The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.
Maumivu kwa Waagizaji Bidhaa Nje, Shilingi ya Tanzania yazidi kushuka thamani dhidi ya Dola
Watanzania sasa wanalazimika kuingia zaidi mifukoni mwao ili kulipia zaidi katika uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi huku kukiwa na hali ya kutia wasiwasi juu ya kuendelea kuporomoka kwa shilingi...
Dola 747 milioni zahitajika ununuzi wa mafuta
Dar es Salaam. Mjadala wa kunusuru mkwamo wa waagizaji wa mafuta huenda ukafikia ukomo endapo Serikali itawezesha upatikanaji wa Dola 747 milioni (Sh1.9 trilioni) kwa ajili ya kufuta malipo ya bidhaa za petroli zilizoingizwa nchini kati ya Machi na...
Moja ya faida kubwa ya kamata kamata ni kutia watu hofu. Kamata kamata siku zote uishia kwa wenye fedha siyo maskini pekee. Hakuna mtu ataaingika na kiumbe asiyetoa chochote lazima uwepo mchanganyiko wa wenye fedha na wasio na fedha.
Dola ikianza kukamata kamata watu tambua wafanyabishara wapo...
Kwa mujibu wa Matangazo ya BBC Dira ya Dunia ya Leo Jioni walionteka Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) Melchiory Dominic (Raia) wa Tanzania na Mwenzake Raia wa Burkina Faso wanahitaji Kikombozi (Ransom ) cha Dola za Kimarekani 70,000 kwa Wote Wawili (yaani Dola 35,000) kwa kila Mmoja ili wawaachie...
Umofia kwenu.
Mengi yamesemwa kuhusiana na hili sakata la upungufu wa dola nchini. Kimsingi Dola ya Marekani ndiyo inatumika kama fedha ya kununua bidhaa za kimataifa. Mojawapo ya bidhaa hizo ni pamoja na mafuta ghafi ambayo yanashikilia sehemu muhimu ya mfumuko wa bei nchini.
Nasema yapo...
Nafikiri tumshauri Rais Samia afanye uamuzi mgumu kunusuru uchumi wa nchi kwa mgogoro huu wa mafuta nchini.
Tarehe 27/28 July 2023 nchi za Afrika 49 kati ya 54 zinazotambuliwa na Umoja wa Mataifa zilishiriki Mkutano wa Afrika na Urusi mjini St. Petersburg nchini Urusi na mambo Makuu mawili...
Baada ya corona kuisha kulikua na inflation kubwa dunian marekani kupitia federal reserver waliamua ku-implement contraction monetary policy kwa kuongeza interest rate ili kupunguza fedha kwenye mzunguko na hatimaye kupunguza inflation
Madhara ya contraction monetary policy
Kuongeza riba ya...
Katika kuendelea kuhakikisha bidhaa ya mafuta ya petroli inapatikana kwa uhakika maeneo yote nchini, Chama cha Waagizaji na Wasambazaji Mafuta Tanzania (TAOMAC) wamekutana na Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba katika ofisi ndogo za Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam tarehe 4 Agosti...
Daktari wa Uchumi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alijitapa bungeni kuwa Dola zipo za kutosha na hakuna tatizo la Dola na kwamba yeye ni Mbobevu wa Uchumi watanzania wasiwe na mashaka naye wanaweza kujadili mambo ya uganga wa kienyeji tu.
Leo Dola zimepotea Waziri yuko Kimya.
Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana
======
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA...
bandari
bei
bei mpya
bei ya mafuta
chato
dola
duniani
ewura
kuhusu
kujadili
kupanda
lissu
mafuta
mbunge
mjadala
mpya
mwezi
tatizo
thread
tulia ackson
uvccm
Hitaji la juu la sarafu ya dola na kushuka kwa hitaji la sarafu ya shilingi inatupa picha ya kushuka kwa thamani ya shilingi,kushuka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania kiuhalisia kunaongeza gharama za uagizaji bidhaa na kwa mtaani kunaongeza gharama za maisha katika mitaa ya Tanzania, kiujumla...
Ndugu wanajamvi!
Nakusalimuni nyote!
Tangu mama Samia ashike madaraka baadavya kifo cha bwana yule mama wa watu amechukua mrengo wa kiungwana huku akionesha dhamira ya kweli kutoka moyoni mwake kuliunganisha taifa lililokuwa limesambaratishwa na hayati bwana yulee.
Mambo yamekuwa yakienda...
Wanabodi,
Hizi kelele za wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari zetu, sio za kuzipuuzia!. Katiba hii mbovu tuliyonayo!, Sheria zetu mbovu tuliyonayo, mikataba mibovu ya kimataifa tunayoingia, mwisho wa siku tunajikuta tumepigwa!, tunafunguliwa mashitaka...
Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID) kimeiamuru Tanzania kulipa dola milioni 109.5 (zaidi ya bilioni 260 za Tanzania) kwa kampuni za uchimbaji madini zilizosajiliwa Uingereza, Ntaka Nickel Holdings Ltd na Nachingwea UK Ltd, kufuatia uamuzi wa mwaka 2018 kufuta...
Katika ulimwengu wa kidijitali unaobadilika kwa kasi, sekta ya benki ya Marekani inakabiliwa na wakati mgumu, ikifikiria kuanzisha dola ya kidijitali. Mradi wa Dola ya Kidijitali, mpango unaolenga kuchochea utafiti na majadiliano, umefanya uchunguzi wa hatari na mawazo ya sera yanayohusiana na...
Habari,
Binafsi nlikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la Kushambuliwa Tundu lissu.
Alichokifanya Tundu lissu katika mazingumzo haya hapa chini kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni...
Habari jf ,ni wazi kwamba tunahitaji mabadiliko nikiwa nna maana kuiondoa CCM madarakani ugumu unakuja ni njia zipi ? Na ni chama kipi ? Kiuhalisia kuendelea kuitegemea CHADEMA ni upotevu wa muda maana kina watu wengi walio pale kimkakati ukianzia Mwenyekiti .
NCCR Mageuzi ni better option...
Hivi majuzi, video iliyomuonyesha Rais William Ruto wa Kenya akitoa hotuba katika bunge la Djibouti imeibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii. Katika video hiyo, Ruto aliuliza kwa kejeli: Kwa nini tunatumia dola ya kimarekani kwenye biashara kati ya nchi za Afrika? Baada ya kauli yake hii...
Benki Kuu ya Tanzani imeukumbusha umma kuwa kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006 kinaelekeza kuwa shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusia kutumika nchini, hivyo hakuna Mtu au Kampuni yoyote inayoruhusiwa kuikataa kwa malipo yoyote halali na kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.