List ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi;
Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups.
Rais Putin kajitokeza na kusema "western civilization is not an enemy" (hii ni ajabu kwa sababu kipindi cha...
Uchaguzi wa Marekani umetoa majibu kwamba raisi ajaye ni Donald Trump akiwa raisi wa 47 wa nchi hiyo lakini pia akirudi kutawala taifa hilo kubwa duniani kwa ushindi wa kishindo.
Donald Trump alikuwa raisi wa Marekani kwa muhula mmoja toka mwaka 2016 hadi mwaka 2020 aliposhindwa na raisi Joe...
Donald Trump (78) ndiye rais mteule wa Marekani baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi ulifanyika Jumanne ya Novemba 5 mwaka huu nchini humo
Kabla ya ushindi wake mwamba huyo Trump alikuwa akikabiliwa na kesi mbili tofauti awali alifikishwa mahakani kwa kosa la kutumia ofisi ya Serikali...
Lara Trump, mkwe Donald Trump na Mwenyekiti mwenza wa kamati kuu ya chama cha Republican kitaifa ameanza kwa kuibua mzozo baada ya kupendekeza ni wakati sasa kufuatia ushindi wa Republicans Marekani kuwe na sheria moja ya kitaifa kuhusu uchaguzi tofauti na katiba ya Marekani ilovyoweka kwamba...
Donald Trump kabla ya Uchaguzi alijikabidhi mbele ya Mungu.
Ni sawa kabisa na yule kiongozi pendwa mara kwa mara tunapomuona misikitini na makanisani alijikabidhi kwa Mwenyezi Mungu.
Inapendeza sana, hata CHADEMA huwa tunaanza na Mungu.
Siku njema.
Soma: Donald Trump ashinda Urais wa...
Rais mteule Donald Trump amepanga hatua za haraka na za moja kwa moja atakazochukua ndani ya mwezi mmoja baada ya kuapishwa. Hatua hizi zinahusu mabadiliko katika sekta mbalimbali za serikali, ikiwa ni pamoja na sheria, elimu, uhamiaji, na masuala ya kijamii. Hapa ni baadhi ya mipango aliyoeleza...
Mods polen kwa kazi, Please msimove post
Kwanini wanajeshi wanashangilia Trump kushinda ?
Kwa ufupi ni kwamba Besti yao karudi
Trump aliifanya Iran ifulie, Vikwazo vya kuwazuia Iran vilisimamiwa ukucha, Iran imeanza kupata pesa baada ya Biden kuingia madarakani
Trump alitambua Jerusallem...
Najua kwasasa rais Samia yupo Havana nchini Cuba, karibu kabisa na jimbo la Florida, jimbo ambalo Master Donald Trump the Great amepiga kura.
Naomba Rais wetu ampongeze kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Pia amwambie kuwa tunatarajia atakata misaada ya hovyo barani Africa ili tujifunze...
Wakuu hali imekuwa tofauti kabisa na matarajio ya wengi. Madikteta kutoka nchi nyingi ikiwemo Tanzania hawajafurahishwa na ushindi wa D Trump.
Wakati wa utawala wa awamu ya kwanza uliomalizika 2021 Trump alikosolewa kwa kuwanyoosha viongozi madikteta ikiwemo serikali ya Magufuli kwa kunyimwa...
Ni wazi huyu bwana ameishashinda Urais wa Marekani na anasubiri tu kupitishwa na kuapishwa hapo mwezi January. Kulingana na sera zake urais wake utakuwaje kwa Marekani na Dunia? Baadhi ya sera zake kubwa ni.
1. Kuongeza kodi kwa bidhaa kutoka China kwa asilimia 60
2. Kuongeza kodi kutoka...
Kaposti kupitia ukurasa wake wa X.
Zelensky
"I appreciate President Trump’s commitment to the 'peace through strength' approach in global affairs. This is exactly the principle that can practically bring just peace in Ukraine closer.”
Hii ni habari mbaya sana kwa huyu hayawani: lazima akose...
Imetangazwa dakika chache zilizopita na vyombo vya Habari
=====
UPDATES:
=====
Rais wa zamani Donald Trump kutoka chama cha Republican, ameshinda Uchaguzi wa Marekani.
Chanzo: Spectator Index
Donald Trump ameoa mara tatu, Ivana na Marla Maples, mke wa kwanza na wa pili mtawalia ambao wote...
Mods tafadhalni msiunge uzi huu popote, bunge la Marekani ni mhimili tofauti na uraisi
Kuna mabunge mawili marekani, Bunge dogo ni Baraza la wawakilishi na Bunge kuu ni Seneti.
Tayar Senate na urais vipo chini ya Republicans, Bado House / Baraza la wawakilishi ili kuikamata nchi kikamilifu...
Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.
Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided.
Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia...
Zikiwa zimebakia siku mbili ili uchaguzi wa Marekani ufanyike, Dunia nzima imeshika pumzi ikitafakari nini kitatokea Marekani.
Dunia nzima imegawanyika makundi mawili. Kundi la kwanza ni lile linalotaka Donald Trump ashinde na kundi jingine linalotamani Kamala Harris ashinde.
Pande zote mbili...
Rapa wa Marekani Curtis Jackson, maarufu kama 50 Cent, amekataa ofa ya zaidi ya TSh bilioni 8 aliyopokea ili kutumbuiza kwenye kampeni za Donald Trump. Katika mahojiano na Power 105.1 New York, 50 Cent alisema kwamba alialikwa kutumbuiza wimbo wake maarufu “Many Men” kwenye Mkutano wa Kitaifa wa...
Ni mwanaume
Ni mwanaume mwenye msimamo
Najua ipo siku femest inaweza kutawala Ila itupe muda kidogo kwakeli ,
Maana femist ndo wachochezi wakubwa wa ndoa za jinsia moja wanaamini mwanamke anaweza kujitosheleza wenyewe
Anaiunga mkono Israel waziwazi Hadi kuhamisha balozi za us Jerusalem mji wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani, amemwambia Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuwa anataka Israel imalize vita vya Gaza kabla ya yeye kurejea madarakani iwapo atashinda uchaguzi, vyanzo viwili vilivyo na taarifa juu ya suala hili vimeeleza kwa The Times of Israel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.