donald trump

  1. T

    Baada ya Trump kutishia kuiwekea vikwazo BRICS kwa kuachana na matumizi ya Dollar, India imesema yenyewe haina mpango wa kuacha matumizi ya Dola

    Nchi za Brics juzi hapa zilikuja na mpango wa kuanzisha sarafu yake na kuachana na matumizi ya Dollar kwenye miamala yao. Wiki iliyopita Trump alitishia kuwawekea vikwazo BRICS kama wataendelea na mpango wao wa kuachana na matumizi ya Dollar. Leo waziri mkuu wa India amesema wao hawajawahi kua...
  2. Mindyou

    Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

    Wakuu, Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka. Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo. List hiyo imetolewa na Cornel University...
  3. Carlos The Jackal

    Israel ataanzisha mashambulizi makubwa mara tu Donald Trump atakapoanza Rasimi Uongozi wake hapo January

    Ndugu zangu Ayatollah, najua mnafurahia makubaliano ya kusitisha vita, ila nawapa Pole. Hivi kweli Israel anawadanganya nanyie mnaingia King? Alafu Trump naye akawazuga, Et ohoo nitasitisha vita Gaza??.. yaan Trump aloitambua Jerusalemi kama mji Mkuu wa Israel? Subirini, sahizi Israel...
  4. G

    Netanyahu: Hakujawahi kuwa na rafiki mkubwa wa Israel kutoka ikulu ya Marekani wa kumzidi Donald Trump

    Na kweli ukiangalia kipindi chake Iran ilifulia vibaya mno, walibanwa kisawa sawa kwenye uchumi, Ni kipindi ambacho Iran na vikundi vyake walikuwa wanajifikiria mara nne nne kuishambulia Israel. Kwa upande mwengine, Biden alikuwa kinyuma pengine kuzidi marais wote, Kawalegezea vikwazo Iran...
  5. U

    Seneta John Thune asema Marekani kuiwekea vikwazo ICC ikithubutu kutoa hati ya kukamatwa Netanyau au viongozi wengine

    Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Incoming Senate majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
  6. Yoda

    Scott Turner apata uteuzi Baraza la Mawaziri la Donald Trump

    Rais mteule Donald Trump alitangaza Ijumaa kuwa amemchagua Scott Turner, mchezaji wa zamani wa soka la kulipwa, kuwa waziri wa Idara ya Makazi. Turner mshauri wa rais Trump kuhusu namna atakavyowezesha Wamrekani wa kipato cha chini na cha kati kupata makazi na kusaidia Wamarekani kupata...
  7. R

    Donald Trump declares war on LGBTQ

    Salaam, Shalom!! HAKIKA Donald Trump ni mtumishi wa Mungu aliye juu, Hivi Leo ametangaza vita na Taasisi zote zinazojuhusisha na kubadili JINSIA Kwa wamarekani akidai hii ni kinyume na mapenzi ya Mungu. Amedai kuwa, ilifika time mzazi aliweza kubadili JINSIA ya mtoto wake wa kumzaa bila hata...
  8. enzo1988

    Hii fluoride ina kitu gani mpaka Trump anataka kuipiga marufuku?

    DR Mambo Jambo ,tupe ukweli kuhusu hii kitu, inawezekana tulidanganywa! Donald Trump has chosen Robert F Kennedy Jr as his new health secretary Mr Kennedy - a known vaccine sceptic - previously claimed Mr Trump would push to remove fluoride from drinking water on his first day in office...
  9. Jackal

    Republicans wachukua Mabunge yote mawili ya Marekani (House & Senate) pamoja na Urais

    Trump Oyeee!! ======== Republicans officially clinched control of the House of Representatives on Wednesday night, affirming GOP control of both chambers of Congress and the White House. WASHINGTON, DC - JULY 19: Israeli President Isaac Herzog speech on the floor of the House of ... [+]...
  10. Meneja Wa Makampuni

    Trump ametangaza rasmi kuirudisha biblia Marekani (Marekani ni Taifa la Mungu)

    Rais wa Marekani anaye tarajiwa kuapishwa, Donald Trump ametangaza rasmi kuirudisha biblia Marekani. https://youtu.be/R9Nh6v8ivh0?si=i4su5eN3M7E2k_kA
  11. Damaso

    DOKEZO USAID ijiandae kisaikolojia chini ya Rais Trump

    Sio ajabu kuona watu kama kina Samantha Power, Michele Sumilas, Clinton D. White pamoja na Kimberly Ball wakiumia na kugugumia maumivu juu ya ushindi wa Donald Trump. Kwa Wamarekani ni wazi kuwa kulikuwa na matarajio ya kuchaguliwa tena kwa Trump, Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani...
  12. Mi mi

    Kazi nzito Trump aliyonayo

    Kati ya kazi nzito bwana Donald Trump alizo nazo ukiondoa changamoto za ndani ni kupambana na haya mataifa yanayo tishia usalama wa marekani kwa miaka mingi ijayo. Moja kati ya kazi tukufu uliofanya utawala wa Democrats wa bwana Biden ni kuwaweka karibu zaidi maadui wa marekani. DT kazi ya...
  13. Annie X6

    SI KWELI Trump ametoa hotuba ya kibaguzi dhidi ya waafrika na Waarabu

    "HOTUBA YA DONALD TRUMP KUHUSU KWA NINI ANAWACHUKIA WAAFRIKA NA WAARABU". Hatulazimiki, hata kwa sekunde moja, kujaribu kuthibitisha kwa mtu yeyote na hasa kwa weusi na Waarabu kwamba sisi ni watu bora zaidi - tumedhihirisha hilo kwa weusi na Waarabu kwa njia 1001. Marekani tunayoijua leo...
  14. Mathanzua

    Highlights of President-Elect Trump's plans for America

    Yes, finally America is coming to it's senses with President Elect Trump. America had reached a point where Americans could no longer tell what evil will befall them the next morning, America had become so evil. Thanks Trump will reverse most of that, and once again America will be a...
  15. Joseph Ludovick

    Kesi zilizofunguliwa na mamlaka za kisheria za shirikisho (Federal cases) dhidi ya Donald Trump zinakufa zote

    Mifumo ya Demokrasia na sheria imeona mbali. Huwezi mshitaki rais aliye madarakani. Kesi nyingi zilizofunguliwa na mamlaka za kisheria za shirikisho (Federal cases) zinakufa zote. Kesi zilizofunguliwa majimboni, kama New York na Georgia nazo hatimaye zitayeyuka. Wenzetu CHADEMA wajifunze mambo...
  16. Richard

    Uchambuzi: Hali ya Usalama Duniani chini ya Rais Donald Trump. Ukraine imeambiwa ili kuwe na Amani isahau Crimea na je Dunia imejiandaa vipi

    Baada ya raisi Donald Trump kushinda uchaguzi mkuu nchini Marekani na kuwa raisi mtarajiwa wa 47 wa taifa hilo kubwa Duniani, nchi kadhaa duniani zimeanza kujiweka sawa. Baadhi ya nchi hizo ni Russia, Ukraine, Iran na Israeli. Nchi zingine ni pamoja na Nigeria, Eritrea,Sudan na Tanzania. Nchi...
  17. Wakusoma 12

    Iran wasema hawakuwa na mpango wa kumuua Rais mteule wa Marekani Donald Trump

    Iran imekanusha madai ya Wizara ya Sheria ya Marekani kuwa ilikuwa na mipango ya kumuua Rais mteule wa Marekani, Donald Trump. Taarifa ya Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, imesema madai hayo hayana msingi wowote na kwamba kauli hiyo ina nia ya kusambaratisha zaidi mahusiano kati ya...
  18. Carlos The Jackal

    Donald Trump anatangaza Vita Rasmi dhidi ya LGBTQI+

    Ndugu zangu, Sauti ya Kimamlaka anayotumia Donald Trump, ni lazima ukubaliane namimi kua, Mungu aliyanusuru Maisha yake Kwa Kazi maalumu. Jamaa hata hajaapishwa, lakini tayari kaanza Kazi mara Moja. Wale mashoga na mnaounga mkono Ushoga, na shughuli zoooooote za upuuzi wa aina hiyo ikiwemo...
  19. Mindyou

    Rais Ruto wa Kenya ampigia simu Rais mteule wa Marekani Donald Trump

    Rais wa Kenya, William Ruto, amefanya mawasiliano ya simu na Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ili kujadili masuala ya uwezekano wa kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili. Rais Ruto alimtaka Trump kuendelea kuangazia maeneo ya kipaumbele katika uhusiano wao, ikiwemo fursa za...
  20. Bams

    Donald Trump Kumpa Uhuru Netanyahu Dhidi ya Iran

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CIA, amesema kwamba anatarajia serikali ya Donald Trump, tofauti na Setikali ya Biden, itampa Netanyahu uhuru wote dhidi ya Iran, yaani Israel iamue wakati gani wa kuishambulia Iran, iishambulie Iran kwa namna gani, na ishambulie maeneo gani. Ikumbukwe kuwa utawala...
Back
Top Bottom