drc

  1. MBOKA NA NGAI

    DRC yaombwa kuiomba maongezi M23 kwa maandishi

    Hata hivyo, upande wa M23 kwa sasa haujamtambua Felix kama rais wa nchi, bali kama Mr. tu. Hili lina maana yake huko mbele.
  2. Marie Antoinette

    Ingabo za SADC zari muri DRC zigiye gutangira kuhava

    Inama idasanzwe y'Abakuru b'Ibihugu by'Umuryango w’Ubukungu n’Iterambere ry’Ibihugu bya Afurika y’Amajyepfo (SADC) yiga ku bibazo by'umutekano muke muri DRC yanzuye isozwa ry'ubutumwa bw'Ingabo zawo, SAMIDRC, ziri muri Repubulika Iharanira Demokarasi ya Congo, itegeka ko zitangira gutaha.Iyi...
  3. MBOKA NA NGAI

    Wanajeshi wakuu kupandishwa kizimbani huko DRC

    Viongozi wa ngazi za juu jeshini nchini DRC, waliokimbia Goma na Bukavu, wataanza kujitetea mahakamani kuanzia leo tarehe 13 March 2025 na mahakama kuu ya jeshi. Wanakabiliwa na tuhuma za kuachia maeneo ya nchi(kutokua wazalendo), huko Goma na Bukavu; Wanatuhumiwa kumuachia adui silaha,risasi...
  4. MBOKA NA NGAI

    Kikao baina ya DRC na M23

    Hii ni tarehe 18 March, 2025 huko Angola. Serikali ya DRC ina wafungwa wengi wa AFC/M23. Ombi la kwanza la hawa viumbe, ni kuhakikisha wanaachiwa huru kabla ya mazungumzo. Nani ana tiketi ya mazungumzo sasa!!!
  5. MBOKA NA NGAI

    Kagame na Mario Nawful kuhusu DRC

    https://www.youtube.com/watch?v=IvXf5JgmIxs
  6. MBOKA NA NGAI

    Rais wa DRC tayari kwa mazungumzo na M23

    Equation x jibu hili hapa. Si kila kitu kinawekwa wazi, lakini upungufu wa kasi wa M23, kuna ahadi ambayo mpaka sasa haijatekelezwa. Na ukweli kama hatageuza kibao, mpaka sasa yupo tayari kukaa meza moja na M23. Na ikumbukwe: M23 mwanzoni ilikuwa inatetea haki za Congoman waongeao kinyarwanda...
  7. Equation x

    Mapigano ya DRC na M23 yameishia wapi?

    Nakumbuka yalikuwa yamepamba moto, kila chombo cha habari kinawazungumzia wao tu; pamoja na kuonyesha harakati zao katika kuikomboa kongo. Lakini kwa sasa, naona kuna kimya kingi; au wameshaikomboa kongo?
  8. enzo1988

    Je, huu ni mwanzo na mwisho wa Kagame?? Marekani kuisaidia kijeshi DRC!

    Marekani na DRC zinakaribia kufikia makubaliano katika kusaini mkataba wa madini adimu, katika makubaliano, Marekani itaruhusiwa kuchimba madini huku ikitoa ulinzi dhidi ya M23! Muda utaamua! Washington considering ‘rare earths’ deal with African state – FT 8 Mar, 2025 19:36...
  9. Braza Kede

    Nini kinaendelea DRC? misheni za UN na SAMIDRC ziko wapi?

    Majuzi kati kulikuwa na habari za kurudishwa kwa majeruhi walio DRC kwa ajili ya misheni ya SAMIDRC. Baada ya hapo ikawa kimya kimetamalaki. Zaidi tukasikia M23 wameiteka Goma na baada ya apo wameingia kuiteka Bukavu. Kabla hatujakaa sawa tunaona M23 wakijitapa wanataka wafike Kinshasa. Sasa...
  10. Msela Wa Kitaa

    IDJWI: Kisiwa Kilichosahaulika Kati Kati Ya Vita DRC, Kwa Sasa Ndio Sehemu Salama

    Kisiwa cha Idjwi nchini Kongo ni eneo lililosahaulika ambalo limeishi kwa miongo kadhaa ya vita bila kuathirika. Kisiwa cha pili kwa ukubwa kilichoko ziwani barani Afrika, Idjwi, kipo katika sehemu ya kusini ya Ziwa Kivu, kikizungukwa na nchi mbili ambazo zimekuwa katika vita kwa karibu miongo...
  11. J

    Mkuu wa Majeshi aitembelea familia ya Sajent Mohamed Abdala Suleiman aliyefariki DRC

    ..Jenerali Jacob Mkunda alipokwenda kutoa pole kwa familia ya marehemu Sajent Mohamed Abdala Suleiman. === "Mishoni mwa mwaka uliopita (2024) kikundi cha vijana wenye silaha wakijiita M23 walianza chokochoko na kuharibu kabisa amani ya mashariki mwa nchi ya Kongo. Kwahiyo vita ilitokea mnamo...
  12. B

    Tanzania Denies Weapons Shipment to DRC

    Tanzania Yakanusha Madai Usafirishaji wa Silaha Kwenda DRC |Tanzania Denies Weapons Shipment to DRC https://m.youtube.com/watch?v=tFlpuW29ygw The statement also dismissed claims that the vessel MV Amani had been seized by Tanzanian authorities. “The information circulating on social media and...
  13. chizcom

    Kujiunga kwa DRC na Jumuiya ya Afrika Mashariki: Je, Kumechangia Unyang’anyi wa M23?

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ilijiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) mwaka 2022 kwa matumaini ya kukuza uchumi, kuimarisha ushirikiano wa kikanda, na kupata msaada wa kijeshi dhidi ya waasi. Hata hivyo, tangu kujiunga kwake, hali ya usalama mashariki mwa DRC imezidi kuzorota...
  14. W

    Makamanda wa Tanzania 🇹🇿 JWTZ wanarundi Nchini Baada ya Kukaguliwa Mpakani mwa Rwanda na DRC.

    This is the trending video on Rwandan social media showing Tanzanian military officers at the Rwanda-DRC border office in Rubavu. They were repatriated from Goma after M23 seized control of the city. Reports indicate that M23 captured over 1,300 SADC troops, including soldiers from Tanzania...
  15. B

    Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye alithibitisha dhamira ya Burundi katika kuleta amani nchini DRC

    27 February 2025 Ikulu ya Gitega Burundi RAIS WA BURUNDI , EVARISTE NDAYISHIMIYE, ABADILI MSIMAMO WA BURUNDI KATIKA KULETA AMANI NCHINI DRC, Rais Evariste Ndayishimiye akutana na mabalozi wa kigeni wanaowakilisha nchi zao nchini Burundi kwa mara ya pili mwaka huu 2025, na kuleta mapendekezo...
  16. MBOKA NA NGAI

    Viongozi wa AFC/M23 Bukavu, wanusurika kuuwawa na uongozi wa DRC

    Leo,kwenye mkutano wa viongozi wa AFC/M23 huko mjini Bukavu, Kivu kusini, katika mkutano wa hadhara baina ya uongozi wa M23 na raia wa Bukavu, jeshi la serikali liliandaa shambulizi kutumia Drones, kwa bahati mbaya zote zilidunguliwa kabla hazijafika zilikokuwa zimeelekezwa. Siku mbili...
  17. Mateso chakubanga

    Mahakama ya Kimataifa ICC: Uchunguzi dhidi ya Uhalifu wa kivita DRC unaendelea

    Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita Mh Karim khan amesema mahakama ya ICC na mamlaka za DRC zinashirikiana kuchunguza madhila na madhara ya uhalifu huo, aidha Khan amesema ushahidi bado unaendelea kukusanywa ili kuwabaini pasipo shaka wahusika wote waliohusika...
  18. Waufukweni

    Ugonjwa usiojulikana waibuka Kongo na kuua watu zaidi ya 50

    Zaidi ya Watu 50 wamefariki Kaskazini Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na ugonjwa usiojulikana, hii ikiwa ni kwa mujibu wa Madaktari waliopo katika eneo hilo na Shirika la Afya Duniani (WHO). Takriban visa 419 vimeripotiwa, vikiwemo vifo 53 tangu mlipuko wa ugonjwa huo...
  19. Marie Antoinette

    Ihuriro ry'imitwe ya politike mu Rwanda ryamaganye ubuyobozi bwa DRC

    Abagize Ihuriro ry'Igihugu Nyunguranabitekerezo ry'Imitwe ya Politiki mu Rwanda, bahuriye mu nama yiga ku kibazo cy'umutekano muke wo mu Burasirazuba bwa Repubulika Iharanira Demokarasi ya Congo.Nyuma y’iyi nama iri huriro ryatangaje ko rishyigikiye Perezida Paul Kagame akaba n’Umugaba...
  20. Alvin_255

    M23 Conflict: Kabila Says Poor Governance, Not Rwanda, Is the Real Issue in DRC

    Former Democratic Republic of Congo leader Joseph Kabila stated on Sunday that the poor governance of his successor, President Felix Tshisekedi, significantly intensified the conflict in eastern DR Congo. Kabila’s comments provide a critical perspective on the ongoing DR Congo conflict and offer...
Back
Top Bottom