalama na kushiriki...
Chanzo
Kuelekea mkutano wa mazingira wa dunia, COP28, utakaofanyika mwezi December 2023 huko Dubai, CNN imetoa ripoti maalum inayoilaumu UAE kwa kuendesha miradi chechefu ya kimazingira ikiwemo kukwapua ardhi ya Afrika ikijifanya kutunza mazingira wakati nia halisi ni kujikingia kifua wakati...
Wabunge wamechangia kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2024/2025 pamoja na muongozo wa maandalizi ya Mpango wa Bajeti Mwaka 2024/2025, leo Novemba 7, 2023.
Akichangia hoja, Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama amesema Wafanyabiashara wengi wakubwa...
Siku chache sana baada ya Paul Makonda kuteuliwa kushika cheo cha Katibu mwenezi na itikadi wa CCM, cheche za siasa zake za toka zamani zimeanza kuonekana. Makonda ameanza kwa mikwara ya matamko ya vitisho, kebehi na amri za ajabu ajabu kwa watu mbali mbali na taasisi mbali mbali.
Kwa watu...
Hapa majuzi nilipata email kutoka shirika moja la Afya hapa Marekani jina kapuni kutokana na usiri( privacy) ya kimkataba na sheria ya hilo shirika na pia naweza kushitakiwa na then ninaweza kukosa madili mengi mengi ya hapa ya hapo ukimani kwenu
Kutokana na uzalendo wangu nimeamua kurudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.