drc

  1. Waufukweni

    M23 waliamsha tena DRC, Wauteka mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini

    Siku mbili baada ya waasi wa M23 kutangaza kusitisha mapigano dhidi ya vikosi vya serikali ya DRC kwa sababu za kibinadamu, kundi hilo limeuteka Mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini. Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, waasi hao wameudhibiti mji huo uliopo kando ya Ziwa Kivu, takriban...
  2. Braza Kede

    Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wahojiwa na Kamati ya Bunge Afrika Kusini kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao huko Goma, DRC.

    Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wa Afrika Kusini wameitwa mbele ya kamati maalum ya bunge ya mambo ya ulinzi na kutakiwa kunyoosha maelezo kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao hadi kusababisha vifo kadhaa vya maaskari wao.
  3. MBOKA NA NGAI

    Tik tok na X zafungwa nchini DRC

    Msemaji mkuu wa serikali ya DRC, Patrick Muyaya, ametangaza kusitishwa kwa matumizi ya mitandao ya kijamii ya X na Tik Tok, kwa alichokiita kuepuka usambazaji wa taarifa za uongo, zinazopotosha raia na kuwaweka katika hali ya sintofahamu. Zaidi, google play na yenyewe imezuiliwa ili watu...
  4. J

    M23 wafanya shambulio jipya DRC mara baada ya kusema watasitisha mapigano nchini humo

    Wakati viongozi wa DRC na Rwanda wakijipanga kuja Dar kwa mazungumzo ya kumaliza Vita Mashariki mwa DRC huku M23 “wakiiigiza” kuacha vita jana. Habari kutoka uwanja wa vita ni kuwa mapambano yameanza upya leo huku M23 wakilia kwa kichapo kikali kutoka majeshi ya DRC na washirika wake. Kwa...
  5. A

    Rwanda yaondoa Majeshi yake DRC baada ya tishio la SA

    BREAKING: Kagame withdraws troops after SA Allegedly Threatens to Use Long Range Ballistic Missiles, Deploy Navy Seals and Commando Units President General Kagame has issued an executive order directing all Ruwandan military forces to withdraw from all DRC border towns and regroup in the...
  6. KakaKiiza

    NI KITU GANI KIFANYIKE ILI AMANI YA DRC CONGO??

    Katika kipindi cha zaid ya miongo 3 tumeshuhudia Amani ya DRC haijawahi kuwa na Amani iliyotulia,lakini kama mnakumbuka DRC ni miongoni mwanchi zilizojiunga na EAC na baadae akapata uanachama baada ya kukidhi vigezo,sasa kama mwanachama mwenza ni lazima tujadili amani ya DRC kwa sababu ni sehemu...
  7. T

    Abadepite ba Afrika y'epfo, basabye leta kuvana abasirikare babo muri DRC

    Abadepite ba Afurika y’Epfo basabye Guverinoma yabo kuvana Ingabo z’icyo gihugu, SANDF, mu Burasirazuba bwa Congo kuko icyazijyanyeyo kitazwi niba kiri mu nyungu z’Igihugu cyangwa iza Perezida Cyril Ramaphosa.Babisabye kuri uyu wa Kabiri, ubwo Minisitiri w’Ingabo, Angie Motshekga n’Umugaba...
  8. T

    Bunge la Afrika Kusini, lamhoji waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi kilichowapeleka wanajeshi wa nchi hiyo DRC

    "IT IS NOT A PEACEKEEPING MISSION, IT IS AN OFFENSIVE MISSION". Wabunge wa Afrika Kusini walipokuwa wakiongea na waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi la South Afrika, wameonekana kutofurahia kitendo cha badhi ya watu kuamuwa wenyewe kupeleka wanajeshi nchini DRC, kwa kisingizio cha kulinda amani...
  9. JanguKamaJangu

    Tazama mazishi ya watu waliouawa kwenye mapigano DRC, inasikitisha

    https://www.youtube.com/watch?v=IAOGxEEoKKQ Wahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yaliyohusisha jeshi la nchi hiyo na Wapiganaji wa Kundi la M23. Mkuu wa ujumbe mdogo wa Shirika la...
  10. Valencia_UPV

    Kagame aitaka SADC ikae mbali na DRC

    Mheshimiwa Kagame ameitaka SADC (yenye wanachama 16 ikiwamo Afrika Kusini) ikae mbali na DRC maana hayawahusu. **Kagame anaongea Kama Nani? Msemaji wa DRC? -- FOLLOWING a recent threat of military action against South Africa, the Rwandan government has now angrily responded to the Southern...
  11. Mdude_Nyagali

    Ashugulikiwe aliyepo nyuma ya Kagame na M23 yake kukomesha umwagaji damu mashariki ya DRC

    Fikiria hawa ni raia wameuawa na M23 huku askari wetu wawili wa JWTZ na askari wanne wa South Africa waliokuwa wakiwalinda raia nao wakiuawa kikatili. Nchi ya Congo ingekuwa haina madini na rasilimali zingine sidhani kama huyu Paul Kagame na Kaguta Museveni wangekuwa na kashfa ya kuwa nyuma ya...
  12. Marie Antoinette

    Kagame hafahamu kama wanajeshi wa Rwanda wako nchini DRC

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema hajui kama wanajeshi wa nchi yake wako Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano kati ya kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Congo yanaendelea. Sehemu kubwa ya Jumuiya ya Kimataifa inaamini kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa...
  13. B

    Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za SADC na EAC kujadili Mgogoro wa DR Congo

    03 February 2025 Dar es Salaam, Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kwa ukarimu kuandaa mkutano huo kujadili hali ya Mashariki mwa DRC Dar es salaam kupokea marais wa nchi za sadc na eac kujadili mgogoro wa nchi ya dr congo Mkutano wa pamoja wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa...
  14. Marie Antoinette

    Rwanda: Vifo vilivyotokana na makombola kutoka DRC vyaongezeka

    Kutokana na vita vinavyoendelea mashariki mwa DRC,tarehe 26 na 27 January 2025, watu 5 nchini Rwanda walipoteza maisha kutokana na risasi na makombola yaliyotua nchini Rwanda, mjini Rubavu unaopakana na Goma, na kusababisha vifo vya watu 5 nyumba na majengo ya shule vikiharibika. Kwenye mkutano...
  15. Jamiitrailer

    Uzembe wa SADC kuligeuza jeshi lake liwe la kulinda amani DRC badala ya kupigana ndicho kinachofanya M23 na Rwanda waonekane kama wana uwezo mkubwa

    Jumuiya ya SADC inafanya maamuzi kiwepesi na kutekeleza maazimio yake ya kuilinda Congo DRC kwa mtindo wa kizimamoto. Mwezi Mei 2023,SADC ilipitisha azimio la kupeleka jeshi lake Congo DRC,ambayo ni nchi mwanachama ili kusaidia kurudisha hali ya amani eneo la mashariki DRC. Jeshi la SADC...
  16. FRANCIS DA DON

    Video clip: Huu msafara wa kijeshi ndani ya DRC ni wa nchi gani? Na unaelekea jimbo lipi?

    Video hiyo hapo chini, inaonyesha msafara wa magari ya kivita yenye urefu wa kilometa 6, ukiangalia huoni mwisho. Ni jeshi la nchi gani hili?! https://www.instagram.com/reel/DFiC5DAtOZF/?igsh=MXR2cXIzNDI0NDR2eQ==
  17. Zanzibar-ASP

    Ni muhimu mnoo sasa Tanzania kuingia vitani kuilinda DRC na kuwafurusha waasi wa M23.

    Ama kwa hiari (kupenda) au kwa lazima (shuruti) ni wakati muafaka sasa kwa majeshi ya Tanzania kuingia moja kwa moja uwanja wa vita (Full scale) huko DRC ili kurejesha amani na kuwafutilia mbali waasi wa M23. Sababu za kufanya hivyo zipo na kwa uchache sana nitaziweka hapa. 1. DRC ni jirani...
  18. Daby

    Utata uliopo Mashariki mwa DRC

    Historia Inaonyesha Wanyamlenge/ wanyarwanda wameishi Mashariki mwa DRC kuanzia karne ya 19. Wengi walipelekwa na serikali ya kibelgiji na baadae wengi walihamia miaka ya 60-65. 1971 serikali ya Mobutu iliwapa uraia japo wananchi wengi wa Congo walilipinga hili. Hii tension ilisababishwa na wao...
  19. Poppy Hatonn

    Trump akataa kujibu swali kuhusu mapigano DRC

    Ilikuwa katika Press Conference kujadili air accident kati ya ndege na helicopter. Reporter mmoja mwanamke kutoka Africa akamuuliza Trump maoni yake kuhusu mgogoro uliopo Congo Trump akasema anashukuru sana kwamba hili swali limeulizws kwa sababu mambo yanayotokea kule ni very important lakini...
  20. J

    Zitto Kabwe: Kigoma Ujiji ndio palikuwa Makao Makuu ya DRC Mashariki wakati wa Mjerumani!

    Akiongea Ukurasani kwake X mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema Kigoma Ujiji ndio palikuwa Makao makuu ya DRC Mashariki zamani Zaire Kwa Sasa DRC Mashariki ndio huko Goma inakopiganwa Vita Ndio sababu Wananguaji wote wa Muziki hapa Tanzania wanatoka Kigoma zamani Zaire...
Back
Top Bottom