drc

  1. Analogia Malenga

    DR Congo: Bunge lapiga kura ya kumtimua Waziri wa Uchumi

    Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatano limepiga kura ya kumuondoa kwenye wadhifa wake waziri wa uchumi Jean Marie Kalumba, likimshtumu kwa mfumuko wa bei ya bidhaa muhimu na uratibu mbovu wa sekta ya uvuvi, kati ya masuala mengine. Waziri huyo amepewa saa 48 ili awe amekwisha...
  2. MK254

    DRC ndani ya EAC: Jumuiya sasa ina walaji milioni 280; ushindwe mwenyewe kwa uzembe wako!

    Jumuiya sasa imeunganisha bahari Hindi na Atlantic. DRC yenyewe kwa ukubwa wa ardhi ilikua kubwa hata kuzidi jumuia ya EAC ya mwanzo, halafu ardhi yao ina rotuba nzuri kote na madini ya kumwaga, wao hukwamishwa na mavita vita tu japo hayapo nchi yote. Wawekezaji hii ndio fursa sasa, kawaida...
  3. chizcom

    Kitendawili cha DRC kuingia kwenye EAC kitategua au kuwavua nguo Rwanda na Uganda

    Ni pongezi kubwa kwa EAC kukalibisha congo kuingia kwenye EAC ila bado kitendawili ambacho DRC kutaka kifumbuliwe ni kuhusu vikundi vilivyomo ndani ya nchi yake. Je, EAC itakubali kuyajadili haya ukiachana na uchumi na mambo mengine. • On the day that DRC formally joined the EAC, thousands...
  4. Analogia Malenga

    Wanajeshi wanane wa kulinda amani wa UN wathibitishwa kupoteza maisha DRC

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema waasi wameiangusha helikopta ya Umoja wa Mataifa mashariki mwa nchi hiyo. Takriban watu wanane walikuwa kwenye ndege hiyo iliyodunguliwa wilayani Rutshuru katika jimbo la Kivu Kaskazini. Sita kati ya waliofariki walikuwa wanajeshi kutoka...
  5. Song of Solomon

    Ujio wa DRC una manufaa gani kwa EAC?

    DRC: Jumuiya ya Afrika Mashariki yakaribisha mgeni mpya baada ya kuwasili kwa DRC, anakuja na mazuri gani? Mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yana kila sababu ya kusherehekea, yakiikaribisha Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) kuwa mwanachama mpya wakati viongozi wake...
  6. Priscallia

    History is made! Democratic Republic of Congo is now a new member of the East African Community

    EAC Heads of State OFFICIALLY admit the Democratic Republic of the Congo (DRC) into the East African Community. H.E Uhuru Kenyatta,Chair of the Summit of EAC Heads of States announces during the 19th Extra-Ordinary Summit of EAC Heads of State. === Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya...
  7. tutafikatu

    Kituko Serikali ya Kongo DRC: Ina watumishi wenye umri wa miaka 100 ambao hawajastaafu

    Hapa Tanzania tunapiga kelele kuhusu ajira. Wengine tunataka umri wa kustaafu upunguzwe. Ukienda Congo DRC utaona vituko. Kuna watumishi wengi wa serikali wenye umri wa miaka 70 na zaidi waliopaswa kustaafu wakiwa na miaka 65. Cha kushangaza kuna zaidi ya watumishi 250 waliofikisha umri wa...
  8. MK254

    Rwanda, DRC most profitable units for KCB, Equity banks

    Rwanda and the Democratic Republic of Congo (DRC) were the most profitable regional subsidiaries for Kenyan lenders KCB Group and Equity Group respectively in 2021, revealing the benefits of acquisitions they made in those countries. KCB acquired Banque Populaire du Rwanda (BPR) in June last...
  9. Analogia Malenga

    Wanajeshi wa Ukraine walioko DRC watakiwa kuondoka

    Kikosi cha wanajeshi 250 wa kulinda amani wa Ukraine wanatarajiwa kuondoka mashariki mwa DRC na kurejea Ukraine. Tangazo hilo lilitolewa Jumanne na Umoja wa Mataifa. Tarehe ya kuondoka bado haijatangazwa. Uondoaji huo pia utajumuisha vifaa na helikopta. Hatua hiyo huenda ikawa na athari kwa...
  10. Ikaria

    DR Congo yakerwa na kauli ya William Ruto

    Ubalozi wa #Kenya nchini #DRC umelaani vikali 'kauli za dharau na kejeli' alizotoa Naibu Rais Williams Ruto kuhusu taifa la DRC. Baadhi ya raia wa DRC wameanza kususia bidhaa za Wakenya walioko jjjini Kinshasa. Naibu Rais William Ruto aliikejeli DRC kwa kusema taifa hilo ni maskini na halina...
  11. Geza Ulole

    When DRC Congo stands up to repel arrogant Kenya

    Kenyan Deputy President's 'cow' remark sparks outrage in DRC Kenya’s Deputy President William Ruto. PHOTO | FILE | NMG By PATRICK ILUNGA Kenyan Deputy President William Ruto on Monday provoked ire from Congolese online for making comments that were viewed as disparaging. On Wednesday and...
  12. Suley2019

    Mahakama ya ICJ yaiamuru Uganda kuilipa DRC faini dola milioni 325

    Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ilitangaza Jumatano wiki hii kwamba dola Milioni 325 ndio kiasi cha fidia ambacho Uganda inapaswa kuilipa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambayo ilikuwa ikidai zaidi ya dola bilioni 11 kwa uvamizi wa Uganda mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
  13. MK254

    BBC: Waasi watatu wa ADF raia wa Tanzania wakamatwa DRC

    Jeshi la taifa la Kongo FARDC limetangaza kuwakamata raia watatu wa Tanzania ambao ni waasi wa ADF waliosajiriwa wilayani Beni mashariki mwa Kongo. Raia hao wa Tanzania, walikamatwa Jumapili hii, Februari 6, 2022 wakati wa doria zilizofanywa na askari wa Kongo katika bonde la Mwalika, katika...
  14. Little brain

    Kiungo wa club ya Yanga sc "Mukoko Tonombe' (Teacher) asajiliwa rasmi na matajiri wa Congo DRC "Tp Mazembe''

    Mchezaji aliyekua anawekwa benchi na Yanga anakua tegemeo Tp mazembe je inathibitisha yanga ndio timu yenye kikosi kipana east africa nzima?
  15. MK254

    China yaanza kujadali mikakati ya reli ya SGR kuunga hadi Rwanda, DRC, Uganda na Sudan Kusini

    Mataifa yote hayo kuunga kwenye reli moja kutokea Mombasa, mazungumzo yameanza na mikakati kupangwa...... Nairobi. China is proposing a grand infrastructure plan for the Horn of Africa that would involve expanding the two major railroads and developing ports on the Red Sea and the Indian Ocean...
  16. L

    Naomba soko la mbao aina ya Mahogany na mvule toka Congo DRC

    Ndugu wana JF naomba mwenye taarifa ya soko la mbao aina ya MVULE AU MAHOGANY toka DRC anijulishe tafadhali nimepata msitu mkubwa DRC nimeshaanza kuzalisha hivyo nahitaji soko la uhakika.Niko tayari kutoa kamisheni kwa mtu atakayenipa connection ya masoko. Namba yangu 0783881930
  17. MK254

    Eneo la Gulu tayari, kitovu cha biashara na usafiri kinachounganisha Kenya, Sudan Kusini, Uganda na DRC

    Miundo mbinu imeboreshwa, hamna haja ya kupitia Kampala tena, kipande cha reli cha Tororo kitaharakisha usafiri kutokea mpakani mwa Kenya.... More than a decade ago, Gulu was a no-go area, thanks to the Joseph Kony-led Lord’s Resistance Army rebels, who were fighting the government then. Fast...
  18. Red Giant

    Ujio wa DRC EAC

    Inaonekana safari ya DRC kuingia EAC imeiva. Bado hatua chache tu lakini technically ni imekubaliwa. Inasemwa kuwa lengo la Kenya kwenye EAC ni kupata soko la bidhaa zake, kuwekeza mtaji wake unaozidi na kupata ardhi. Rwanda, na labda Burundi, malengo yao ni kupata sehemu ya kupeleka watu...
  19. Lububi

    Faida na Hasara za DRC kujiunga EAC

    Wadau wapendao Utukufu kwa Mungu juu na AMAN dunian tuangalie mabadiliko ya kisiasa, kijamii na kiuchumi yatakayotokana na nchi kubwa yenye migogoro ya muda mrefu na siasa ngumu zenye mkono wa kuibiana, na dhulma za walioko nje ya nchi muhanga, itakapopata washirika wa africa masharik wenye...
  20. The Sunk Cost Fallacy

    Tanzania tuige mfano wa Uganda kuwajengea DRC barabara Ili kufungua biashara

    Hello members. Hivi karibuni nchi ya Uganda imeanza ujenzi wa barabara za kimkakati zinazolenga kukuza biashara baina yake na nchi ya DRC Congo.. Barabara hizo zinajengwa ndani ya Mipaka ya DRC kwa makubaliano maalumu na kuharakisha kukuza biashara na uchumi. Kwa mtizamo wangu ,hili ni wazo...
Back
Top Bottom