drc

  1. Replica

    Malori 250 ya Tanzania yashikiliwa DRC siku 45 sasa

    Malori 250 ya watanzania yaliyobeba copper yanashikiliwa nchini Congo kutokana na mgogoro wa kodi baina ya Serikali ya Congo na kampuni za madini zilizopakia mzigo huo. Malori hayo na madereva wake wamekwama kwenye mpaka wa Kalumbesa. Balozi wa Tanzania nchini Kongo, Said Mshana amethibitisha...
  2. Vincenzo Jr

    Kununua malaya kulitaka kunitoa roho DR Congo

    Aloo mademu wa congo DRC wanajua kukatikia bwana ila ni wachawi balaa hivi unapajua Kasumbalesa ? Wewe mwezi wa kwanza mwaka huu nilipita hapo ila yaliyonikuta sisahau hadi naingia kaburini. Nilikutana na demu mzuri Mwasi kitoko kama malaika kumbe ni mchawi na tapeli. Baada ya maelewano ya...
  3. S

    Mkutano wa G20 Waunga Mkono Kujengwa Reli ya Kutoka DRC na Zambia Mpaka Angola

    Reli Hiyo ni maalumu kubeba mizigo hasa madini kuitoa mkoa wa Katanga DR Congo na mkoa wa Copper Belt Zambia na kuipeleka bandari ya Lobito Angola. ===== African Union now a permanent G20 member The G20 welcomed the African Union as a member at their annual summit Saturday. There was...
  4. JanguKamaJangu

    Makatibu Wakuu SADC wakutana kwa dharura kujadili hali ya ulinzi na usalama DRC

    Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Kamati ya Utatu ya Makatibu Wakuu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa...
  5. C

    Tanzania na DRC ndiyo nchi zinazoongoza katika fursa ya kufanya biashara

    Ukiwa medium bussinesa man au small scale bussiness man ukishindwa kufanikisha ujasiliamali wako DRC au Tanzania usipoteze mda kuenda Kenya S.Sudan, Rwanda au Uganda. Kwa uzoefu wangu ni mezuru nchi zote za kanda hi ya Africa mashariki na kati kwenye nyanja ya biashara ila naona bado Tz na DRC...
  6. Mukulu wa Bakulu

    Afrika Kusini na Congo DRC zasaini mkataba wa ujenzi wa bwawa la Umeme la Megawati elfu 70 mto Congo

    Nchi za Afrika Kusini na Congo DRC zimetiliana saini ya mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa bwawa la umeme la Megawati elfu 70 ama GW 70 katika maporomoko ya mto Congo. Mradi huo unaoitwa Grand Inga Dam Project uko mto Congo na unakadiriwa kugharimu Dola Bilioni 80 hadi kukamilika kwake na...
  7. Dr Matola PhD

    FT: Fiston Mayele anawainua Wacongo hapa, Gabon 0 DRC 2

    Sasa takwimu za Mayele zinahamia National team, anaifungia Congo goli la pili, goli kama hili linapatika Uefa tu na world Cup. Game is on.
  8. Jidu La Mabambasi

    DR Congo, kubwa jinga linalokula mayenu tu bila aibu!

    Nchi ya Congo na uongozi wake wanatutia aibu Afrika. Kwa miaka nenda rudi wamejitawala lakini wana mindset ya kufanyiwa mambo yote na wau wengine. Sasa hivi wanasumbuliwa na M23, lakini wao wanaona kulitatua tatizo ni kuwaite watu wa nchi nyingine wawatatulie tatizo hilo. Huo ni ukubwa jinga...
  9. Lububi

    Nikumbushen: Show ya Wanamuziki wa Dansi wa DRC na Tanzania kusherehekea uhuru wao ni lini na wapi Dar?

    nawasalimia kwa jina la Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo. Nisiwachoshe. maana tayar mna uchovu wa mpambano wa kitaifa kati ya serkali na kanuni ngumu za kodi vs wafanyabiashara wanaokwepa kodi kwa kuuzia mizigo stoo bila risit. Niliona kwenye tv maandalizi ya show kubwa ya dansi...
  10. Geza Ulole

    KDF is now collecting taxes in eastern DRC

    EACRF struggles with a belligerent host already seeking Plan B SATURDAY MAY 13 2023 EACRF AND SADC SOLDIERS Graphic illustration of soldiers entering and exiting doors. PHOTO | NMG Summary The SADC deployment will have to get a nod from the AU. SADC wants a more coordinated approach...
  11. Z

    Kinachosumbua DRC ni ukabila, wizi, kukosa uzalendo na umoja wa kitaifa

    Kinachosumbua DRC ni ukabila wizi kukosa uzalendo na umoja wa kitaifa. 1. Ukabila: Pale DRC Kuna kabila la wanyamulenge.Hawa ni watusi asili Yao kutoka Rwanda, Uganda na Burundi. Kwa asili watusi hawapendi kutawaliwa, kwahiyo wamekuwa wakitafuta msaada kutoka kwa ndugu zao wa Rwanda na Uganda...
  12. Wakili wa shetani

    Tumeenda kuwasaidia Rwanda na DRC waliopigwa na Mafuriko?

    Wema unaanzia nyumbani. Hapa EA tumekumbwa na majanga huko Rwanda na East DRC. Watu wamepoteza maisha na makazi. Tumepeleka msaada wowote?
  13. B

    Benki ya CRDB yapata leseni kufanya biashara Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)

    Kinshasa DRC 2 Mei 2023 – Benki Kuu ya Congo (BCC) imeipatia leseni ya kufungua kampuni tanzu nchini humo Benki ya CRDB. Leseni hiyo imekabidhiwa leo katika mkutano maalum kati ya BCC na ujumbe wa Benki ya CRDB ulioongozwa na Afisa Mkuu wa Fedha wa Kundi, Fredrick Nshekanabo. Akikabidhi leseni...
  14. Jidu La Mabambasi

    Generali wa Kenya akimbia uwanja wa vita Goma, DRC

    Ni jambo a kuchekesha na kusikitisha. General Jeff Mungai Nyagah wa KDF(Kenya Defence Forces) ameukimbia uwanja wa vita huko Goma, DRC. Sababu zilizotolewa ni kudharauliwa na maisha yake kuwa hatarini. Gen Nyagah alkuwa kamanda wa EACRF East African Community Regional Force iliyotakiwa...
  15. Proved

    Head of East African peacekeeping force in DRC resigns, citing harrassment

    Head of East African peacekeeping force in DRC resigns, citing harrassment By Rédaction Africanews with AFP Last updated: 28/04/2023 Major General Jeff Nyagah - Copyright © africanews cleared The Kenyan commander of the East African Community Regional Force deployed to halt the advance of an...
  16. MK254

    Wakenya sita washtakiwa kulipua mabomu DRC kisa dini

    Jameni huu uzombi wa kidini hunishangaza sana, Mwafrika unaingiwa na uzombi unakwenda kwenye nchi ya Mwafrika mwenzako na kulipuka mabomu huko. Yaani hata ndugu wa damu akishaingia kwenye hii dini inabidi kumsahau kabisa ndio keshamezwa, unatakiwa kuwa makini naye muda wote.....Sijui kitu gani...
  17. JanguKamaJangu

    UN: Raia 150 wauawa nchini DRC katika mapigano wiki mbili zilizopita

    Mapigano katika jimbo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo la Ituri yalisababisha vifo vya zaidi ya raia 150 katika wiki mbili zilizopita, Umoja wa mataifa ulisema Jumanne. Jimbo la Ituri na jimbo jirani yake la kusini la Kivu Kaskazini zimekumbwa na ongezeko la machafuko kati ya...
  18. benzemah

    Rais Samia apokea ujumbe maalum wa Rais wa DRC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, uliowasilishwa na Mjumbe Maalum Profesa Serge Tshibangu Ikulu Chamwino-Dodoma Aprili 17, 2023. Wanajamvi naamini hii ni “move” nzuri...
  19. MK254

    Magaidi 20 wa kidini wa ADF (Islamic state) wauawa DRC

    Hawakusubiriwa wamalize mfungo wa ramadhani kabla kuwahishwa mbele za haki... In an operation that saw the joint forces make a surprise attack on an ADF camp in the thick forests South West of River Lusulubi Near River Semuliki -Rwenzori Sector, 20 rebels were put out of action whereas one UPDF...
  20. M

    Timu za DRC ziko hoi taabani: TP Mazembe inashika mkia kwenye kundi lake huko shirikisho na Vita inashika mkia kwenye kundi lake caf champions!

    Sijui timu za DRC zimekumbwa na nini, zote ziko hoi taabani zikivuta mkia kwenye makundi yake!! Hakuna cha TP Mazembe wala Vita!! Hata zikikutana na Ihefu zitaambulia kipigo cha mbwa mwizi!!
Back
Top Bottom