drc

  1. The Watchman

    Polisi 1,800 wa DRC wadaiwa kujiunga na M23 wakijisajili kwa ajili ya kupatiwa mafunzo ya kijeshi na waasi hao

    Umati wa maofisa wa polisi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wamekacha na kujiunga na kundi la waasi la M23, huku wakijisajili kwa ajili ya kupatiwa mafunzo ya kijeshi na waasi hao. Reuters imeripoti jana kuwa askari hao waliovalia sare za kijeshi za rangi ya bluu walionekana wakiimba...
  2. Mateso chakubanga

    Felix Tshishekedi- Marekani wanunue Madini ya DRC.

    Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Mh Felix Tshisekedi amesema yupo tayari kufanya biashara halali ya madini moja kwa moja kutoka DRC na Marekani, Tshisekedi amesema DRC ndio mmiliki wa madini hayo kuliko kuyapata kwa tabu na ulanguzi kutoka Rwanda, aidha, Tshisekedi ametoa wito kwa...
  3. Kindred Spirit

    Yanayojiri Mgogoro DRC

    Utaratibu wa kuwarejesha nyumbani wanajeshi 190 wa Afrika ya Kusini wanaolinda amani nchini Congo DRC 🇨🇩 umeshindikana. Kwa mujibu wa City Press, wanajeshi hao wote ni majeruhi na kwamba taarifa ya kushindwa kuwarejesha nyumbani imetolewa Ijumaa hii huku sababu zikiwa hazijawekwa wazi. Imeelewa...
  4. MBOKA NA NGAI

    Serikali ya DRC, kwa ukatili huu, inastahili nini???

    https://x.com/andrewmwenda/status/1893355999680921990?s=46 Watu wakichukua silaha zao, wengine wanavimba na kutunisha misuli.
  5. Lord denning

    CCM inakuwaje Askari wetu wa Uhifadhi wanakosa nguo na vifaa vya uhakika hadi kufikia kuvaa kama vikosi vya Waasi/ Askari wa DRC?

    Nimesikitishwa sana kuona uvaaji wa Askari wetu wa uhifadhi wanaofanya operesheni ya kuua fisi huko mkoani Simiyu. Inakuwaje nchi iliyofikisha Watalii Milioni 5 mwaka huu ambao wameingiza fedha za kigeni za kutosha kushindwa kuwanunulia nguo na vifaa stahiki askari wetu wa Wanyamapori...
  6. Mateso chakubanga

    Umoja wa Ulaya yaiamuru vikosi vya Rwanda na M23 kuondoka DRC Haraka bila masharti yoyote.

    Katika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la...
  7. MBOKA NA NGAI

    Silaha za DRC zilizokamatwa na M23 huko Goma

    Makala ndefu sana! Mwenye kutafsiri aje atusaidie https://www.newtimes.co.rw/article/24237/news/africa/tshisekedis-vast-armoury-in-goma-and-plan-toinvaderwanda
  8. Jidu La Mabambasi

    Congo DRC, imekuwa kubwa jinga, Tanzania tusijiingize!

    Congo DRC wamekuwa kubwa jinga kwa muda mrefu. Nchi haina umoja Nchi ni tajiri sana Nchi haina jeshi hata la watu laki moja Na majenerali wa Congo ni wa kukata viuno tu, hawawezi hata kujitetea mbele ya vita. Nchi nzima hii wao ni mayenu tu na kukata viuno Cha ajabu huyu Rais wao Tsishekedi...
  9. MBOKA NA NGAI

    Serikali ya DRC, kuomba michango ya kusaidia jeshi lake.

    Tangazo hili, lilitolewa na kusainiwa na waziri wa fedha nchini DRC, akiwataka wananchi kuchangia fedha kwenye account zilizowekwa katika tangazo hilo, llengo likiwa ni kukusanya uwezo wa kulisaidia jeshi la serikali huko mwashariki mwa nchi, kutokana na alichokiita vita vya kukabiliana na uvamizi.
  10. MBOKA NA NGAI

    Jeshi la Afrika Kusini, halina kazi tena DRC, liondoke tu

    Msemaji mkuu wa kisiasa wa AFC/M23, Lawrence Kanyuka, ametangaza kwamba, wanajeshi wa Afrika Kusini waliopewa hifadhi katika kambi ya MONUSCO huko Goma, walitakiwa kuwa kwao kwa sasa, kwa sababu haoni wanachokifanya huko. Na aliongezea kuwa, muda ndo sasa, na AFC/M23 wapo tayari kuwapa njia ya...
  11. Marie Antoinette

    Ni ingenzi ko M23 ishyirwa mu biganiro. Kimwe mu byo U Burundi bubona cyagarura amahoro muri DRC.

    Inama ishinzwe umutekano ku isi ya ONU yaraye iteranye i New York ku ntambara mu burasirazuba bwa DR Congo aho abahagarariye ibihugu bavuze aho ibihugu byabo bihagaze mu gukemura ikibazo. Thérèse Kayikwamba Wagner, Minisitiri w'ububanyi n'amahanga wa DR Congo yavuze ko ibiri mu gihugu cye ari...
  12. N

    Wakristo 70 wamekutwa wamekatwa vichwa kanisani DRC

    Wakristo 70 wamepatikana wakiwa wamekatwa vichwa katika kanisa moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), katika shambulio la hivi punde dhidi ya waumini kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Kulingana na vyanzo vya habari, mnamo saa nne asubuhi Alhamisi iliyopita (13 Februari) washukiwa...
  13. Mende mdudu

    Mgogoro DRC: Tutegemee M23 kufika Kinshasa ndani ya muda mfupi

    Kwa source za ki intelgensia unaambiwa m23 wapo kila sehemu kwa sasa hawategemei struggle kuteka mji kama ilivo mwanzo uko kivu. KWA NN BUKAVU IMEKAMATIKA KIRAISI? m23 wamejipanga na wana intelgensia hatari wamesha sambaza wanajeshi wake congo nzima kwaiyo mkuu akifika wanapiwa taarifa wavae...
  14. Beira Boy

    CONGO DR haijapakana chochote na Tanzania?

    Aman kwenu watumishi wa MUNGU Ni swali ambalo nauliza ? Je Tanzania hatuna mpaka na kongo hakuna mkoa ambao unapakana na Kongo? Asante SAYUNI BOY
  15. MBOKA NA NGAI

    Jeshi la Uganda, UPDF, laingia nchini DRC

    Kinaenda kunuka huko Bunia. Jeshi la Uganda, leo limeingia nchini DRC, kukabiliana na vikundi vya wapiganaji wanaotumia siraha, wanaotekeleza mauaji ya Wahima kutoka Uganda. Huko pia ikumbukwe, ndo kuna kundi la waasi wa Uganda wajulikanao kama ADF. Haya, ngoja tuone DRC mwakani itakuwaje...
  16. imhotep

    Kumekucha huko DRC Wazalendo wapigana na FRDC

    Jeshi la Kongo lime collapse na Wanamgambo wa Wazalendo wameanza kushambulia jeshi la Kongo huko Uvira. Sasa hivi M23 wanaangalia tu kazi inafanywa na Wazalendo ambao wameshatuhumiwa kwa mauaji na ubakaji na ukiukwaji mkubwa wa haki za Binadamu dhidi ya Wananchi wa Kongo DRC...
  17. Marie Antoinette

    INGENDO ZO MU MAZI KU RUHANDE RWA DRC, ZASUBUKUWE MU KIYAGA CYA KIVU

    Ubwato bwa Emmanuel busanzwe bukora ingendo zihuza Imijyi ya Goma na Bukavu nibwo bwahagurutse i Bukavu mbere y'ubundi.Ni nyuma y'uko Guverineri wa Kivu y'Amajyaruguru washyizweho na M23 ashyizeho amabwiriza yo gufungura ingendo zo mu mazi y'Ikiyaga cya Kivu ndetse bigahita bikurikizwa.Ubu bwato...
  18. G

    Kwanini tusiingie makubaliano ya ulinzi na kibiashara haswa madini na DRC , JW ingie full scale kulinda mipaka ya DRC ?

    Sina mashaka na Jeshi letu tukiamua kulipa Hilo jukumu Tuna HISTORIA nzuri sana tangu ukoloni Hadi leo Kwa Dunia ya leo vita kubwa ni ya kiuchumi Kila mmoja ana angalia mwenzake atampa Fursa Gani Leo DRC ni nchi kubwa ya kimkakati kiuchumi haswa upande wa soko la bidhaa mbalimbali za...
  19. Mr Putin

    DRC: M23 wateka tena Kavumu Airport.

    M23 wachukuwa uwanja wa ndenge wa Kavumu kule Bukavu south kivu. Soon na mji wa Bukavu utachukuliwa. Tshisekedi kaenda Paris kufanya sherehe za Valentine's day na Mke wake. Na wanajeshi wa Burundi wa kamatwa mateka kwa wingi na wengine wakimbia kwa kuokoa Marshall yao.👇
  20. Marie Antoinette

    DRC n'u Burundi byanze kwitabira inama iri kubera i Kigali

    U Burundi na Repubulika Iharanira Demokarasi ya Congo ntibyitabiriye Inama yahuje impuguke mu bya gisirikare zo mu Muryango wa Afurika y'lburasirazuba ziteraniye mu Rwanda mu nama y'iminsi ibiri.Biteganyijwe ko izo mpuguke zizigira hamwe uburyo bwo kwifashisha ikoranabuhanga mu kubika inyandiko...
Back
Top Bottom