drc

  1. Huihui2

    Majeshi ya DRC Yaurudisha Mji wa Kalembe Serikalini Baada ya Kuwapiga M23

    Hizi ni habari kutoka Mashariki ya DRC. Huo mji ulikuwa chini ya vikundi vya wanamgambo wa M23 wanaosaidiwa na Serikali ya Rwanda
  2. A

    DR Congo ameshinda michezo mitano mfululizo bila kuruhusu nyavu zake kutikiswa

    DRC ameshinda michezo mitano mfululizo bila kuruhusu nyavu zake kutikiswa. Pole Taifa Stars..Pole nchi yangu.Poleni wachezaji. Hongera DRC. Wabongo tujifunze sasa kukubali matokeo bila kutoa matusi. Hivi kwanza unamtukana nani, unamlalamikia nani..umemlipa nani. Aiseee asiyekubali aende...
  3. F

    Tetesi: Rais Paul Kagame kufunguliwa mashitaka The Hague kwa uhalifu nchini Congo DRC

    Habari za siri zimeanza kuvuja kuwa Kagame kageukwa na wazungu. Leo mwendesha mashitaka wa mahakama ya ICC ameanza uchunguzi wa uhalifu wa kivita mashariki mwa Congo. Inadaiwa mlengwa sio mwingine bali ni Rais wa Rwanda Paul Kagame. Tusubiri tuone kama watafanikiwa kumnasa Chuma cha Pua.
  4. D

    Wazungu Wanamtumia Paul Kagame kuiba madini ya DRC halafu baadae watamuua

    Sisi waafrika tumelaaniwa na sidhani kama Mwenyezi Mungu alituumba na akili sawasawa. Ona Paul Kagame anavyotumiwa na nchi za Magahribi kuiba na kuua wacongo. Ninavyojua mimi wanamtumia ti wakiwa wanamtegesha tu kwamba madini yakiisha tu wanammaliza Kagame mwenyewe. Au Kagame akishtuka tu...
  5. Waufukweni

    Kocha aliyepewa "THANK YOU" Azam FC, Youssouph Dabo aibukia AS Vita Club ya DRC

    Youssouph Dabo ametangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa AS Vita Club, klabu maarufu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Dabo anachukua nafasi hii baada ya kuachishwa kazi na Azam FC, ambapo aliifundisha timu hiyo. Uteuzi wa Dabo unakuja wakati ambapo AS Vita Club inahitaji kuimarisha...
  6. Mkalukungone mwamba

    Wanariadha watatu wa DR Congo wametoweka tangu Jumapili siku ya mwisho ya michezo ya 33 ya Olimpiki

    Wakati sherehe za kufunga michezo ya Olimpiki zikifanyika mjini Paris, wanariadha watatu wa DR Congo wametoweka tangu Jumapili hii, siku ya mwisho ya michezo ya 33 ya Olimpiki. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ilishiriki katika matukio manne (Judo, kuogelea, riadha na ndondi) nchi hiyo...
  7. B

    CRDB Bank Marathon Congo yakusanya Dola 50,000 kusaidia wodi ya watoto Hospitali ya Jason Sendwe DRC

    Gavana wa Jimbo la Haut-Katanga, Jacques Kyabula (katikati) akimkabaizi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Marekani 50,000 Waziri wa Afya, Joseph Nsambi Bulanda wa Haut-Katanga (watatu kulia), zilizokusanywa katika CRDB Bank Marathon Congo iliyofanyika leo Agosti 4 2024 katika jiji la...
  8. Mr Chromium

    Why the world is ignoring Congo (DRC) ! Si kweli Waafrika ndio tunapuuziana kwasababu Kujichukia

    Nikisikia hii kauli najiulizaga WTF? Labda umesikia kauli kama hizi youtube, kwene website au social media Lakini ukweli ni kwamba waafrica wengi na viongozi wengi ni kina TIP TIP Asiejua historia Tip tip alikua kinara wakuuza wafrica wenzie kwa waarabu. Mgogoro huu wa CONGO una miaka zaidi...
  9. Lady Whistledown

    WHO: DRC ina idadi ya Watu wengi wanaohitaji Msaada wa Kibinadamu Duniani

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 25.4 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na Mgogoro wa Kiafya na Kibinadamu kutokana na kuongezeka kwa mzozo na vurugu, hasa katika marneo ya Mashariki ya nchi Shirika hilo lilisema kuongezeka kwa vurugu za makundi ya...
  10. MK254

    M23 Wateka mji mwingine DRC, wanajichukulia kizembe sana

    Licha ya majeshi ya maitaifa ya SADC kupambana pale DRC, hao madogo wa M23 wanaendelea kujichukulia miji. Sijui hawa madogo wana nguvu gani ukizingatia sio hata magaidi wa dini ile ya kigaidi gaidi. _------------- The M23 militia group has seized another town in the war-torn east of DR Congo...
  11. Suley2019

    Homa ya nyani (Monkeypox) yaibuka tena Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo. Watoto wadaiwa kuathirika zaidi

    Aina hatari ya homa ya nyani (mpox) inayowaua watoto na kusababisha mimba kutoka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndiyo inayoweza kuambukiza zaidi na inaweza kusambaa kimataifa, wanasayansi wameonya. Virusi hivi vinaonekana kusambaa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine kupitia mawasiliano...
  12. JanguKamaJangu

    Chalamila: Kama Serikali inatuma vikosi kupigana Congo, inashindwa kuja kupigana Kariakoo?

    DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila amesema ikihitajika kuweka Vyombo vya Dola maeneo ya Kariakoo kwaajili ya kulinda biashara wakati mazungumzo ya Wafanyabiashara na Serikali yakiendelea atafanya hivyo Amesema “Nataka niwaambie ukweli, Serikali haishindwi jambo, kama Serikali inatuma...
  13. MK254

    Magaidi wachinja maskini wanavijiji 38 DRC

    yaani mwendo wa kuchinja tu, tena wanachinja maskini walalahoi wasiokuwa na mbele wala nyuma, huwa najiuliza siku mkija kugundua huyo "mungu" wenu sie na kwamba muda wote mumeua watu ili kumkosha mungu asiye, mtaficha wapi aibu. _________ Suspected Islamist rebels killed at least 38 people in...
  14. Richard

    Trump adai kuna wafungwa wa kutoka Congo DRC wanopelekwa Marekani. Je mambo yapi wanofanya hawa wahalifu huko Marekani?

    Mgombea mtarajiwa wa kiti cha uraisi wa Marekani na pia mshtakiwa aletiwa hatiani kwa makosa ya kughushi nyaraka Donald Trump leo ameongea na waandishi wa habari na wafuasi wake katika ofisi zake mjini New York. Akiongea kwa muda wa dakika zipatazo 40 kuashiria kila kosa alotiwa hatiani kwa...
  15. LIKUD

    Mapinduzi yaliyoshindwa ya DRC. Ni kwamba jamaa walienda kufanya mapinduzi au walikuwa wachekeshaji?

    Nimesoma story na kutazama video ya jamaa walio jaribu kupindua serikali ya DRC nikaona hawa jamaa wala hata hawakuwa serious. Walikuwa ni kikundi cha comedian wameenda kufanya video kwa ajili ya Tiktok ili wapate viewers na likes . Anaejua account yao ya Tiktok aiandike chini hapo tuwa follow
  16. enzo1988

    Mapinduzi DRC: Jeshi la DRC latangaza kuzuia jaribio la mapinduzi

    Vyombo kadhaa vya habari vinaripoti sintofahamu huko DRC , vinasema kuwa jaribio la kumpindua rais Felix Tshikedi limeshindwa! ==== DR Congo army says it has thwarted attempted coup The Democratic Republic of Congo army says it has quashed an attempted coup against President Felix Tshikedi in...
  17. MK254

    Magaidi wenye mlengo wa kiislamu wachinja watu kwenye kituo cha afya DRC

    Huyu 'mungu' wao anapenda damu sana.... At least eight civilians died on Thursday in an attack on a health centre in eastern Democratic Republic of Congo, according to media reports that cited locals. The attack was carried out in DRC's North Kivu Province. Locals said the attack was carried...
  18. mwanamichakato

    Amani ya DRC na kesho ya usalama wa Tanzania

    Mungu ibariki Afrika na watu wake..Mungu wabariki Viongozi wetu Vita na mauaji vinaendelea Kivu ya Kaskazini,Maelfu ya raia wanauwa kila leo. Biashara na shughuli kuu zote zimedorora. Janga la kibinadamu siku si nyingi yamkini kukawa na mauaji ya haraiki. Waasi wenye nguvu wanapambana kuteka...
  19. R

    Kwanini ugonjwa wa Ebola huwa hauvuki mpaka wa DRC kuingia nchini?

    Salaam, shalom!! Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC? NB: Nia ya kuuliza swali hili ni njema, inalenga kujua jinsi Gani Tanzania ilivyobarikiwa(...
  20. E

    KUMEKUCHA!! Kongo DRC Majeshi ya SADC kuwaangamiza M23

    Jumuiya ya Maendeleo ya nchini za Kusini mwa Afrika (SADC), imetangaza kuwa vikosi vyake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vitafanya mashambulizi, kwa ushirikiano na vikosi vya serikali, ili "kuwamaliza waasi wa M23 na kurejesha amani na usalama." SADC ilitangaza hayo katika taarifa yake...
Back
Top Bottom