Fuatilia yanayojiri kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika 2024 - Dodoma.
Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko akijibu hoja ya Mawakili kukamatwa wanapotekeleza majukumu yao amesema kuwa Serikali imelichukua hili. Amesema kuwa nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya sheria hivyo...
Waziri Dotto Biteko ambaye pia ni Naibu Waziri mMkuu ameituliza sana Wizara ya Nishati iliyokuwa imeharibiwa vibaya kwa ufisadi na January Makamba. Foleni za kugombea mafuta hazionekani tena pia upatikanaji wa umeme umeimarika mno.
Kama kuwa na Wajomba nje ya nchi ni kosa hata Rais Samia ana...
Naona wale wote waliokuwa mashabiki wa Magufuli wameamua Kwa makusudi kum push huyu Biteko kuvaa viatu vya Magufuli ili aje awe "the Next Magufuli" matokeo yake wanamshauri vibaya sana au pengine yeye mwenyewe kwa kujaribu kuvaa viatu vya Magufuli ndo anazidi kuharibu na since washauri sometimes...
"Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Siasa za dijitali, siasa za mitandaoni, siasa za Instagram, siasa za uchawa.
Ukiwa na akili timamu huwezi kushabikia siasa za Makonda na umapepe wake wa kulazimisha kukubalika Kila pembe ya nchi.
Makonda ni moja ya viongozi wachapakazi sana ila tatizo lake ni moja Kila anachokifanya anataka...
Waziri Biteko hongera kwa kazi nzuri,ingawa sioni kwamba ni sawa hasa kukupongeza kwa kazi ambayo ni wajibu wako kama Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Hata hivyo nimekupongeza kwa kuwa umethubutu kuvunja upigaji na uzembe ambao ulikuwa umekithiri TANESCO.Sisi wengine tulijua kwamba sababu...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko bungeni jijini Dodoma, wakati akisoma hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2024/2025 amesema:
Katika mwaka 2023/24 Serikali iliendelea kuchukua hatua za kuimarisha uzalishaji na upatikanaji wa umeme nchini ambapo hadi...
Taifa limekosa umeme kwa zaidi ya masaa 15. Dotto Biteko yupo kimya tu anakula bata kwa kupanda Mashingingi. Eti itilafu ya umeme? Itilafu gani ya kurekebishwa kwa masaa 24?
Mbona hapo awali January Makamba akiwa waziri wa Nishati alituaminisha kuwa Mgao wa umeme ulikuwa sababu ya miundombinu...
Wakuu kwema?
Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?
Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea...
Tatizo la umeme hapa nchini ni la kimfumo, siyo la mtu (waziri). Ndiyo maana mawaziri wengi wanateuliwa na kutenguliwa lkn tatizo liko pale pale.
Waziri Biteko naye kama wenzake waliopita hana jipya. Namuona amejaa maneno mengi ya vitisho na manyangaso kwa wafanyakazi wa TANESCO lkn tatizo la...
Yaani nashangaa umeme bado ni kero kubwa sana kwetu sisi wananchi wa Tanzania.
Tuliaminishwa kwamba kijana huyu mheshimiwa Waziri Biteko akiingia mgawo wa umeme utakuwa historia lakini mpaka muda huu bado ni bila bila.
Umeme kukatika hovyo hovyo Tanzania imekuwa ni kero isiyopata suluhisho la...
Ndugu Dotto Mashaka Biteko
Najua utakuwa kanda hii ya Ziwa maana jana ulikuwa Bukoba kwa wakatoliki.
Nakuulizaa tuu umeshindwa kabisa hili swala la umeme
samia SULUHU HASSANI Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Wewe ulikuwa Serikalini
Dr. Medrard Kalemani alikuwa waziri kwenye serikali...
Hakuna ubishi kanda ya ziwa bado wana kinyongo.
Uchaguzi wa 2025 kuna kisasi kikubwa watafanya by any means necessary.
Uteuzi wa Dotto Biteko ilikuwa ni mbinu ya kurudisha ushawishi wa mama kwa watu wa kanda ya ziwa ili akubalike. Lakini haukuzaa matunda.
Haya huyu mwenezi wa CCM sasa...
Wanabodi,
Hili ni bandiko mwendelezo wa three series za uchambuzi wangu wa sheria mpya ya Uchaguzi, 2023. Kama hukuona 1st series, anzia hapa Asante Rais Samia kwa Muswada huu. Umuhimu wa mabadiliko ya Katiba kabla ya Sheria hii bado ni muhimu sana. Huu ni uchambuzi Wangu - Part 1 kisha uje...
Dotto Biteko aliteuliwa 30 August, 2023 na kuapishwa 1 September, 2023. Siku ya kuapishwa mhe rais alitoa miezi 6 kero za umeme ziwe zimemalizika.
Kimahesabu kutoka 1 September 20223 mpk leo 15 December 2023 bado miezi 2 na nusu muda uwe umeisha. Lkn sioni mipango, mikakati wala mbinu za...
MTWARA; NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Nchini (tanesco), kumsimamisha kazi Meneja wa Huduma kwa wateja kwenye shirika hilo na kuweka mtu mwingine kufanya hiyo kazi.
Pia amemuagiza Mkurungezi Mtendaji wa Shirika la...
Paul Albert Bashite Makonda al maarufu kama Bashite ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya Dar es salaam na badae kuwa mkuu wa Mkoa awamu ile ya Mkono wa Chuma na kutumbuliwa na Awamu hiyo hiyo kabla ya kupigwa kikumbo kabisa na awamu iliyofuata sasa awau hiyo hiyo imemrudishwa kwenye siasa :
Baada ya...
Makali ya umeme yatapungua kwa kiasi kikubwa kufikia mwanzoni mwa 2024, kupitia juhudi za Serikali kupunguza upungufu wa umeme kutoka Megawati 810 na kufikia megawati 240.
-
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam katika hafla ya utiaji...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewashukuru marafiki na wanafunzi aliosoma nao katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine Mwanza (SAUT) na kuwataka kufanya kazi kwa bidii ili kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kutimiza azma ya kujenga uchumi wa nchi na Watanzania.
Ujumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.