drc

  1. jiwekuu770

    Je, DRC kujiunga EAC kutaleta amani Mashariki mwa Kongo?

    DRC ni moja ya nchi zilizopo Ukanda wa maziwa makuu!! Nchi hii imefanikiwa kujiunga na EAC hivi punde baada ya kupewa uanachama hapo 22Novermber 2021 Aidha uamuzi huo umekuja baada na timu ya EAC kwenda DRC kujiridhisha na utimilifu wa vigezo hapo 26june had 5 july KIFUATACHO -Itakua n...
  2. Miss Zomboko

    Mahakama ya Katiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa haina uwezo wa kumhukumu aliyekuwa Waziri Mkuu

    Mahakama ya juu zaidi nchini DRC imeamua Jumatatu (Novemba 15) kwamba haina uwezo wa kumhukumu aliyekuwa waziri mkuu Seneta Augustin Matata Ponyo. Seneta mteule wa bunge la sasa, Augustin Matata Ponyo anashutumiwa kwa ubadhirifu wa mamia ya mamilioni ya dola zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi wa...
  3. MK254

    Equity plans to fund Kenyan businesses in DRC cities

    Equity Group is partnering with the governments of Kenya and DRC for a two-week trade mission that is expected to foster trade and investment relations following the latter’s application to join the East African Community. The lender, through its Kenyan arm and its DRC subsidiary EquityBCDC...
  4. Moronight walker

    Silence Genocide against Banyamulenge

    Jamii ya kabila ya banyamulenge waishio Europe, USA na kwingineko wanaandamana na kulalamika juu ya Maimai na jeshi la congo FARDC inafanya mauaji ya kimya kimya juu ya banyamelenge (Congolese Tutsi). Mpaka Sasa nyumba zaidi ya 40,000 zimechomwa moto, ng'ombe zaidi ya 20,000 zimeibiwa na...
  5. Opportunity Cost

    Mliopo Uwanjani tupeni matokeo ya Taifa Stars Vs DRC

    Wadau wa mechi umofia. Nimeambiwa Taifa Stars 1 na DRC 1,ila somebody Lilayanti Lusajo yuko powa Sana sijui anachezea timu gani,ametoa pasi ya goli. Kila la heri Taifa Stars
  6. R

    Basi kutoka Dar es Salaam to Lubumbashi, DRC

    Wakuu naomba kujua ni mabasi gani yanayo kwenda Lubumbashi, nauli zake na siku gani yanaondoka. Shukran sana
  7. Opportunity Cost

    Egypt imeigeukia kubembeleza Congo DRC Baada ya Ethiopia Kudinda kuhusu Bwawa la Umeme

    Habari zenu. Baada ya mwanaume Ethiopia kupuuza vitisho na mikwara ya mbu nje ya net iliyokuwa ikitolewa na Egypt kwa Ethiopia Kuhusu kujaza maji kwenye Bwawa la Umeme,jamaa sasa wameamua kuiangukia Congo DRC. Egypt sasa inapanga kutumia mabilioni ya dola kuwalipa wakongo Ili ijenge channel ya...
  8. Analogia Malenga

    Lugha ya ishara kuwa lugha rasmi DRC

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imepanga kuiweka lugha ya ishara kuwa lugha ya tano rasmi nchini humo ukiongeza kwenye Kiswahili, kilingala, Kituba na Tshiluba. Lugha hiyo ya ishara itakuwa inafundishwa shuleni ili kuwasaidia watu ambao wanategemea lugha ya ishara kupata huduma za...
  9. F

    Marekani kutuma kikosi maalumu cha jeshi Congo DRC kupambana na wanamgambo

    Utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani unajiandaa kutuma kikosi maalumu cha jeshi Congo DRC kupambana na wanamgambo wa ADF na ISIS waliopo mashariki. Balozi wa Marekani Congo DRC amesema kwa sasa vita vya Congo vitafikia ukingoni. Hatua hiyo ya Marekani unakuja wiki moja baada ya Kenya nayo...
  10. Erythrocyte

    Naomba kufahamu kuhusu Nyoka Longo, gwiji la muziki kutoka DRC

    Huyu jamaa ni Kiongozi wa miaka mingi sana wa bendi ya Zaiko langalanga Nkolomboka (chuo cha wanamuziki wa congo), hii ni kwa sababu almost 95% ya wanamuziki wote wenye mafanikio nchini Congo wamepitia kwenye bendi hii. Je, Mtu huyu ni nani na amewezaje kudumu kwenye game bila kutetereka kwa...
  11. Kafrican

    MONUSCO DRC: Je Kenya Itaenda kuingiza Nguvu Mpya Kule Congo ama Tutazembea Ka Wengine?

    MONUSCO Force Intervention Brigade FIB imekua DRC kwa miaka 8 sasa ikijaribu kuleta amani eneo la DRC, wakati ilipoanza ilikua adui mkubwa ni M23 (kama sijakosea) ambao walimumunyika na kupotea ndani ya raia wa kawaida kisha baadae wakaanzisha vita vya guerilla, Sahii M23 hawatajiki tena lakini...
  12. MK254

    Kikosi maalum cha makomando wa KDF chawasili DRC

    Lazima tuhakikishe watu wanaishi kwa amani kwenye nchi za maziwa makuu ....... Soldiers of the Quick Reaction Force(QRF) at the Embakasi Garrison on Monday, August 9. KENYA DEFENSE The Quick Reaction Force (QRF) unit of the Kenya Defence Forces (KDF) landed in the Democratic Republic of Congo...
  13. MK254

    Dah! Equity tawi la DRC linanawiri na lipo mbioni kushinda Nairobi

    Afrika pazuri... Equity Group closed last year as Kenya’s most profitable lender and has maintained this run in the first quarter of this year with a 64 percent growth in net profit to Sh8.7 billion. The Business Daily spoke to its CEO James Mwangi about the place of subsidiaries in growth...
  14. C

    Aibu: Wasafi FM michezo wanadanganya kuhusu ibenge na DRC national team

    Inasikitisha sana kwa kweli hawa jamaa nilkuwa najua ni manguli wa habari za michezo wako sasa hivi saa 19.50 wanadanganya kuhusu habari ya florente ibenge wakidai ni kocha wa team y a taifa ya Dr Congo ibenge kaacha kazi as vita anaelekea Orlando pirates ila hawa jamaa wako hapo studio wanadai...
  15. Comred Mbwana Allyamtu

    Banyamrenge, walowezi wa kitutsi nchini Congo DR ambao wanadai ardhi ili waanzishe taifa lao

    BANYAMRENGE, WALOWEZI WA KITUTSI NCHINI KONGO DRC AMBAO WANADAI ARIDHI ILI WAANZISHE TAIFA LAO. Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA) Wednesday-30/06/2021 Kilimanjaro national park Kilimanjaro Tanzania Banyamulenge ni jamii ya watutsi wanaoishi eneo la Mulenge, eneo hili ni kiunga kilichopo wilaya...
  16. Analogia Malenga

    DRC yakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizi ya Virusi vya Corona

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizo ya corona, na huku kitovu kikiwa katika mji mkuu, Kinshasa, ikiwa ni moja ya miji yenye idadi kubwa ya watu barani Afrika, Waziri wa Afya Jean-Jacques Mbungani alisema Alhamisi. Kwa mujibu wa shirika la habari la...
  17. jitombashisho

    DRC: Maelfu waukimbia mji wa Goma kukwepa mlipuko wa awamu ya pili wa volcano ya mlima Nyiragongo

    Mamlaka mjini Goma nchini Congo DR zimewataka waakazi wa mji huo kuondoa kwa hofu ya volcano ya mlima Nyiragongo kulipuka kwa mara ya pili. Mji jirani wa Gisenyi,Rubavu Nchi ya Rwanda umeshuhudia mamia ya makumi ya waakazi wa mji wa Goma wakikimbilia hapo kwa minajili hiyo ya kukimbia madhara...
  18. stakehigh

    CRDB Bank gets BoT’s nod for expansion to DRC

    Arusha. The Bank of Tanzania (BoT) has issued an approval for CRDB Bank Plc to extend its footprints to the Democratic Republic of Congo (DRC), it was announced here during the weekend. This is in line with the government’s desire to see Tanzanian companies expanding to other countries and reap...
  19. jitombashisho

    DRC: Mlima Nyiragongo wa huko Goma waalipuka Volcano

    Wakazi wengi wa mji wa Goma nchini Congo wanakimbilia nchini Rwanda katika mji wa Gisenyi kujiokoa na mlipuko wa volcano inayolipuka muda huu katika mlima Nyiragongo. Chanzo ni mimi mwenyewe nipo hapa Gisenyi. ===== FACT: More than 3,500 DR Congo nationals have crossed to Rubavu, Rwanda...
  20. MK254

    Officials from Uganda and Kenya met to thrash out operational details on targeting DRC and South Sudan markets through railway

    With an eye on the Democratic Republic of Congo and South Sudan markets, there is renewed vibrancy on the Northern Corridor, as Uganda and Kenya join forces to push the rehabilitation and seamless connection of the old metre gauge railway line, over which the two countries’ officials met this...
Back
Top Bottom