dp world

DP World is an Emirati multinational logistics company based in Dubai, United Arab Emirates. It specialises in cargo logistics, port terminal operations, maritime services and free trade zones. Formed in 2005 by the merger of Dubai Ports Authority and Dubai Ports International, DP World handles 70 million containers that are brought in by around 70,000 vessels annually. This equates to roughly 10% of global container traffic accounted for by their 82 marine and inland terminals present in over 40 countries. Until 2016, DP World was primarily a global port operator, and since then, it has acquired other companies up and down the value chain.

View More On Wikipedia.org
  1. KING MIDAS

    Kwa hiki wanachokifanya DP WORLD bandarini, maadui zetu wakubwa ni viongozi wetu walioruhusu upuuzi kudumu muda mrefu

    Wananzengo, mu Hali gani? Kwa masikitiko makubwa Leo nawatangaza hadharani maadui wakubwa wa taifa letu. Laiti tungekuwa na uongozi imara tungekuwa mbali sana kwenye mafanikio ya kiuchumi. DP WORLD wamepewa bandari bure, wamepewa na vitendea kazi bure. Leo wameongeza Terminal Trucks kumi na...
  2. R

    Ndugu Mwigulu, kama makusanyo ya Bandari anakusanya DP World, tutakwepaje bankruptcy?

    Salaam, shalom!! Ikiwa lango la Nchi, lililo na makusanyo makubwa kuliko yote, tumemkabidhi mgeni atukadirie mapato baada ya Kutoa gharama zake za uendesgaji na ukusanyaji tutakwepaje kuwa bankrupt? Tuliambiwa kwamba, akiingia DP World, atasaidia kufadhili budget ya nchi yetu zaidi ya 50%...
  3. Pfizer

    Uwekezaji Bandari Dar waduwaza viongozi UVCCM

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Saklaam UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umetembelea maeneo ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam uliofanywa na kampuni ya DP World na kusema uwekezaji huo umeleta mabadiliko makubwa ya kiutendaji na ufanisi mkubwa bandarini hapo kwa maendeleo na...
  4. Kuli Msomi

    Wajuzi mje kutuambia, kuna shida gani Bandarini maana tangu wamekuja DP World ni majanga na sio amani tena

    Wakuu tangu Waingine DP World ni kama kero imekua kubwa kwa wafanya biashara gharama za uchuuzi wa kontena zipo juu sana mpaka inashangaza. Na Kontena zinachukua muda mrefu sana kupita kiasi Wakuu shida nini? Je, ni sera mbovu za kiabiashara za serikali ukijumlisha na gharama au? Je, Serikari...
  5. ChoiceVariable

    DP World Washusha Meli yenye Kontena 4,000 Dar Port. Meneja TPA asema ni matokeo ya uwekezaji, adai huo ni Mwanzo tu

    Haya Sasa DP World wameanza kufanya Yao Dar Port Kwa kuleta meli kubwa zaidi ,urefu zaidi ya mita 300👇👇 Kampuni ya DP World iliyoingia ubia na Serikali kwa ajili ya uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam imeingiza meli ya kwanza yenye urefu wa mita 294.12 ikiwa ni sehemu ya utekelezaji na...
  6. Etwege

    Rais Samia unadanganywa, DP World hajaleta tija yoyote kwenye Bandari ya Dar es Salaam

    Maswali chechefu: 1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 Billion toka kwa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mbossa na Mjumbe waBodi, Bw. Minja? 2. Je, Rais hajui kuwa kuna miaka TPA ilikuwa...
  7. The Sunk Cost Fallacy 2

    Rais Samia: Waliosema nimeuza Bandari na Bahari faida yake ndio hii

    My Take Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa, ni spana tuu Kwa kwenda mbele. ======= Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imevunja rekodi kwa kutoa jumla ya Shilingi za Kitanzania 153.9 Bln kama gawio kwa Serikali kuu kwa mwaka wa fedha Mwaka 2023/2024. Gawio...
  8. BARD AI

    Je, hii ni Mikataba ya Kimangungo katika jina la Uwekezaji?

    1. Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini 2. Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na kuhifadhi misitu ya Tanzania. Hii ni hekta milioni 8.1 (8% ya...
  9. BARD AI

    DP World yakabidhiwa rasmi Bandari ya Dar es Salaam

    Wakati Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ikikabidhi Bandari ya Dar es Salaam kwa Kampuni ya DP World, Serikali inaangalia namna ya kufanya upanuzi wa bandari hiyo ili kuendana na ongezeko la mizigo inayohudumiwa. Hiyo ni baada ya baadhi ya wamiliki wa migodi kutoka nchi jirani pia kuonyesha nia...
  10. T

    Walisema DP World itashusha gharama na siku za mizigo kukaa Bandarini. Leo gharama za kuingiza mzigo zitapanda kwa 360%

    Hakika sikio la kufa halisikii dawa. Wabunge wakishirikiana na mawaziri, machawa na wapambe e.g. baadhi ya waandishi walituaminisha pitisha hiyo sheria ya kubinafsisha bandari zetu kwa DP world. Tuliaminishwa, ulimwengu unaenda kasi lazima tuende na wakati, tuende na utandawazi, pitisha hiyo...
  11. Erythrocyte

    Faida za Uwekezaji wa DP WORLD Bandarini zaanza kuonekana, Hongera Rais Samia

    Najuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa
  12. Abubakari Mussa

    Bandarini kuna changamoto gani hasa inayochelewesha mizigo?

    Wadau habari zenu, kumekua na ongezeko la malalamiko kuhusu kucheleweshwa kwa mizigo bandarini hadi kufikia siku 40 mzigo unakuta umekwama. Vipi hili swala limekaaaje? Changamoto ni nini haswa?
  13. M

    DP world kupewa bandari, kanisa katoliki limekosa ushawishi?

    Salam kwenu Watanganyika na wazanzibari! Tumeshuhudia Dp world wakiripotiwa kuwa wameanza majukumu pale bandari salama. Hatua kadhaa zimekuwa zikuchukuliwa kuweka mifumo yao sawia. Sote tunafahamu, kanisa takatifu katoliki lilisimama na kinachosema upande wa wananchi kuhoji uhalali wa mkataba...
  14. K

    Ni vema tukaelezwa ni kiasi gani DP world inailipa Serikali kwa mwezi?

    Serikali imeipa DP World baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Hili ni jambo jema kabisa. Sasa ni vema Serikali ikahabarisha wananchi wake ni kiasi gani DP World inailipa Serikali kwa mwezi ili tulinganishe mapato ya Bandari kabla haijachukuliwa na DP World na mapato ya DP World...
  15. Replica

    DP World yashusha meli nzima ya vifaa bandarini, TPA wasema walishakabidhiana tangu April 7

    MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji. Aidha, TPA imebainisha kuwa makabidhiano ni tangu Aprili 7, mwaka huu bila kuathiri uendeshaji wa...
  16. Jamii Opportunities

    Branch Manager at DP World Tanzania April 2024

    Branch Manager Branch Manager at DP World Tanzania April 2024 Job Function The Branch Manager for a Freight Forwarding branch office is responsible for overseeing and managing all operational and administrative aspects of the branch. This position requires strong leadership skills, excellent...
  17. Msanii

    Mzee Kinana, kama mapato yameongezeka awamu hii, hawa DP World wanafanya nini nchini

    Nimetumia jina la DP World kujenga kichwa cha habari. Hivi juzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara amenukuliwa na media akibariki pambio inayotumiwa na chawa kwamba Awamu ya 6 imefanya mambo mengi ya mafanikio. Kikubwa alisema kuwa mapato ya serikali yameongezeka maradufu kuliko awamu zote...
  18. M

    Halotel imekuja Tanzania mwaka 2015 kamkuta TTCL ana miaka 30 sokoni ila Halotel kampita wateja TTCL

    Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya umma Baada ya kuanzishwa October 2015 iliwachukua mwaka mmoja tu Halotel kufikisha wateja milioni tatu (3), yaani by mwaka 2016 October Halotel alikuwa tayari...
  19. Pfizer

    Ushirikiano wa TPA na DP World kuongeza shehena na kuleta ufanisi Bandari ya Dar

    Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imejipanga kushirikiana na Kampujni ya DP World ili kuongeza ufanisi wa huduma za kibandari na kuwezesha ongezeko la Meli na Shehena katika Bandari ya Dar es Salaam Akizungumza katika Kikao cha Wadau wa Bandari na Sekta ya Uchukuzi...
  20. Mtemi mpambalioto

    Dar: RC Chalamila apokea msaada toka DP World Foundation kwa ajili ya wenye uhitaji mfungo wa Ramadhani

    Mheshimiwa Albert Chalamila ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam amepokea msaada wa vitu mbalimbali kutoka taasisi ya DP World Foundation na kukabidhi msaada huo kwa watu wenye uhitaji katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi wa Ramadhan. Msaada huo unaokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi za...
Back
Top Bottom