Je sisi ni raia wa Marekani ?
Je tunalipa kodi au tozo Marekani?
Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ?
Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada.
Nadhani Africa tumepewa...
Rais Donald Trump amemualika Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kutembelea Ikulu ya White House wiki ijayo, ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi wa kigeni katika muhula wake wa pili.
Ziara hii inakuja wakati Marekani inashinikiza Israel na Hamas kuendeleza usitishaji mapigano...
Utawala wa Rais Donald Trump umeamua kusitisha usambazaji wa dawa muhimu za kuokoa maisha kwa magonjwa ya VVU, malaria, na kifua kikuu, pamoja na vifaa vya matibabu kwa watoto wachanga, katika nchi zinazosaidiwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID).
Hatua hiyo ni sehemu ya...
Nimewaza sana na ninafikiri ni muda Sasa wa Dunia kututambua USA amesema kwa mwaka Jana pekee alichangia kiasi Cha Dola za Marekani milioni 500 pesa ambazo ni kama tilioni moja nukta 2 za kitanzania (1.2tirioni za kitanzania). Pesa hizi tunao uwezo wa kuzipata na kuziwakilisha kama mchango wetu...
Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kuonesha msimamo mkali kuhusu suala la wahamiaji. Katika sera zake, amesisitiza kuimarisha usalama wa mipaka, ikiwemo ujenzi wa ukuta mpakani na Mexico, pamoja na kuimarisha sheria za uhamiaji ili kupunguza wahamiaji wasio na vibali halali. Trump...
Wakuu,
Shirika la habari la Reuters hivi karibuni limeripoti kwamba Rais wa Marekani Donald Trump amethibitisha kuwa kampuni ya Microsoft iko mbioni kununua Tiktok
Taarifa hiyo kutoka Reuters inasema kuwa Trump amesema kwamba Microsoft iko kwenye mazungumzo ya kununua Tiktok na kwamba...
Wadau hamjamboni nyote?
Wadada wanapigana vikumbo huko ughaibuni kwa muonekano wa kuvutia wa kijana mdogo wa Rais Trump
Barron Trump Is a 'Ladies Man' at New York University, Source Says:
'Even Liberal People Like Him' (Exclusive)
"He’s really popular with the ladies," a source says of...
Wapo wavivu na wajinga wanaolalamika na kulaani kwanini Rais Donald Trump amesitisha misaada.
Kwa wanaojua utajiri uliokaliwa na Afrika, wanashangaa nani alituroga. Anachofanya Trump, kwa wenye akili na wabunifu, ni changamoto kuwa wahusika watumie akili na kuweza kutumia utajiri waliojaliwa na...
Tuorodheshe hapa mashirika na taasisi pamoja na miradi inayofadhilwa na serikali ya Marekani ambayo itaathirika moja kwa moja na uamuzi wa serikali ya Marekani chini ya Donald Trump wa kusitisha ufadhili iwe ni kupitia shirika la misaada la Marekani (USAID Tanzania) au vinginenyo.
Soma Pia...
Mbunge wa zamani wa Muleba, Prof Tibaijuka amesema kitendo cha Rais Trump wa US kusimamisha msaada ya kimataifa kitaleta Kiama Tanzania na Afrika
Pia soma > Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika
Trump amezuia misaada ya sekta za afya...
Wapambe wa Trump wanasema he is not there for playing games, you Around with him and Find out.
Leo ndege 2 za kijeshi zenye rais 160 wa Columbia ambao walikua wahamiaji haramu nchini Marekani zilikataliwa kutua nchini Columbia na kulazimika kurudi Marekani.
Baada ya hapo Trump akatishia kesho...
Trump kaingia ofisini juzi tu, lakini huko Marekani hawapoi.
Trump amewaondolea viongozi wastaafu ulinzi na kutaka jukumu hilo la ulinzi wajigharamie wenyewe.
“Nimewaondolea Ulinzi wa Kiserikali kwasababu walifanya kazi serikalini na naamini walitengeneza fedha za kutosha sana hivyo wanaweza...
Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika.
Sababu kuu mbili zilizonifanya nifurahie uamuzi wa Trump ni hizi;
1. Hii misaada tumeanza kupewa tangu tupate uhuru mpaka sasa bado tunaendelea kupokea na hakuna mabadiliko. Ni kama vile fedha...
Wakuu,
Utawala mpya wa Rais wa Marekani Donald Trump umesitisha na kuzuia misaada ya kimarekani kwa nchi za kigeni.
Marco Rubio ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameripotiwa kutuma barua kwenye balozi zote duniani kusitisha miradi ya maendeleo ambayo inafadhiliwa na Marekani ndani...
Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa wanawake nchini marekani, haimaanishi ukiolewa na tajiri ndio uondoke na mali zake punde mkiachana nataka nikomeshe tabia hii kwamba mkiachana kuna kiasi tu itabidi upewe na hakuna sababu ya kusema ni kidogo kwakua hukuhangaikia, kama unahisi huwezi...
Wakuu,
Inaonekana huko nchi Marekani wameanza kufuata mienendo ya wanasiasa wa CCM.
Mbunge mmoja huko nchini Marekani amepeleka muswada bungeni ambao una lengo wa kumuongezea muhula wa 3 Donald Trump.
Muswada huo una lengo la kumpa Donald Trump miaka mingine 4 akishamaliza muda wake wa...
Ikiwa ni mwendelezo wake juu ya kupinga masuala ya wanaharakati wa LGBTQ+ amepiga marufuku bendera za upinde kuendelea kupepea.
Amesema kwamba bendera ya taifa hilo inatosha kulinda haki zote za raia wa taifa hilo.
Marekani imeondoa maombi yote ya usafirishaji wa bidhaa kupitia Rzeszow, Constanta, na Varna kwa ajili ya Ukraine.
Usafirishaji wa silaha na vifaa vya kijeshi kwenda Ukraine kupitia kambi za NATO barani Ulaya umesitishwa.
Kwa makadirio ya awali, hili linahusisha maelfu ya tani za silaha na...
Asante, Donald J. Trump!
Rais Trump ametimiza ahadi ya kampeni kwa wafuasi wa chama cha Libertarian katika siku yake ya pili ya kurejea ofisini kwa kumsamehe muundaji na mmiliki wa tovuti ya biashara ya kielektroniki "Silk Road" inayojulikana kwa ulanguzi wa dawa za kulevya. Ross Ulbricht...
Moja ya masharti waliyowekewa raia wa Marekani Januari 20, 2025, kabla ya kuingia katika ukumbi wa "Capital One Arena" jijini Washington DC, ilikuwa ni kuacha mabegi na mikoba nje ili waweze kushuhudia na kusikiliza hotuba katika uapisho wa Rais Donald Trump, na wengi walikubali kutii sharti hilo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.