Waafrika tuache unafiki na woga, tuchukue hatua sasa kuhusu kile kinachoendelea kule mashariki mwa DRC.
Hakuna siri, Rwanda ndio kichocheo kikuu cha vita huko DRC kwa kuwaunga mkono kwa kila kitu waasi wa 23.
Kwa sasa waasi wa 23 inasemekana wamefanikiwa au wanaelekea kuchukua mji muhimu wa...
Leo hii serikali ya Congo DRC imetangaza kuvunja mahusiano na Rwanda huku wanajeshi wapatao 13 wa kutoka vikosi vya kulinda amani na wanajeshi wengine wa kigeni kuuawa.
Wizara ya mambo ya nje ya Congo DRC imetangaza leo kuwa inawaondoa watumishi wote walioko katika ofisi ya ubalozi wa Congo DRC...
Baraza la Usalama la UN limekutana kwa mkutano wake wa dharura leo, Jumapili, Januari 26, 2025
Hapo awali mkutano huo ulipangwa kufanyika kesho Jumatatu, Januari 27, mkutano huo wa dharura sasa unafanyika leo, Jumapili, Januari 26, 2025; Kwa sababu ya kuongeza mapigano kati ya #FARDC na kikundi...
Amani iwe kwenu
Nimewaza mbali sana
Lakini kuwaza kwangu kote huwa sipend kabisa kuona mtu akiteseka bila sababu
Mateso ya watu wa Kongo wananiumiza sana
Sasa nimekuja na suluhisho moja tu na suluhisho hilo moja tu linaenda kutamatisha hii vita ndan ya dakika mbili tu
Watu wa kongo na...
Toka jana tarehe 23 Januari 2025, mida ya saa mbili usiku, mji wa Goma uligubikwa na giza.
Ni baada ya taarifa za kifo cha aliekuwa mkuu wa mkoa wa Kivu kasikazini Mejor General Chirimwami. Leo subuhi, maji,umeme na huduma za mitandao havikupatikana kabisa,jambo lililozua hofu kwa wakazi wa mji...
Katika hali isiyo ya kawaida, jeshi la Umoja wa Mataifa nchini Congo, MONUSCO, limekili kuiunga mkono serikali ya DRC katika mapigano yanayoendelea mashariki mwa nchi hiyo.
MONUSCO ilikuwa na kambi ya kijeshi katika mji mdogo wa SAKE, uliopo Km 20 kutoka mji wa GOMA, huku kambi nyingine kubwa...
Huko DRC vijana wahuni wa mtaani, wanaotishia amani Kwa kuvamia makazi na kuuwa raia, kubaka, kutoboa watu macho, kukata viungo vya watu hasa wanawake ,wazee na watoto, kuuwa mifugo, kuharibu mazao n k mjini Kinshasa, wamehukumiwa adhabu ya kifo
Waziri wa sheria bwana Mutamba, ambaye amekuwa...
Hawa vijana wahalifu waliokuwa wanafanya uhalifu Kinshasa na miji mwingine ya DRC wamenyongwa hadharani: kunyongwa maana yake kuning'inizwa kwa kwamba.
Well,ndio habari yenyewe. Walikuwa wanafanya uhalifu kwa kutumia visu,mapanga,bisbis.
Of course kule DRC hawaitwi "Panya Road"
Kule wanaitwa...
Katika nchi ambayo inachekesha na kuumiza ni DRC
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (RDC) ina rasilimali nyingi za asili, ambazo ni muhimu kwa uchumi wa nchi na pia kwa dunia. Baadhi ya rasilimali muhimu ni:
1. Madini:
Cobalt: RDC ni mtayarishaji mkuu wa cobalt duniani, ambao ni muhimu kwa...
Naomba nisiwekemaneno sana. Pitia video hii ujue nini kimejiri Kinsasha DRC.
Miongoni mwa waliouawa hadharani ni raia wawili wa Marekani na mmoja wa Uingereza
Afrika ni mwendo wa kuuana. Anayewini ni yule mwenye timing kali
Kama ungelikuwa Rais wa Congo DRC, ungeweza kuifanya hiyo nchi kuwa na amani?
Naamini suluhisho la Congo DRC lipo kwa Wacongoman wenyewe! Lakini hilo wataweza kulifikia kupitia viongozi wao, kama wasemavyo "wahenga", "Everything rises and falls under the leadership"
Ingelikuwa wewe ndiye Rais...
Kuna nchi zilishawahi kuingia katika misukosuko ya kisiasa lakini hatimaye zilikuja kutukia. Rwanda ni mojawapo.
Kwanini imekuwa tofauti nchini Congo DRC?
1. Tatizo ni uongozi? Angepatikana huko kiongozi kama NYERERE, au KAGAME au MAGUFULI angeweza kuituliza?
2. Wasababisha machafuko ya Congo...
Amakuru agenzeho aravuga ko President wa Congo, Felix Tshisekedi yatanze itegeko ko umujyi wa Lubero utagomba kujya mu maboko ya AFC/M23.
Umwe mu bantu bari mu mujyi wa Lubero yavuze ko ingabo za Congo FARDC, FDLR, Wazalendo nindi mitwe yose yateranye ngo yigire hamwe uko izubahiriza itegeko...
Habari zenú, niende moja kwa moja kwenye mada. Kutokana na kuwa mimi si mtaalamu kuna maswali najiuliza kuhusu kinachoendelea mashariki ya DRC lakini nakosa majibu. Naomba mwenye utaalamu/ ufahamu anisaidie kujibu.
1. Kwanini jumuiya ya Afrika mashariki ipo kimya na haikemei kile kinachofanywa...
Wakuu,
Watu wasiopungua 79 wamefariki hivi karibuni kutokana na ugonjwa usiojulikana ambao una dalili zinazofanana na mafua katika eneo la kusini-magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Kwa mujibu wa wizara ya afya, idadi kubwa ya waliofariki ni vijana wenye umri kati ya miaka 15 na 18...
Tanzania tuko katika nafasi ngumu ya kufuzu kushiriki michuano ijayo ya CAF hii ni baada ya Guinea kuifunga Congo DRC bao 1 kwa 0 na kushika nafasi ya 2 wakati Tanzania ni ya 3.Ili Tanzania ifuzu lazima ishinde katika mechi yake ya mwisho dhidi ua Guinea tar19.
Match Day.
KIKOSI CHA TANZANIA KINACHOANZA LEO
Mpira ndio unaanza sasa.
Updates
Game on
05'
Tanzania wanafanya mashambulizi hafifu kidogo kwenye lango la Ethiopia.
Tanzania wanatawala game.
06'
Msuva anakosa goli la wazi kabisa hapa,
Amepata assist nzuri sana toka kwa Samatha.
Namna gani...
Hizo nchi inajulikana wananchi wao hawaogopi vyombo vya usalama, wapo tayari kupambana hata na wanajeshi au polisi pale wanapoona hawatendewi haki.
Kenya tumetoka shuhudia juzi hapa vijana wadogo wanaingia bungeni na kuchoma bunge.
Nilichogundua kumbe serikali nyingi za Africa ndizo chanzo cha...
Sasa yatosha, majirani zetu wanateseka sana.
Ni wakati sasa jeshi letu pendwa (JWTZ) kwenda kufanya operation nyakua nyakua kutokomeza waasi wote na kuiacha DRC salama.
Ikumbukwe kuwa kwa mujibu wa msemaji wa JWTZ, jeshi letu ni namba 6 kwa ubora Dunani. Sasa haliwezi shindwa kazi ndogo kama hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.