Tunazidi kuingia kwa Bakongo kifua mbele.....
KCB Group has entered the Democratic Republic of Congo (DRC) through the acquisition of a majority stake in Trust Merchant Bank (TMB), becoming the second Kenyan lender to enter the populous market as top local banks step up the fight for new...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imemtaka msemaji wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa, Mathias Gillmann kuondoka Nchini humo haraka iwezekanavyo baada ya Wizara ya Mambo ya Nje kumshutumu kwa kutoa "taarifa zisizoeleweka na zisizofaa" kuhusiana na Nchi hiyo
Takriban watu 30...
Malori manne ya mafuta ya Kampuni ya Lake Oil yamekamatwa Mkoani Songwe yakiwa yamebeba shehena ya vipodozi vilivyopigwa marufuku Nchini ambayo yalikuwa yakitokea DRC huku madereva wa magari hayo wakiyatelekeza.
Meneja Ukaguzi wa Kampuni ya Lake Oil, Ali Sharif amesema magari yao yana mfumo wa...
Idara ya ujasusi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imemzuilia mwanahabari wa Marekani Stavros Nicolas Niarchos baada ya kudaiwa kukaribia makundi yenye silaha Kusini Mashariki mwa nchi hiyo
Mwanahabari huyo mwenye umri wa miaka 33, ambaye anaandikia magazeti ya Marekani The Nation na...
Sasa EAC tumetimia watu milioni 300, soko la watu wote hao na GDP ya bilioni 250 dola za Kimarekani, jameni watu tuchangamkieni hizi fursa, wa kulala waendelee na kusubiri maembe yadondoke, ila tuliozoea kupambana tuendelee mbele kwa mbele...
Sema nimependa sana namna rais Uhuru amechakarika...
Umoja wa Mataifa umesema watu 20 wameuawa na makumi ya wengine kutekwa nyara katika mashambulizi yanayoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC) wakiwemo wagonjwa 4 walioteketezwa wakiwa hai katika zahanati ya kanisa katika jimbo la Kivu Kaskazini
Hadi hivi sasa Wapiganaji wa...
Watu watano wameuawa, wakiwemo watoto wanne ambao walichomwa moto hadi kufa, na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo, ambao pia waliteka nyara watu wengine kadhaa katika shambulio mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Shambulio hilo la Waasi wa Alliance Democratic Forces (ADF) limetokea...
Watu 9 wameripotiwa kuuawa katika kliniki baada ya kundi la watu kushambulia Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), washukiwa wa kwanza wakitajwa kuwa ni Wanamgambo wenye masimamo mkali kutoka Kundi la ADF
Kundi hilo ni kutoka Uganda limekuwa likifanya harakati zake katika misitu...
Mashambulizi makali yametokea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) baina ya Jeshi la Serikali hiyo na wanamgambo wa M23, ikiwa ni nis aa chache tangu Rais wa DRC, Felix Tshisekedi kukubaliana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame kupunguza uhasama kuhusiana na mapigano hayo.
Msemaji wa...
Nilisikia kuna Taifa Moja Afrika Mashariki jirani pia na Congo DR liliahidi kuisaidia Congo DR Kijeshi ila cha Kushangaza wamesitisha Uamuzi huo baada ya kugundua kuwa ukimgusa Rwanda jua umeigusa pia na Nduguye Uganda hivyo uwezekano wa kupata Kichapo Kitakatifu ni mkubwa ukizingatia 65% ya...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC), Felix Tshisekedi anatarajiwa kukutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame Nchini Angola kwa ajili ya mazungumzo kutokana na mgogoro unaoendelea baina ya mataifa hayo.
Haijawekwa wazi watakachozungumza katika mkutano huo utafanyika Jijini Luanda lakini...
DRC inaishutumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa #M23, tuhuma ambazo Rwanda imezikanusha na imekataa ushiriki wa Jeshi la Rwanda katika kupambana na waasi hao, ambapo Rais wa Rwanda Paul Kagame alisema hajali nchi yake kutengwa katika kikosi hicho
Nchi saba za Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Kamanda mkuu wa kundi la waasi la M23 Generali Sultani Makenga amerudi mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, akitokea nchi Jirani ambayo msemaji wa kundi hilo Maj. Willy Ngoma hakutaja.
Maj. Ngoma amesema kwamba tangu arudi DRC, Generali Sultani Makenga amekuwa akitembelea wapiganaji...
Hatimaye DRC inakwenda kupata amani ya kudumu, rais Uhuru ameshikilia hili bango kwa kutumia nguvu nyingi sana...
The US government has hailed Kenya’s President Uhuru Kenyatta for getting DR Congo and Rwanda to a meeting last week, saying it could ease tensions between the two neighbours.
US...
Jeshi la nchi ya Congo DR limeonyesha uborekaji wa hali ya juu kwasasa . tangu waasi wa M23 wafanikiwe kutwaa mjii wa mpaka wa Bunagana nimekua nikifuatilia kwakaribu sana mapigano ya kila siku ya vita hii.
Mwazoni ni kama Jeshi lilishitukizwa na mashambulio lakini baada ya wiki mbilijeshi...
Viongozi 7 wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanatarajiwa kukutana leo Juni 20, 2022 Jijini Nairobi, Kenya mada kuu ikiwa ni mgogoro unaoendelea kati ya DRC na Rwanda.
Kumekuwa na mapigano makali yanayofufua uhasama wa miongo kadhaa kati ya mataifa hayo mawili, ambapo DRC inailaumu Rwanda...
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeishutumu Rwanda kwa uvamizi baada ya waasi wa M23 kuuteka mji muhimu wa Bunagana uliopo mpakani mwa Rwanda na DRC, na hivyo kuashiria kuongezeka kwa hali ya wasiwasi kati ya nchi hizo jirani
Mji wa Bunagana ulioko kaskazini mashariki mwa Goma, una...
Vikosi vya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) vimeishutumu Rwanda kwa kutuma vikosi maalum kwa kujificha katika ardhi ya nchi hiyo, huku mzozo unaoendelea baina ya nchi hizo ukichochea ghasia mashariki mwa nchi hiyo.
Jeshi la DRC lilidai kuwa wanajeshi 500 waliovalia sare za...
Chiefs of Defence Forces from the East African Community (EAC) member states have kicked off discussions on modalities of establishing a regional force that will help restore peace and security in the Democratic Republic of Congo.
In the meeting held on Monday in Goma, Kenya’s CDF General...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.