Baada ya kufatilia mjadala huu kwa ukaribu Sana na kuona wengi Wakitoa Presidential Decree mbalimbali zinazolindwa na katiba nimeona sio vibaya kama na mimi nitakuja na Historia kwa sababu historia huwa haidanganyi na ndio suluhisho
Lini Hiki cheo kilikuwepo na watu walioteuliwa,Na nani...
Mh, kwanza nakupongeza kwa kuwa Waziri mpya wa Nishati. Nina imani na wewe!
Mhe, kutokana na imani niliyonayo kwako.. nisingependa kuona unaharibu kama alivyofanya mtangulizi wako. Hivyo basi nakushauri kufanya yafuatayo :
1. Tengua bodi aloteua Makamba. Bodi imejaa watu wenye makando kando...
Unakimbuka shule ya Shauritanga ilipoungua na kuua wasichana 50 +, Waziri Mkuu Malecela aliwaita Scotland Yard. Kwa sababu ya ukubwa wa tatizo.
Juba tofauti gani na sasa ambapo Waziri Biteko anashutumiwa katika kifo cha msaidizi wake?
Lazima Scotland Yard waletwe. Wakati ule aliketwa Collin...
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kuelekea Kongamano la Uwekezaji katika Sekta ya Madini Mwaka 2023 linalojulikana kwa jina la Tanzania Mining & Investment Forum 2023, Waziri wa Madini, Doto Biteko amesema wamepanga kutoa elimu kubwa zaidi kuelekea shughuli hiyo itakayofanyika baadaye mwaka huu...
Habari za Leo ndugu zangu, poleni na majukumu ya siku ya leo.
Leo nimeona niwajulishe kile ninacho kiona mwaka 2025 na uzi huu uwe shahidi itakapofika wakati huo.
1. Mpaka mchakato wa ndani wa kupata majina ya wagombea CCM unaanza, chaguo la wengi kwa nje litakuwa Mwanamke.
2. Form yakwanza...
KINANA "GEITA IENDANE NA THAMANI YA DHAHABU YA MKOA HUO"
Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali mstaafu Abdulrhaman kinana amemshauri mkuu wa mkoa wa Geita Martin Shigella kuangalia namna nzuri ya kuupanga mji wa Geita uwe na Muonekano mzuri na wa kisasa na si...
Kwenye mada moja kwa moja bila kuchoshana.
Kwako Mh. Rais, naomba kama itakupendeza mtumbue Waziri wa Ardhi Anjelina Mabula na nafasi yake mpeleke Dotto Biteko huku Prof. Sospeter Muhongo achukue nafasi ya Waziri wa Madini.
Dotto atafaa Sana Wizara ya Ardhi Ili kuwanyoosha matapeli wa Wizara...
HOTUBA YA WAZIRI WA MADINI MHE. DKT. DOTO BITEKO (MB) AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA MAADHIMISHO YA MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA AWAMU YA SITA MADARAKANI TAREHE 10 MACHI, 2022 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WIZARA YA MADINI, DODOMA
Bw. Adolf Nadunguru, Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini...
Raisi Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambalo ni lilelile alolirithi kutoka kwa mtangulizi wake hayati Magufuli.
Ni mabadiliko ambayo yanaonyesha kwamba anataka watu wataomsikiliza na walo tayari kufuata akitakacho na si kujitia ujuaji.
Hivyo raisi kaamua...
===
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amemuagiza Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba kuwasimamisha kazi Maafisa saba wa Ofisi za Madini za Mikoa mbalimbali ya Kanda ya Ziwa kutokana na kutokuwa waaminifu katika shughuli zao za usimamizi wa Sekta ya Madini katika...
Ajabu waziri wa utumishi kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine!
Yaani mkwe wa Rais, anaagiza ukaguzi wizara ya madini ili wahalalishe kumtumbua Dotto ambae ni team Magufuli ili waweke mtu wao!
Sasa mtumbueni huyo kijana tuendelee na mambo mengine haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua...
Aliyekua mbunge machachari na mwanasiasa mwenye maono Godbless Lema amemtakia safari njema Dotto Biteko.
Lema ni moja watu wenye maono makubwa sana kwenye nchi hii, binafsi ninamkubali sana Lema hasa pale alipoamua kulivingirisha jiwe.
Lema amemwambia Dotto Biteko kuwa zamu yako imefika, wewe...
Wanabodi,
Bado niko jijini Arusha, kuwaletea live ya day 2 ya , mkutano wa kimataifa wa ITAC
ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
Mwanzo nilikuona wa maana sana kumbe ndio walewale walamba viatu na wajali matumbo yao. We ni mtu wa ovyo, mzandiki na usiyefaa hata kidogo!
Umeamua kuwafukuza wananchi wa Chunya kwenye eneo lao waliokuwa wanachimba eti walimdanganya rais.
Wewe kama msaidizi wa rais, iweje ukubali bosi wako...
Mgodi wa Katente ni miongoni mwa migodi iliyokuwa imetoa ajira nyingi kwa vijana waliopo wilaya ya Bukombe. Na kwa namna moja au nyingine ulichangia pato la halmashauri pato kubwa sanaa.
Kwa nn ulifungwa?
Kwa mujibu wa habari zisizo rasimi kuna sababu kuu mbili
Moja ya wazi, kuwa wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.