Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani umesema Serikali ina taarifa rasmi ya watu 24 wanaoaminika kuwa Watanzania wanaoshikiliwa na Mamlaka ya Uhamiaji na Forodha ya Marekani (ICE) kwa kuishi nchini humo kinyume cha sheria.
“ICE imetuarifu kwamba, watu wanne kati ya hao wameshakamilisha taratibu...
Picha linaanza baada ya mwamba huyu kusitisha shughuli zote za USAID na Tz kuwa waanga wakubwa wa Tangazo hilo kwani iliajiri makumi kwa maelf ya watz kwenye sekta hiyo basi niwaibie siri na shemeji yenu alikuwa kwenye sekta hiyo.
Wayback niliwahi kushusha uzi humu nikielezea jinsi gani shemeji...
Kasi ya Trump kwenye kutekeleza maamuzi magumu ni kubwa sana, natamani Rais wetu Samia na yeye awe na hii kasi.
Hata Tanzania kuna taasisi kibao zinafilisi serikali hakuna cha maana zinazofanywa zinapaswa kufutwa fasta fasta
TRUMP anatoa THANK YOU haraka kuliko thank you za Simba na Yanga.
Wanaukumbi,
Afisa mwandamizi wa Palestina ameieleza Newsweek maoni yake kuhusu pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kuwahamisha wakazi wote wa Ukanda wa Gaza ili kufanikisha miradi ya maendeleo ya ardhi.
Trump alipendekeza umma wa Gaza, takriban watu milioni 1.5 hadi zaidi ya...
Kwa mbali kama naanza kumuelewa Trump.
Hivi karibuni, nimeona Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy akisema kuwa kati ya Dola Bilioni 177 ambazo zilipitishwa na Bunge la Marekani ni Dola Bilioni 77 tu zimefika kama misaada ndani ya Ukraine.
Zelensky akizungumza na wanahabari hivi karibuni...
Trump kuna sehemu anakosea.
Unajua Trump Marekani ameingia kwa nguvu ya watu, na sio wale 'King makers' na hio inafanya asipate ushauri wa watu ambao wanajua miondoko ya dunia humo USA miaka nenda na narudi. Hio inafanya jamaa afanye makosa mengi sana na kuscore 'own goals' nyingi
1)Issue ya...
Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria.
Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili.
JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge...
Elon Musk asema yeye na Donald Trump wamekubaliana kufunga USAID – shirika linalosaidia maendeleo ya kimataifa.
Katika ujumbe wa sauti kwenye X, alisema: "Tunafunga shirika hilo," akiongeza kuwa alikuwa na "uungwaji mkono kamili kutoka kwa rais."
Alisema kuwa shirika hilo "haliwezi...
Baada ya Trump kutangaza kusitisha misaada nchini humo kisa madai ya ukiukwaji wa haki za Binadamu na Wazungu kunyanyaswa na kupokonywa ardhi wanazomiliki ambapo Ramaphosa amemtaka Trump aache kuingilia mambo ya Afrika Kusini kwakuwa hayamuhusu na kusema ardhi ya Afrika Kusini sio ya Trump...
Wakuu,
Msako wa Elon Musk na bwana Donald kwenye mifumo ya bajeti na fedha huko Marekani unaendelea kushika kasi.
Hivi karibuni Elon Musk amepewa mamlaka na Donald Trump chini ya Wizara mpya ya Ufanisi Wa Serikali kusimamia na kudhibiti mifumo ya ugawanyaji fedha ya serikali.
Hivyo, ni kwamba...
Baada ya Trump kusitisha misaada Afrika, kumetokea sintofahamu nyingi zikisema, "Haya sasa, huyo Mchina ajitokeze!"
Ukweli ni kwamba Mchina ni mlaghai na mpigaji kuliko hao mabeberu. Angalau, pamoja na kutupiga, wametuwezesha na sisi mdogomdogo kusogea! Nchi zote zilizokopa kwa Mchina na...
Ilikuwa katika Press Conference kujadili air accident kati ya ndege na helicopter.
Reporter mmoja mwanamke kutoka Africa akamuuliza Trump maoni yake kuhusu mgogoro uliopo Congo
Trump akasema anashukuru sana kwamba hili swali limeulizws kwa sababu mambo yanayotokea kule ni very important lakini...
Rais wa Marekani, Donald Trump, alitangaza kuwa anapanga kuweka ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico, pamoja na ushuru wa 10% kwa bidhaa kutoka China. Trump alieleza kuwa hatua hii inafanywa kama njia ya kulinda mipaka ya Marekani dhidi ya uhamiaji haramu na madawa ya kulevya ambayo...
BRICS = Brazi, Russia, India, China, South Africa
Kaandika kwenye ukurasa wake wa Twitter
Wazo kwamba nchi za BRICS zinajaribu kuachana na Dola ya Marekani huku tumekaa na kuwatazama LIMEKWISHA! Tunahitaji ahadi kutoka kwa nchi hizi kwamba hawataunda Sarafu mpya ya BRICS, wala kuunga mkono...
Rais wa Marekani, Donald Trump, alisaini agizo la kupambana na chuki dhidi ya Wayahudi na kuahidi kuwafukuza wanafunzi wa vyuo vikuu wasio raia pamoja na wengine waliokuwa sehemu ya maandamano ya kuunga mkono Palestina dhidi ya Israel.
Agizo hilo kutoka kwa Trump lilisema kuwa Wizara ya Sheria...
Hellow Tanganyika,
Kuna issues nyingi muhimu niliwaza lini zitapata ufumbuzi, lakini siku chache tu baada ya kuapishwa huyu mtumishi wa Mungu Donald Trump nimepata kuona mwanga mbeleni,
Baadhi ya Issues alizotatua Kwa haraka,
1. Kuzuia vitendo vya USHOGA.
Hivi sasa Kuna ukimya mkuu duniani...
Haya sasa tuendelee kukata viuno
The United States Secretary of State, Marco Rubio, has approved an “Emergency Humanitarian Waiver”, which will allow people to continue accessing HIV treatment funded by the US across 55 countries worldwide. More than 20 million people living with HIV...
Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho duniani kote.
Akizungumza wakati wa Mkutano wa Usalama wa Afya wa Kanda ya Afrika Mashariki 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.