Makamba alitolewa Tanesco kupunguza makelele tu. Ila kiuhalisia sasa hivi mgao wa umeme ni mkali kupita kiasi..
Swali linabaki pale pale bwana yule aliwezaje kutuepusha na hii dhahama...Samia is a failure.
Nawashangaa sana wanaowaza kumwongezea muda.
Rais Samia ‘atoboa siri’… aeleza sababu zilizomfanya amchague Dkt. Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu.
Ameyasema hayo wakati akizindua vifaa vya uchimbaji madini kwa ajili ya kuimarisha STAMICO na wachimbaji wadogo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete - Dodoma.
Niende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa Wizara ya Nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa Geita na Shinyanga hatujakatiwa umeme.
Huo ni mwanzo mzuri tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipokutia moyo, endelea kushikilia hapohapo mwamba, hakika mama kafunga goli...
MBUNGE ROSE BUSIGA AKABIDHI TUZO YA PONGEZI KWA NAIBU WAZIRI MKUU, MHE. DKT. DOTTO BITEKO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita, Mhe. Rose Vicent Busiga ametoa Tuzo ya Pongezi kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko kwa niaba ya Wanawake wa Mkoa wa Geita na tuzo...
Niweke bayana kabisa, kitaaluma mimi ni mhandisi, ntayoyaandika hapa ni kutokana na uzoefu wangu kwenye kada hii.
Naamini Mheshimiwa Biteko utapita hapa na utapata chochote kitu. Inawezekana kabisa umwfanya makubwa wizara ya madini, ila wizara hiyo inawagusa watanzania wachache sana, hivyo leo...
Wengi wanashangaa kwanini sasa kuna sintofahamu kubwa kuhusiana na mambo ya Umeme, Petrol na Diesel
Wapendwa jipeni moyo na tuzidi kumuombea kwa Mungu wa mbinguni ndugu Yetu Doto Biteko akapewe Wepesi katika Utendaji wa majukumu yake ya kila Siku
Nawatakia Alhamis yenye baraka 😄
Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna ratiba ya umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI.
Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa...
Yajayo yanafurahisha Leo nilikuwapo jijini Mwanza maeneo ya Buhongwa nikaona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu waziri mkuu, Dotto mashaka Biteko ikijengwa kwa kasi Sana nikajua tu yajayo kwa Kanda ya ziwa yanafurahisha kila la Kheri mtarajiwa.
Asalam,
Siasa ni kazi inayohitaji ustadi mkubwa na tafiti nyingi ikiwemo kuzijua hisia za wananchi. Hizi kanuni muhimu sana
1. Kwenye Siasa nenda na agenda za wananchi (Nyerere J.K)
2. Kwenye Ongea lugha ya wananchi, usiongee lugha wanayoelewa, ongea lugha yao.
Kwa kanda ya ziwa CHADEMA...
Kanda ya Ziwa ndiyo yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa mingi na yenye Wapiga Kura wengi na ambao Wakiudhiwa na wasipotulizwa wanaweza kufanya Maamuzi yasiyotegemewa katika Sanduku la Kupiga Kura.
Baada ya Kugundua Watu wa Kanda ya Ziwa wana Visununu vikubwa Viwili 1. Kuondoka kwa Mtu Wao kuwa na...
Naona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu.
Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa, Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa.
Yaani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto.
Ana nguvu ya kutoa kauli...
Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo.
CCM bwana!!!
Nawaza tu nanyi mnisaidie kuwaza pamoja.
Kuondolewa kwa kipara wizara ile na kuwekwa Biteko huenda ni bomu ametegeshewa ljmlipukie.
Baada ya kipara kuboronga pale na kupiga dili za kufa mtu ilibidi atafutwe mtu ambaye anaonekana kuwa na ushawishi chamani na kwa wananchi. Huyu si mwingine bali...
Mabadiliko ya baraza la mawaziri yamethibitisha nia ya dhati ya Mh. Samia kuongeza kasi ya serikali kuwatumikia wananchi na kuchochea maendeleo ili kufikia dira ya maendeleo ya Taifa 2025.
Katika mabadiliko hayo, Mh. Rais ameoneshwa kuridhishwa na Mh. Biteko na Mchengerwa hivyo kuwabadiloshia...
Naibu Waziri Mkuu ni Waziri wa Nishati, sasa Leo SAA 12 asubuhi umeme umekatika, hii inaonyesha ni mgao WA umeme. Naomba ulishughulikie Hilo.
Na pia Kwa sababu umepewa hukumu la kuratibu, kuna hiki la SGR Vs Manus ya Wabunge wetu na mawaziri , au mpaka DP weldi na hao wafanya biashara wachukue...
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi.
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2...
Ikiwa wakiteuliwa wanaachwa wapumzike tu then wanarudishwa tena.
Wakichoka wanapumzishwa uchovu ikiisha wanarudishwa tena. Je, sisi Chawa wa Mama ma Chawa wa Chama ni lini tutaingiamo? Au nafasi hizi ni za kwao tu?
Sitasema mengi oneni mwenyewe.
==========
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson...
Keypoints:
Biteko amechaguliwa kusaidia kukisafisha chama cha CCM kwani kina makandokando mengi sana.
Biteko ni mtu muadilifu na muungwana na hajikwezi kama wengine.
Kama waziri wa nishati, Biteko aangalie maeneo 2 ya msingi ambayo ndiyo chimbuko la matatizo yote, bei ya mafuta na upatikanaji...
Kuna njia nyingi za kummaliza mwanasiasa kisiasa; moja ya njia hizi ni kuteua na kutumbua bila kutoa kupewa sababu ya kuteuliwa na bila sababu ya kutumbuliwa.
Kanda ya Ziwa ni eneo moja wapo ambalo kwa bahati mbaya halina wanasiasa wenye nguvu katika bunge la sasa. Mhe. Magufuli alihakikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.