drc

  1. Zanzibar-ASP

    Ukitaka ujue unafiki wa waafrika, viongozi wa dini, basi tazama ukimya wao kwenye sakata la DRC

    Wakati vita na mauaji yanashika kasi kule Gaza, viongozi wa dini, viongozi wa kisiasa na waafrika walichukua upande, kutoa neno na kuomba. Vivyo hivyo hivyo wakati mambo yakishika kasi zaidi kule Ukraine. Sasa ngoma ipo hapo DRC, vita inapigwa haswaa, lakini watu wale wale hawataki kujigusa...
  2. Lycaon pictus

    Nchi kubwa kama DR Congo na Msumbiji hazipaswi kuwa na makao makuu ya nchi pembezoni

    Nchi kuwa kubwa, na dhaifu halafu kuwa na makao makuu pembezoni ni hatari sana kwa usalama wake. Kwa nchi zetu hizi kadri unavyozidi kuwa mbali na Capital City ndivyo unavyozidi kusahaulika. Na watu waliosahaulika ni rahisi kuasi. Hawa wameweka mji mkuu Kinshasa. Kilomita zaidi ya 2500 kufika...
  3. T

    M23 yalitembelea Jeshi la Afrika Kusini kambini kwao

    Jeshi la M23, limetembelea kambi ya Mubambiro. Baada ya mazungumzo (hawakuingia kambini, waliishia nje ya kambi). Wanajeshi wa Afrika kusini wameonyesha kuridhia ukarimu wa M23 na kuomba mambo matatu: 1. Kuruhusiwa kwenda Goma, kwa kutumia vifaru, wakakusanye vitu vyao vilivyopo kwenye kambi ya...
  4. Tajiri wa kusini

    Banyamulenge walowezi wa kitutsi nchini Congo DR

    Banyamlenge ni jamii ya watutsi wanaoishi eneo la Mulenge, eneo hili ni kiunga kilichopo wilaya ya Uvira jimboni Kivu Kusini (Sud Kivu) mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, jamii hii ya kabila la Banyamulenge wa Kivu Kusini halina tofauti yoyote ya kiutamaduni na kijamii na...
  5. Daby

    Maswali ninayojiuliza kwenye huu mgogoro wa DRC

    Nadhani Kagame anawapa ufadhili wa silaha na wanajeshi ili kumsaidia Mtutsi mwenzake anayebaguliwa Congo. Pia Nadhani, anawapa msaada waasi kwasababu Congo iliwaunga mkono waasi wa kihutu. Unaiunga mkono FDLR basi Nami nitawaunga mkono M23. Sasa kama Kama ni kweli Rwanda inahusika 1. Kwanini...
  6. BAK

    Must see Movies

    - Seven Pounds Official Movie Trailer HD
  7. Tresor Mandala

    Mjue Kwa ufupi Cornele Nangaa Yobeluo, Kiongozi wa waasi huko DRC

    Cornele Nangaa Yobeluo ,aliwahi kuwa Mkuu wa tume ya uchaguzi ya Congo, uchaguzi uliomuingiza Rais Felix Tshishekedi Tshilombo Nangaa ambae Kwa Sasa ndio kiongozi wa muungano wa waasi ndio anayepeperusha Bendera ya waasi kuelekea Kinshasa Nangaa na Felix walipishana mtazamo akaondolewa ktk...
  8. Braza Kede

    Kwanini wanajeshi wa jeshi DRC wameamua kuasi?

    Wanajeshi wa DRC wamekimbia uwanja wa mapambano na kuamua kujikabidhi kwa mahasimu wao, yani jeshi la Rwanda. Baada ya kuona hivyo, wanajeshi mamluki zaidi ya 280 toka Romania na Ufaransa waliokodiwa na serikali ya DRC kuwasaidia kwenye maeneo ya kuongoza drones za kivita, snippers na...
  9. Richard

    Kiongozi wa makundi ya waasi wakiwemo M23 leo kasema wapo Goma kimoja na wataendeleza kampeni hadi Kinshasa. Hii ni ishara mbaya kwa Tshesekedi

    Huku waasi wa M23 wakiwa wameuchukua na kuweka chini ya himaya yake mji wa Goma, baadhi ya vikosi vya askari wa kukodiwa walokuwa wakipigana sambamba na majeshi ya serikali ya Congo DRC, imekuwa ni viguu kuamini kuwa ndani ya Congo DRC kuna makundi ya waasi na mamluki yapatayo 120. Yote makundi...
  10. T

    Tetesi za Siri ya vita ya Rwanda na Congo DRC na kwanini sasa sio jana?

    Kwanza naomba mapovu yanaruhusiwa na hoja zina ruhusiwa ila mniache nabii nitoe yale nayaona... Mziki ulianza Mozambique 🇲🇿 na sasa Congo DRC 🇨🇩 wanaucheza yes the dark days in Tanzania overseas intelligence.... Upo utani unasema nyani akimuona mwanamke basi kazi anayo ila akimuona mtoto wakiume...
  11. Beira Boy

    Rais wa DRC CONGO atafuta uungwaji mkono huko Angola, aapa kuingamiza M23

    Amani iwe kwenu wadau Rais wa Kongo ameenda kuonana na rais wa Angola na amemwomba jeshi likasaidie kuwaondoa m23 Na ameapa inyeshe mvua lipige jua lazima awaondoe M23 Kibabe sana Tuendelee kuombea Aman ndugu zangu LONDON BOY
  12. Carlos The Jackal

    Tanzania haitakuwa Salama, Endapo DRC itaangukia mikononi mwa RWANDA, M23 wapigwe na JWTZ Kwa makubaliano ya Taifa Kunufaika na Kukaa mashariki ya DRC

    Hamna wakati mwingine ambao Tanzania inahitaji DRC iliyotulia kama ilivyo Sasa !! RWANDA ni ka Nchi kadogo sana, Ambako kana maeneo machache ya kimkakati linapokuja suala la uchumi , wako limited katika Resources . Ndio Sababu Kagame Palipo na Migogoro anajitahidi kujiingiza na kusaini...
  13. Father of All

    Kenya, Tanzania, na Uganda zitwaeni Burundi, DRC, na Rwanda ili kuleta amani na maendeleo

    Tokana na chokochoko, migongano, migogoro, vita, na wizi nchini DRC, nashauri mataifa tajwa hapo juu yatie buti kwenye nchi hizo na kuzitwaa ili kuunda taifa moja kubwa na tajiri haraka. Tukizitwaa, DRC itasaidia kutoa ardhi kwa viinchi visivyo na ardhi ya kutosha kama Burundi, Rwanda, na...
  14. B

    Tundu Lissu anaweza kutoa mbinu na namna bora za kumaliza Mgogoro wa DRC. Apewe nafasi ana kipaji cha kuleta majibu

    Miongoni mwa Binadamu wenye kipaji sana. Ana calibre ya kuwa mshauri mwema na mwenye uwezo. Uwe unakubali au unakataa inabaki kuwa shida zako. Alipotoa ushauri kuhusu Mgogoro wa Israeli na Palestina Donald Trump amepita mule mule. Kule Ukrain na Russia hawatatulia mpaka wafate ushauri...
  15. Mhaya

    Wapalestina wa Sinza mbona hamsemi "PRAY FOR DRC"

    Nyie mliojikuta Miamba ya kutetea wapale-stina kiasi kwamba mlijikuta mpaka mnatukana watu kisa Palestina, lakini sasa shida hii ya vita imetokea kwa majirani zetu wa damu kabisa hapo DRC, lakini mtandaoni mpo kimya kama sio nyie mliokuwa kila siku mnaandika mabango Pray for Gaza, lakini Leo...
  16. Ngungenge

    JWTZ, tulindieni heshima yetu yalindeni maslahi yetu DRC-Congo

    Afande G. Mkunda Ni muda wako wa kulinda historia na heshima ya muda mrefu iliyowekwa na watangulizi wako Yanayoendelea DRC hatuwezi kuyaacha yaendelee, Sisi kama MABABU wa ulinzi na ukombozi katika ukanda wa east na south Africa ni fedheha kuona mgogoro huu unaendelea na Sisi tumekaa tuu bila...
  17. Marie Antoinette

    Abacancuro barwaniriraga DRC basabye u Rwanda inzira ibacyura

    Abacancuro mo mu gihugu cya Romania bafashaga FARDC urugamba rwo kurwanya M23, nyuma yo gutsindwa no guhungira mu kigo cy’ingabo za MONUSCO, basabye u Rwanda inzira ibageza i Kanombe ku buryo babona uko bataha iwabo. Bakigera ku mupaka, baherekejwe na M23, bashyikirijwe leta y’u Rwanda, na yo...
  18. W

    PDF la vita inayoendelea DRC, wakongo wa Mashariki wanaonewa na serikali yao, wakombozi wao ni M23 na Rwanda

    Kabla ya kuilaumu Rwanda kuhusu suala la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), nataka nikupatie historia fupi kuhusu kinachoendelea katika sehemu ya mashariki ya Congo. Hii ilianza vipi? Unachosikia kila mara ni kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa M23, na serikali ya DRC...
  19. ACT Wazalendo

    Serikali itoe taarifa kuhusu hali ya usalama ya wanajeshi wa Tanzania waliopo DRC

    Chama cha ACT Wazalendo inaitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa taarifa rasmi kuhusu hali ya usalama ya wanajeshi wetu walioko katika operesheni za kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Hii inafuatia taarifa za hivi karibuni za kuongezeka kwa...
  20. incognitoTz

    DRC Conflict Update: The Last 24 Hours and Historical Context

    The Democratic Republic of Congo (DRC) continues to grapple with a complex and escalating conflict, particularly in its eastern regions. Here's an analysis of the latest developments over the last 24 hours and the broader context of the conflict: Recent Developments: M23 Ultimatum in Goma: The...
Back
Top Bottom