Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb) akibofya batani ili kucheza Filamu ya The Royal Tour kwenye Basi la abiria la Kampuni ya Classic ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kampuni hiyo kuonesha filamu hiyo kwa abiria wanaotumia mabasi yake.
Waziri wa...
Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa ADF, jana Machi 12, 2023 waliwauwa takriban watu 17 Mashariki mwa DRC, maafisa wa eneo hilo wamesema, siku chache tu baada ya kundi hilo lenye mafungamano na kundi la kigaidi kufanya mauaji mengine katika eneo hilo lenye machafuko.
Kundi hilo la Allied Democratic...
Hivi Africa kweli tulipatiwa uhuru au ilikuwa ni hadaa? Angalia congo watu wake wanavyouawa kisa nchi za magharibi zinataka kuchota Mali kwa kupitia kwa kagame na mseveni thru M23. Hawa M23 wanapew asilaha na ufaranasa na marekani kwa kupitia Rwanda kw akagame. Kwa nini nchi za Africa tusiungane...
Tumeona jinsi ambavyo DRC anahangaika na waasi kwenye eneo lake la mashariki.
Je, sisi kama taifa tuna mikakati Gani ya kulinda maeneo yetu ya magharibi Kwa matukio kama haya? Au tunajiaminisha kuwa tupo salama muda wote?
Hello Wadau.
Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄
Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis.
Commets ziwe fupi fupi tafadhali.
Video...
akemea
biblia
catholic
drc
haki
jinsia
kosa
kuhusu
kupata
kupinga
kutumia
kwani
kwenda
makanisa
makundi
mapenzi
moja
mtoto
mungu
muongozo
njia
papa
papa francis
sahihi
sheria
suala
tanzania
tuna
ufafanuzi
uhalifu
ulaya
ushoga
vifungu
vipi
wote
ziara
Kufuatiwa mgogoro wa DRC/Congo dhidi ya M23 ambao umepelekea nchi wanachama wa Africa mashariki kupeleka vikosi vyake kupambana na kundi hilo la kiasi ambalo DRC inaishutumu Rwanda kulisupport kifedha, kiinteligencia na kijeshi.
Mpaka sasa nchi 5 kati ya 7 zimepeleka majeshi yake DRC /Nchi zote...
M23 wakamata mji wa Kishanga tena, Jeshi la Congo na washilika wake FDLR,MAIMAI NYATULA,CODECO,MAIMAI YAKUTUMBA NA WAZUNGU MERCENARIES waliopewa kazi na DRC wakimbia.
M23 yatangaza vita rasmi kupambana na hivo Vikosi kwa kuwa wanafanya Mauaji ya kuwalenga Watusi,Hema na wanaozungumza...
Another DR Congo fighter jet violates Rwandan airspace
Story by Germain Nsanzimana • Wednesday
Another Sukhoi-25 fighter jet from DR Congo violated Rwandan airspace along Lake Kivu in the Western Province of Rwanda on Wednesday at around 12h00, and immediately returned to DR Congo. This is not...
Wa miaka mingi Kagame amekuwa kiungo muhimu cha kuhakikisha maslahi ya mabeberu mashariki mwa DRC.
Zaidi ya nusu ya suppy ya madini muhimu yanayotumika kwenye technolia mbalimbali za kisasa kama lithium batteries yanatoka DRC.
Kwa miaka mingi vita na vurugu za wanaoitwa "waasi" vimesababisha...
Kauli hiyo ya Rwanda imetolewa wakati mivutano kati ya majirani hao wawili ikiongezeka juu ya waasi wanaozidi kusonga mbele katika eneo lenye mzozo la Mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC).
DRC inaishutumu Rwanda kuliunga mkono kundi la waasi la M23, ambalo liliteka baadhi ya...
Kwa wasiojua, Banyamulenge ni watu wenye asili ya kitutsi wanaopatikana DRC kabla hata ya mipaka ya wazungu, kama ambavyo Wamasai wako Kenya na Tanzania. Tunaongelea zaidi ya miaka 200. Kagame anavyofanya fujo Africa Mashariki watu wote wenye asili ya Rwanda/Burundi wanajikuta wahanga. Hata hapa...
Wanajeshi wanane na raia moja katika eneo la Kaskazini Mashariki mwa DRC wamehukumiwa kifo kwa mauaji na ubadhirifu.
Kati ya waliopatikana na hatia kati yao kuna Kanali Mukalenga Tendeko na Kayumba Sumahili.
Wanajeshi wengine watatu ambao walikuwa wamehukumiwa hadi kifungo cha miaka 10 jela...
Habari,
Kiukweli bado nashindwa kuelewa nchi marafiki wa DRC? Ni nchi gani za kibeberu, Asia, au zilizoendelea ambazo ni marafiki wa DRC? Nadhani hazipo kama zipo pasi imapact yake ndogo.
Aidha diplomasia ya DRC katka kutafuta marafiki wa faida ni ndogo. Ikiwa ni nchi iliyogubikwa na majangili...
Sisi wanadamu ni viumbe wa ajabu sana MUNGU katuumba na akili timamu ya kujitabua lipi jema na lipi ni baya.
DRC ni sehemu iliyotawaliwa na mauaji tangu miaka ya 90 ila mpaka leo hakuna Juhudi zozote za kuzuia mauaji hayo. Hata mwezi uliopita watu waliuawa zaidi ya 100 eneo ya Kishishe na m23...
Zipo taarifa za chini chini kwamba Rwanda imewataka mabalozi wa USA,UK, Belgium & France kuondoka Kigali ndani ya masaa 72.
Kama Rwanda imefikia hatua ya kuwatimua wafadhili Wakuu wa budget yake naona mwisho wa PAKA umewadia.
Ngongo kwasasa Kivu ya Kaskazini,
=====
UPDATES
=====
Habari...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limechukua hatua hiyo iliyowekwa kwa Majeshi ya Serikali ya DRC kutonunua Silaha mpya hadi wapate kibali kutoka Kamati ya Vikwazo ya UN.
Wajumbe wa Baraza hilo wamesema wanatambua Hali Mbaya ya Usalama nchini humo na hivyo kuondoa vikwazo hivyo ni katika...
Sasa KCB kuhudumia wananchi milioni 90 kule DRC.
========
KCB Group will officially begin operations in the Democratic Republic of Congo (DRC) after its acquisition of a majority stake in the Trust Merchant Bank (TMB) received nod from regulators, allowing it to expand its services into one of...
Kwenye shughuli iliyosimamiwa na kuratibiwa na aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta.
Wamekubali kuweka silaha chini na kuanza shughuli za ujenzi wa taifa, ikumbukwe jumuia ya EAC iliazimia kwamba amani lazima ipatikane DRC kwa heri au shari, chagua moja.
Pia M23 wametuma ujumbe wako...
Hatimaye sasa its official kuwa Kagame analisaidia kundi la waasi wa M23 wanaopigana na serikali Mashariki mwa Congo DRC.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Blinken, amekutana na P. Kagame na kumpasulia wazi kuwa aache kuisaidia M23 , kikundi kinachoua na kutesa wananchi wa kawaida huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.