VIONGOZI wa Makanisa Katoliki Nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENCO) pamoja na Kanisa la Kristo nchini humo (ECC), mapema leo Februari 12, 2025 wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23 lengo likiwa ni kujadili udumishaji amani nchini humo.
Viongozi hao...
Ndege zote zilizosajiliwa nchini Rwanda au kwingineko lakini zenye Makao yake nchini Rwanda, zimepigwa marufuku kuruka juu ya anga ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mamlaka ya DR Congo imechukua hatua hiyo kutokana na vita vya uchokozi vilivyosababisha vifo vya Wacongo 3,000 ndani ya...
Wateja wakubwa wa bidhaa zote za Rwanda kuanzia madini, kahawa hadi chai kwa nje ya Waafrika ni Waarabu wa UAE na China. Katika kelele zote za Congo kutaka watu wasitishe kununua bidhaa za Rwanda wanazipigia nchi za Ulaya na Marekani! Huu mbona kama ni mkanganyiko!
Kwa nini Congo isiwabane UAE...
Wakati nchi wanachama wa SADC na EAC wakikubaliana kuhakikisha amani inapatikana mashariki mwa Congo, taarifa za chini chini zinaeleza kuwa wanajeshi kati ya 700 na 800 tayari walishawasiri nchini Congo kuongezea nguvu jeshi la serikali hiyo. Chanzo cha habari, Reuters, kimesema kwamba, ndege ya...
1. Historia ya Hali ya Mashariki ya DRC
2. Chanzo ni kipi cha kutoweka kwa Amani
3. Tanzania inaathirika vipi na hali hiyo?
4. Je, ni akina nani wahusika wakuu wa hali inayoendelea DRC?
5. Tanzania inatakiwa kufanya nini?
Ni kweli PAKA ni muhusika? Na kwani anafurahia kuona...
Ili kumaliza mgogoro DRC jumuiya ya kimataifa LAZIMA ifanye yafuatayo:
1. DRC iwatambue na kuwakubali raia wake wenye asili ya makabila ya nchi nyingine. Kama vile Tanzania ilivyoyatambua makabila ya wamasai, wasegeju, wajaluo, wapare, wahaya, wamakonde, wamanyema.
2. Rwanda na Uganda izungumze...
Tatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct.
Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede tu ambao hauna mshindi.
Rais mmoja alipaswa kusema niko tayari kuingiza jeshi langu Kivu au Goma kama...
Moja ya utetezi aliokuja nao Rais Kagame kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za SADC na EAC kuhusu kutatua mgogoro wa DRC ni kutaka serikali ya DRC iwatambue kwanza waasi wa M23 ambao wanajumuisha jamii ya walowezi wa kitutsi iliyopo DRC (Banyamlenge), lakini hapo hapo Kagame hataki kabisa kutaka...
Jeshi la kongo na Ethiopia yote yapo top 10 ya majeshi yenye nguvu.
Lakini kama unavo jua Technologia huwa haimsamehe mtu.
Anaeendana nae mara zote huwa na faida kubwa kwene vita. Jeshi la Waasi wa tigray waliku na support ya Western technologically.
Hapa n pamoja na kuwavujishia satellite na...
..
..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC.
..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao.
..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia...
Yaani jamaa wako stejini wananengua,wengine wako viwanjani wanacheza tu mpira,hizo nguvu mgezitumia vitani M23 wangeshasalimu amri
Mwaka 1978 nilijitoleakumfurusha iddi amini kule uganda nikiwa na miaka 18 tu,nilijitolea kamamgambo tukapewa mafunzo ya ukuruta mimi na wenzangu.
Huko Ukraini pia...
Habari wana bodi.
Kutoka Vyanzo vya habari vya The guardian, Wanaandika yakua Rwandan troops wanakufa kwa wingi, wanasafirishwa na kuzikwa kwa siri sana hapo Rwanda.
Pia kinaeleza kua wazazi wa hao wanajeshi hawapewi taarifa za kina juu ya vifo vya watoto wao ila wanaambiwa "they died in a...
Kesho moja ya agenda,kimsingi agenda kubwa ambayo masikio ya wengi yanasubiri kuona maridhiano ya mgogolo wa huko DRC unafikiwa muafaka.Tuendelee kuwaombea afya njema wahusika wote wakuu ikiwa ni pamoja wa maraisi wa DRC na Rwanda.Pia wawe na moyo wa huruma kuhurumia mamia ya wanawake na watoto...
Mkutano wa pamoja wa Mawaziri wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Mkutano huo umeongozwa na Waziri Mkuu...
Wamejitahidi sana kuficha lakini wapi!
Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role
Exclusive: Sources say thousands of RDF killed supporting M23 rebels in eastern Congo, intensifying pressure on Kigali...
Mamia ya askari wa Rwanda waliokuwa wakipigana bega Kwa bega na waasibwa M23, wamefariki dunia Kwa kipindi Cha mwezi mmoja wa mapigano ya kuuteka mji wa Goma.
Taarifa za ndani zinasema askari waliouwawa walirudishwa nyumbani Rwanda na kuzikwa katika makaburi ya Kanombe, na wale walioshindwa...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inawasilisha muswada kwa baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa kutaka uchunguzi ufanywe katika kile inachokiita ni ukiukaji mkubwa wa haki katika mji wa Goma.
Balozi wa Congo katika baraza hilo Paul Empole Losoko Efambe aliwaambia waandishi habari...
Kumbe serikali ya DRC ikitumia njia ya vita haiwezi kuvimaliza vita vya mashariki dhidi ya M23 bali mazungumzo, kwa sababu M23 hawapo tayari kuondoka Mashariki ya DRC kwa sababu wanaichukulia ni ardhi yao ya asili.
Maoni yangu:
1. Banyamulenge (Wanyarwanda wa DRC) wapewe uhuru Mashariki ya...
Wanajeshi wa Malawi, waliokuwa mashariki mwa DRC, kupitia SADEC, leo wamerudishwa nchini kwao.
Ni katika jitihada za kuhakikisha kusitisha mapigano kati ya serikali na M23 yanafikiwa kwa uhuru. Kuondoka kwao, kutaihakikishia M23 kuwa serikali ina nia ya kuleta amani ya kudumu.
=
BLANTYRE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.