Hivi hawa waarabu hawajui kuwa wanyarwanda (hasa watutsi) ni watu wenye akili kubwa kuliko wote huku Africa? Hawajui wanyarwanda ni wayahudi weusi waliopotea njia kutokea Israeli? Sasa inakuwaje wanabania VISA wanyarwanda halafu manchi ya ajabu ajabu kama Tanzania yanapeta? Yaani Super Power...
Wakati dunia tuko mwaka 2022, Dubai wanataka kutonyesha kuwa wao wako mbele ya muda, wanaishi ‘future’ yetu.
Wataalamu wa mambo wanasema Dubai ni kama tayari wanaishi mwaka 3000, kwa maana Dubai wako mbele yetu kwa miaka 978.
Hivi karibuni Dubai wametangaza mpango kuwa, pale lilipo jengo...
Habari ya jioni wakuu. Ninaulizia ofisi tajwa hapo juu kama kuna ambaye ana taarifa zao ama alishawahi kuwatumia.
Wanadai kuwa guwa wanafanya usafirishaji wa vifurushi kayi ya Dubai na Dar es salaam. Nafaka kujua kama kuna anayejua mahali ofisi zao zilipo hapa Dar. Naomba kama kuna taarifa...
Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) unalenga kutambulika kama moja ya Nchi zenye Ubunifu wa Hali ya Juu zaidi duniani, na hilo kimekuwa likidhihirishwa kupitia Majengo yake ya kuvutia
Hoteli ya Kitalii ya 'Moon Dubai' inatarajiwa kugharimu Dola Bilioni 5 (Tsh. 11,585,000,000,000). Itakuwa na urefu...
Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.
Habari za asubuhi mabibi na mabwana
Ningependa kupata ushauri kwenu
Kwa mtu aliyejipanga kufungua biashara ya spare used za magari kutoka Dubai kwa mkoa wa Dodoma
bei
camera
cover
dubai
free
from
galaxy
google
google pixel
hot
huawei
infinix
iphone
iphone 11
iphone x
kali
laini
mbili
mtandao
note
note 9
offer
oppo
pro
ram
redmi
samsung
samsung galaxy
sana
sony
spark
tecno
used
Ni wazi Ticts hana chake tena bandarini na hii ni baada ya kampuni ya waarabu wa Dubai Port kufanikiwa kuwashawishi watawala ili wawape Mkataba wa kushusha na kupakia makasha shughuli ambayo Ticts walikuwa wanaifanya hapo awali.
NB: Ile picha ya mama pale Burj inaendelea kulipa.
Habarini wakuu
Nahitaji kwenda Dubai kununua accessories za simu hivyo ninaomba Kwa mtu mwenye uzoefu aweze kunipa mwongozo na connection kufanikisha Hilo
Natanguliza shukurani:-
Wakuu kwenye misele yangu Dubai Mimi sio mfanyabiashara wa simu ila nimezikuta hizi simu OPPO A 57 bei zake imenivutia nizibebe kadhaa kupatia uchakavu bongo, je ubora wa hizi simu ukoje? Nisije kwenda kuwauzia watu simu Bomu nikaitwa tapeli, binafsi Mimi sizijui simu hizi.
Mzuka wanajamvi!
Hali ya kiuchumi Urusi ni mbaya. Zaidi ya mamilionea elfu 15 pamoja na wafanyabiashara wanatoroka Urusi nakuhamia Dubai na Uturuki.
Dubai na Uturuki zimefaidika sana kwa wimbi la hawa mamilionea wa kirusi ambao wamehamishia hela zao huko.
Mamilionea hao wanatoroka Urusi...
Tarehe 30 mwezi Mei, 2022, huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), kuna mgahawa ambao hutoa vitafunio, keki na vyakula vingine kwa mbwa wanaofugwa.
Wamiliki wa mbwa hupeleka wanyama wao vipenzi na kufurahia chai ya alasiri.
Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum.
Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo.
Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu.
Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.
Takwimu toka Idara ya Utalii Dubai unaonyesha kwa mwaka 2019 tu Jiji la Dubai pekee lilipokea watalii yapata milioni 16.
SWALI: wao walifanya Movie ya Royal tour lini?
Wanabodi,
Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", na Leo ni kuhusu uzalendo wa kujitolea kuisaidia serikali yako na nchi yako, pale unapoona imeshindwa na inahitaji msaada, je tutaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?.
Hili ni bandiko la kuisaidia serikali yetu kuhusu...
Leo wa mbunge Mkinga, Dastan Kitandula ameuliza bungeni kuhusu jiwe la Tanzania linalopigwa mnada Dubai, Uarabuni. Naibu waziri wa madini amesema nao waliona mtandaoni na wanafatilia.
=====
Dansatan Kitandula: Mheshimiwa spika, jiwe la ruby lenye uzito wa kilo 2.8 lipo kwenye maonesho kwasasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.