Rais Donald J. Trump ametia saini agizo la kuiondoa Marekani kutoka Shirika la Afya Duniani(WHO) 20 Januari 2025, muda mfupi baada ya kuapishwa kwake
Uamuzi huu umezua mjadala na wasiwasi mkubwa miongoni mwa wataalam wa Afya duniani.
Rais Donald Trump alitaja sababu kadhaa za Marekani...
Ni kawaida uongozi wa Marekani kuwafanyia nongwa viongozi wa nchi nyengine duniani wanaposhutumiwa kwa makosa mbali mbali hata yasiyothibitishwa na mahakama.
Kinyume chake raisi Donald Trump aliyeapishwa leo kurudi ikulu ya Marekani ni kiongozi ambaye kwa miaka minne aliyokuwa nje ya Ikulu...
Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump
****
NIMEOKOLEWA NA MUNGU KUIFANYA TENA MAREKANI KUWA TAIFA KUBWA
"Uhuru wetu na hatima tukufu ya taifa letu haitakataliwa tena, na tutarejesha mara moja uadilifu, umahiri na uaminifu wa serikali ya Marekani. Kwa muda wa miaka minane iliyopita, nimejaribiwa...
Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.
Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.
Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
Tiktok imetangaza huduma zake kurejea nchini Marekani, baada ya juhudi za Trump kurefusha muda wa majadiliano mpaka hapo atakapoingia madarakani rasmi.
Sababu nyingine kubwa ya Trump kuipambania Tiktok irudi hewani Marekani ni kutaka uapisho wake hapo kesho uweze kwenda "Live" kwa watumiaji wa...
Timu ya maridhiano ya usitishaji wa vita imeshauri kuhamisha Wapalestina wa Gaza kwenda Indonesia kwa muda hadi Gaza itakapojengwa upya.
Wazo hilo limewekwa wazi na Steve Witkoff ni mshauri wa masuala ya kimkakati katika timu ya Trump anaeshiriki katika juhudi za kutafuta suluhu la amani...
Waziri Mkuu wa Canada anayemaliza muda wake, Justin Trudeau, ametangaza kuundwa kwa baraza la uhusiano wa Canada na Marekani kukabiliana na tishio la Rais mteule Donald Trump la ushuru wa 25% kwa bidhaa za Canada.
Baraza hilo lina wajumbe 18 kutoka sekta mbalimbali, wakiwemo viongozi wa zamani...
Katika hatua za kuthibitishwa na seneti ya Marekani, Waziri mteule wa Ulinzi wa Marekani wa utawala wa Trump anasema anasapoti Israel "kuwaua" Hamas wote hadi wa mwisho kabisa!
Waziri mteule wa mambo ya nje wa Trump, Marco Rubio anasema Gaza itapata amani tu endapo Hamas watawaachilia mateka...
Wakuu,
Rais mteule Donald Trump amepewa msamaha wa moja kwa moja katika kesi ya kughushi nyaraka za biashara kuficha malipo kwa Msanii Stormy Daniels, hatua inayomaanisha hatakabiliwa na kifungo, faini, au masharti yoyote baada ya hukumu iliyotolewa na Jaji Juan Merchan jana
Hapo awali Trump...
First of all, he will not be able to achieve a ceasefire in Ukraine as he thought he will, in the same day in the office, He thought he is a powerful person, who in a blink of eyes everything is done, but not.
The second and the most serious threat that will complicate the most, is the group...
Rais mteule Donald Trump ameendelea kutoa vitisho vya kudai kumiliki Greenland na rasi ya Panama, akisema maeneo haya ni muhimu kwa usalama wa taifa la Marekani.
Alisisitiza kuwa Marekani inayahitaji kwa usalama wa kiuchumi na kijeshi, akisema Greenland ni muhimu katika kufuatilia meli za China...
Hiki ndicho alichokisema kuhusu vita ya Ukraine
1. Serikali ya Marekani haikutakiwa kusema kwamba Kiev (Ukraine) itajiunga NATO
2. Biden alivunja makubaliano kati ya Marekani na Urusi kuhusu ni kwa kiasi gani jeshi la Marekani lingejitanua
3. "Moscow imekuwa ikisema mara kwa mara, hata kabla...
Rais Putin wa Russia amekataa pendekezo lilitolewa na Rais mteule wa marekani Bwana Donald Trump la kumtaka kusitisha mapigano kati yake na Ukraine na badala yake kuwepo na muda wa miaka 20 baadae ili Ukraine iweze kujiunga na Umoja wa za NATO.
Sambamba na hilo Bwana Trump alipemdekeza pia...
Kituo Cha televisheni Cha ABC kimeamua kukubali kumlipa Rais Donald Trump kiasi Cha Bilioni 37 za kitanzania kama fidia ya kumchafulia jina Rais huyo mteule wa Marekani. Rais mteule Donald Trump aliamua kufungua kesi dhidi ya ABC baada ya mtangazaji wa ABC Bwana George Stephaphoulous kutangaza...
Wakuu,
Hivi huyu baba Trump ana washauri kweli?
Hivi karibuni akiwa anaongea kwenye kipindi cha Meet The Press, amesema kuwa kwa sababu nchi wanachama wa NATO hawanunui bidhaa kutoka Marekani basi anafikiria kujitoa kwenye umoja huo wa kijeshi.
Ikumbukwe kuwa Marekani ndio "contributor"...
Wakuu,
Muda mfupi baada ya kuwepo kwa taarfa kuwa Bashar Al Assad amekimbia nchi na kwenda kusikojulikana, Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametoa tamko
Trump amesema kuwa moja ya sabu ya Assad kuanguka ni kwa sababu hakupata msaada kutoka kwa Urusi na kuongeza kuwa ni muda muafaka sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.