dp world

DP World is an Emirati multinational logistics company based in Dubai, United Arab Emirates. It specialises in cargo logistics, port terminal operations, maritime services and free trade zones. Formed in 2005 by the merger of Dubai Ports Authority and Dubai Ports International, DP World handles 70 million containers that are brought in by around 70,000 vessels annually. This equates to roughly 10% of global container traffic accounted for by their 82 marine and inland terminals present in over 40 countries. Until 2016, DP World was primarily a global port operator, and since then, it has acquired other companies up and down the value chain.

View More On Wikipedia.org
  1. Kijakazi

    DP World imebuma, EU kujenga Transafrika Corridor kuunganisha Kongo na Zambia with Lobito Angola Harbor!

    Hii ndiyo sababu ya ziara ya Zambia? Habari ndiyo hiyo EU kupitia Global Gateway inajenga infrastructure ya kufa mtu kuunganisha nchi za Dr.Kongo na Zambia na Bandari ya Lobito Angola, and guess what Angola hajakodisha Bandari zake hivyo ni profit kwa kwenda mbele, dpworld yenu atasafrisha nini...
  2. Erythrocyte

    Mbowe: Rais Samia haaminiki, aweke hadharani mkataba wa bandari ili tuuone

    Akihutubia Maelfu ya Wananchi huko Nkasi kwenye ile Oparesheni Kabambe inayoitwa Oparesheni 255 okoa Bandari zetu, Mwenyekiti wa Chadema, Feeman Mbowe, amesema Rais Samia haaminiki na ili tuamini kile kilichosainiwa jana alichodai ni mkataba wa bandari na DP WORLD ya Dubai basi mkataba huo...
  3. The Burning Spear

    Tunahitaji Rais Mzalendo 2025 aupitie upya Mkataba wa DP world

    Uwekezano wa kuingizwa mjini na Samia ni mkubwa sana. Tunahitaji tumpate Rais wazalendo 2025 akauchunguze huu mkataba wa Bandari. CCM Hawaaminiki na hawajawahi kuaminika kamwe. Mpaka 30 iishe robo tatu ya tuliomo humu aidha tutakuwa tumeshakufa au tu wazee sana. Hiyo miaka 30 ikiisha hakuna...
  4. VUTA-NKUVUTE

    Mikataba na DP World: Mengi mmeyasema, hili vipi?

    Chimbuko la mikataba mitatu iliyosainiwa jana ni mkataba-tata kati ya Tanzania na DP World. Mkataba huu ulipangwa kuchakatwa; kujadiliwa na kusainiwa sirini. Ulipovujishwa na 'mzalendo', ukaibua mjadala mkali. Wengi waliupinga na kuupiga. Serikali ikaiteka hoja kwa kudai kuwa inaruhusu maoni...
  5. VUTA-NKUVUTE

    Utiaji saini Mikataba ya DP World: Hakukuwa na haja ya kuwatupia vijembe TEC

    Halikuwa jambo la kiungwana. Wahusika mnisikie na kunielewa. Jana, pale Ikulu Chamwino kwenye utiaji saini mikataba mitatu ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam kati ya Serikali/TPA na DP World vilirushwa vijembe kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Tuliofuatilia tunajua kuwa...
  6. Jidu La Mabambasi

    Kurekebisha mkataba wa DP World, hongera Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan Nikiwa mmoja wa members wa JF nilyepinga sana mkataba wa awali kati ya nchi yetu na DP World, nachukua nafasi hii kumpongeza Mama Samia. Pongezi zangu zinazingatia vipengele kadhaa: - Watanzania wengi tunapenda uwekezaji na nchi iweze kuvutia mitaji toka kote duniani...
  7. Keshoyangu

    Baada ya maboresho ya mkataba na DP world serikali ichukue hatua kwa wote waliotuingiza mkenge

    Serikali imekiri uwepo wa vipengele vibovu na wamekubali kukosolewa na kufanyia Kazi maoni ya wengi.Kuishia kurekebisha haitoshi kwa masilahi mapana ya walipakodi. KWANINI wale wote waliohusika kuanzia watoa hoja/wanasheria/washauri /wabunge ambao ndio wapitisha madudu na wengine wote...
  8. S

    Maaskofu wa TEC wamehudhuria utiaji saini wa mikataba 3 ya DP World?

    Kama walihudhuria basi watakuwa wametenda dhambi hizi:- Wamesaliti waraka wao waliousoma kwa majuma 6 mfululizo kupinga uwekezaji huo;:- Wamepofushwa na fedha sh milioni 100 waliopewa hivi karibuni na rais Samia . Wamedharau waumini wao. Kwann kama wameukubali waraka hawajapeleka mrejesho...
  9. Mdude_Nyagali

    Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

    Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
  10. Roving Journalist

    Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  11. Boss la DP World

    Boss la DP World Ndani ya Kidimbwi Beach

    Jioni ya leo ntakuwa kwenye moja ya meza pale nikizungukwa na watoto wazuri tukila maisha. Wale chawa wangu mnakaribishwa ila sitajitambulisha, nyie angalieni tu sura za ki boss hazifichiki. Mwalimu Mpwayungu Village uje nikununulie juice ya box na maji unywe mpaka upoteze fahamu. Ukifika...
  12. R

    Bandari imeuzwa au haijauzwa?

    Nani anajua tumemaliza vipi hoja ya bandari na DP world? Mwaka unaisha sasa, je wale waliokuwa wanatudanganya tutashtakiwa wameanza kushawishi DP world watushtaki ili walipwe fidia? Wale waliokuwa wanawatukana watumishi wa bandari kwamba wameshindwa kazi leo hii mbona wanaendelea kujisifu...
  13. T

    Ni Oktoba sasa anaeijua kinachoendelea kuhusu DP world atujuze

    Karibuni wanajamvi tupeane updates Kulingana na IGA hawa waarabu WA DP si walipaswa kuanza Oktoba?😁😁😁
  14. N

    Unyonyaji wa rasilimali na wawekezaji wa kigeni unachangia mapinduzi Africa. DP World utakuwa mfupa mgumu kwa Rais Samia na CCM yake

    Wakati wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa walipozungumza mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wiki iliyopita, baadhi ya Viongozi wa Afrika hawakuweza kuhudhuria, baada ya kuondolewa madarakani katika mapinduzi ya kijeshi. Mataifa haya hayashiriki mambo mengi yanayofanana nje ya...
  15. KING MIDAS

    DP World kuanza kuendesha bandari ya Dar es Salaam tarehe 01 Novemba 2023

    Kelele za Watanganyika kulilia dhidi ya mkataba mbovu wa bandari, hazijasikilizwa na DP WORLD wanaingia rasmi ofisini tarehe 01 November. Watu walikuwa wanadhani watendaji wa DP WORLD ni Waarabu, hapana, kuna Wazungu, Wahindi, Wafilipino na watu weusi.
  16. Mdude_Nyagali

    Mambo saba muhimu kuelekea maandamano ya kitaifa bila kikomo

    1. Msajili wa Vyama vya siasa wala Rais au serikali yake hawana Mamlaka ya kuamua au kutupangia kuhusu Katiba tunayo itaka. Hicho kigenge walichokiunda hakina Mamlaka hayo kikatiba na kikanuni. Hivyo Kinachofanyika ni Ukora na ni Ultra vires Act kabisa. Ni muendelezo wa uvunjaji wa katiba na...
  17. Mapensho star

    DP World ameshapewa bandari?

    Naona matangazo mengi ya DP World yakinifikia yakiwa sponsored kwenye mitandao ya kijamii. Nikikumbuka kauli ya mwisho ya Serikali ni kutokurudi nyuma licha ya vyama vya upinzani kupinga mkataba huo kutekelezwa na pia tumeona waraka wa maaskofu kanisa katoliki TEC kutokuunga mkono mkataba huo...
  18. DR SANTOS

    Kweli kuna Watanzania wako bize sana na maisha, mtu hajui hata DP World ni nini

    Inafurahisha na kusikitisha pia hebu msikilize huyu jamaa akihojiwa😂😂💔
  19. Emmanuel Mkwama

    Jicho langu la tatu kuhusu DP World kwa wanasiasa

    DP world ni kampuni kutoka Dubai,yenye kumilikiwa na waarabu chini ya Dubai Emirates. Kiukweli tangu imeingia nchini imeleta shida na kusababisha mpasuko nchini. Vyama vya siasa vimetofautiana, pia mjadala wake imeleta mpasuko wa kidini baina ya waislamu wachache na wakristo wachache. Pia...
  20. B

    Ushauri: Dkt. Slaa, Advocate Mwambukusi, Kijana Mdude anzisheni chama kingine

    Asalam, Mods, nipeni nafasi kidogo na mada zangu. Kwa kawaida zina utofauti sana na nyingine pamoja na changamoto ya uandishi, kueleweka na mapambano hapa jukwaani. 1. Changamoto ya uandishi inatokana ulemavu wa mkono wangu wa kushoto ambao ndio naandikia. 2. Mahala ninapishi network yake iko...
Back
Top Bottom