Rwanda na DRC zinaweza kwenda vitani wakati wowote kuanzia hivi sasa.
Ndivyo wanavyosema CIA. Ndio maana Williams Burns alifika hapa wiki mbili zilizopita kuongea na Rais Ruto. Williams Burns huyu ni Director wa CIA.
Lakini sisi tupo hapa hatujaona chochote bado,wanakuja watu toka nje...
M23 wameandika taarifa kwa umma wakilalamika TPDF kutembeza kichapo kisicho na Kisimbuzi. Ikumbukwe hawa M23 wameua RAIA wengi na Jumuia za Kimataifa ipo kimya.
Malalamiko yao yanakuja baada ya Jeshi la Tanzania kuamua kumalizana nao kwa kichapo hasa ikizingatiwa waliwahi kuwaua wanajeshi wetu...
Tanzania's defense force (TPDF) has deployed battalions to Goma as part of the SAMI (SADC Mission) to restore peace in the eastern DRC. Tz didn't join Uganda and Kenya under EACRF, a mission that failed to live up to its mandate. TPDF has a remarkable track record in foreign military operations...
DRC kwa kikubwa imetulia. Vita IPO sehemu chache sana lakini bado hakuna dalili za maendeleo.
Pamoja na utajili mkubwa wa rasilimali madini, ardhi, maji, DRC bado wanaogelea kwenye umaskini wa kutisha. Watu wengi wanahisi DRC kuna Vita. Jibu ni hapana. Maeneo mengi DRC kumetulia kuanzia...
Viongozi Watatu wa Upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wameitisha maandamano Nchi nzima mnamo Januari 20, 2024 siku ambayo Rais Félix Tshisekedi anatarajiwa kuapishwa kwa Awamu ya Pili kuwa madarakani.
Tshisekedi ameshinda uchaguzi kwa 73% ya kura, kulingana na Tume ya...
Mkuu wa kitengo cha ujasusi wa kundi la waasi la M23 ameripotiwa kuuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Maafisa wamefichua kwamba, Kanali Castro Elise Mberabagabo aliuawa jana Jumanne katika shambulio la vikosi vya jeshi la Congo kwenye...
UVCCM: Mbona tupo na negativity sana, kufungwa ni football. Sio timu hamasa sio CCM, hata ingekua CHADEMA hata ingekua wewe ndio upo kwenye timu hamasa TUSINGETOBOA kwa Morocco. Sisi ndio tunakuja na wao walishafika siku nyingi, tupo kupata Experience. Tuache kutoa maoni hasi kwenye swala ambalo...
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa (UN) wa kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambao umesaidia katika vita dhidi ya Waasi kwa zaidi ya miaka 20, unatarajiwa kuondoka rasmi Nchini humo ifikapo Disemba 2024.
"Baada ya miaka 25 ya kuwepo, MONUSCO itaondoka kabla ya mwisho wa 2024,"...
Nikiwa nasikiliza idhaa ya kiswahili ya dw Leo mchana moja ya wachambuzi wa maswala ya migogoro huko Congo alitoa ufafanuzi juu ya kikosi kingine Cha SADC Ambacho kinajiandaa kwa awamu nyingine kutumwa huko DRC.
Kilichonishangaza ni pale alipoulkuliwa akisema wanajeshi wakongo wanataka vita na...
Kumekucha.
Kuna habari nimeipata kutoka chanzo nyeti kuwa Congo DRC na Burundi zinajipanga kuishambulia Rwanda. Haijabainika tarehe halisi ya mashambulizi na uvamizi ila chanzo hicho kimedai ni Kati ya mwezi February au March 2024.
Inadaiwa vyombo vya ujasusi nchini Rwanda vimepata habari hizi...
Polisi katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa imewazuwia waandamanaji kukusanyika siku ya Jumatano 27/12/2023, baada ya kuandamana dhidi ya uchaguzi wa hivi karibuni katika taifa hilo tete la Afrika ya Kati.
Wanasiasa wakuu wa upinzani katika nchi maskini lakini yenye...
SERIKALI YAKATAA KURUDIA UCHAGUZI LICHA YA WAANGALIZI KUDAI KUNA UDANGANYIFU
Kauli ya Serikali inakuja huku kukiwa na shinikizo la Wafuasi na Viongozi wa Upinzani kutaka Uchaguzi huo ufutwe kutokana na madai ya kuwepo kwa ukiukwaji wa Sheria na Uwazi ikiwe baadhi ya Vituo kutopiga Kura.
Ripoti...
Msemaji wa Jeshi Polisi Nchini Uganda Vincent Twesige amesema wanamgambo wanaohusishwa na kundi lenye itikadi kali (Islamic State) wamewachoma moto watu 10 hadi kufa katika shambulizi lililofanywa kusini magharibi mwa nchi hiyo.
Inaelezwa kuwa wanamgambo hao kutoka kundi la ADF ni miongoni mwa...
Bado unayo nafasi ya kuitazama milima ya Congo DRC ukiwa hapa Kigoma, mlima tambalale uliyonyooka kwa mapana uliopakwa rangi ya blue ni nchi ya Zaire, utafika katika nchi hiyo kwa usafiri wa Boti, ni rahisi sana kutokea hapa kwetu Kigoma.
Hapa ni Kigoma Karibu na Station Milima ya Blue...
Wakati wagombea urais wa Tanzania wakitoa Sh5 milioni kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano, kwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wagombea urais wanatakiwa kuonyesha risiti ya malipo ya faranga za Congo milioni 160, sawa na zaidi ya Sh150.3 milioni kama ada zisizorejeshwa kwa Tume Huru ya...
Jana nimepata wasaa wa kumsikikiza Ndugu Moise Katumbi Chapwe katika moja ya mahojiano ya hivi karibuni. Pamoja na kuzungumza mengi lakini mipango miwili ya amani na usalama wa chakula imenifurahisha sana.
Huyu bwana amepanga kumaliza vita mashariki ya DRC ndani ya miezi sita tu.
Pia anataka...
Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameazimia kupeleka Misheni ya Ulinzi wa Amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (SAMIDRC) kushughulikia masuala muhimu yanayoathiri utulivu na amani nchini humo kufuatia mapigano ya muda mrefu baina ya...
Huku tukiendelea kuandamana na kuwa na uchungu wa mnyang'anyano wa aidhi baina Waarabu na Wayahudi, hebu pia tuweni na kauchungu fulani hivi kwa Waafrika wenzetu karibia milioni 7 hapo DRC wamefukuzwa kutoka kwenye ardhi zao......
=============================
The conflict between M23 rebels...
Jamaa wameamua badala ya kuhubiri amani, ni mwendo wa kuchinja tu.
=======
Beni. Rebels backed by the Islamic State group have killed two Ugandan soldiers in an attack that also left two civilians and a suspected assailant dead in eastern DR Congo, authorities said on Saturday.
Two truck...
Tanzania nadhani tunashindwa kuelewa kwamba nchi yetu ili iendelee lazima wafu wetu wasafiri nje . Tunashindwa kuelewa ili nchi iweze kupunguza changamoto za ajira lazima watu wake wakatafute fursa Sehemu nyingine
Tumekuwa wepesi sana kutetea wageni badala ya kutetea watu wetu. Raia wa Kongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.