Zipo tetesi pale mjengoni ugogoni wao kwa wao wameanza kufichuana wakidai wana kamati wote waliotembelea kule DP walikabidhiwa hati za nyumba za kisasa zenye umiliki wao.
Wale wawili waongeaji zaidi waliahidiwa makubwa zaidi na kinara kwa kuropoka yeye pamoja kuahidiwa nyongeza alihongwa pia VX...
Tarehe 5 Juni 2023, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitoa Taarifa kwa Umma kuhusu mwaliko wa Wadau wote kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge la mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania a Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa Kiuchumi na...
bandari
chadema
dar
dar es salaam
dp world
dubai
kampeni
kampuni
kuendesha
kuuzwa
miaka
miaka 100
serikali
taarifa
tanzania
tpa
uendeshaji
upotoshaji
wahuni
waongo
world
yakanusha
Sasa naanza kuamini aliyekuwa waziri wa miundombinu Dkt. Chamliho alitenguliwa makusudi ili mwenye mamlaka aweke mtu atakaye mmudu ili iwe rahisi kufanya hayo ya waarabu.
Duru zinadai Dkt. Chamliho alivimbisha shingo kwa kumkatalia bi tozo kuhusu mkataba ule mwanzoni kabisa kuwa haufahi na...
Awali ya yote natumai umzima wa Afya popote ulipo Rais pia nikupe pole Kwa majukumu ya kulitumikia Taifa hili letu pendwa ambalo lina changamoto lukuki!
Rais naomba niende moja Kwa moja kwenye hoja ambayo imezua maswali pasi na majibu siku mbili hizi juu ya mjadala "Tata' kuhusu Serikali yetu...
Baada ya mashauriano ya viongozi waku waliopo safarini nje ya nchi Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe, Makamu Mwenvekiti Bara Mheshimiwa Tundu Lissu a Katibu Mkuu Mheshimiwa John Mnyika kwamba, kwa sababu ya unyeti na uharaka wa suala hili la makubaliano kati ya Tanzania na...
MPINA AILIPUA VIKALI SERIKALI, "NI HATARI SANA KWA TAIFA, NAWASHINIKIZA TUSIKUBALI HII"
Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari?
Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa.
Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana...
Habari wakuu,
Najaribu kutafuta biashara salama ya kufanya ambayo itanipa Mzunguko Mzuri.
Nimefikiria kuhusu biashara ya used simu kutoka Dubai / Europe , changamoto ni sina experience na sijui naanzia Wapi .
Nahitaji Msaada kujua soko likoje na upatikanaji wa bidhaa zake !
Au kama kuna...
Habari Ndugu Zangu
Nataka Kufanya Biashara ya Simu used Kutoka Dubai, Naomba msaada wa vitu vifuatavyo.
1. Jinsi ya kupata connection ya kuagiza vitu hivyo Kutoka Dubai
2. Mtaji unaohitajika (Kima Cha chini ya Mtaji)
3. Je, Biashara hii Ina Faida nzuri?
Tangia majuzi account ya Twitter ya Tanzania Leak's ilikuwa ikitoa raarifa juu ya Rais kwenda mapumziko ya Pasaka Dubai, taarifa hazikupewa uzito mkubwa ila leo hii ndege ya Rais wa Tanzania Gulfstream G550 yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kwenye mtandao wa Flight Radar ikitokea na Dubai na...
Bwana Steve Ndaula ni kijana mdogo ambae alianzisha kampuni ya upatu/pyramid scheme ya Bestways Capital Management ambayo imewatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 na kisha akakimbilia Dubai.
Steve alisoma chuo cha IMTU fani ya Udaktari kuanzia mwaka 2012 hadi 2017.
Mwaka 2016, mwaka mmoja...
Habari zenu wadau. Naamini mpo vyema. Nahitaji mtu wa kushirikiana nae kibiashara nipo Zanzibar. Nahitaji baibui za mtumba ndo biashara ambayo nna expirience nayo coz niliwahi kufanya na mtu kabla lakini baadae alisafiri na alowaachia hawakuwa na mashirikiano mazuri na mtaji wangu ulikuwa...
Musharraf ambaye alishiriki katika mapinduzi ya kijeshi kwenye Taifa lake Mwaka 1999 amefariki akiwa na umri wa miaka 79, Dubai alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Aliiongoza Nchi yake Mwaka 2001 hadi 2008 akiwa na rekodi ya kunusurika kuuawa mara kadhaa akiwa...
Licha ya Wadau wa Burudani kufurahia #Beyoncé kurejea jukwaani baada Miaka 5, baadhi wameoneshwa kutofurahishwa na Nyota huyo kutumbuiza katika Nchi yenye Sheria kali dhidi ya Wapenzi ya Jinsia Moja
Baadhi ya Mashabiki wake wamedai kuwa Beyonce ni Mshirika wa Jamii ya LGBTQI, na kitendo hicho...
Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B.
Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
Habari.....
Simba baada ya kutolewa kwenye michuano ya Mapinduzi wakapanga safari ya Dubai. Hii safari ipo kisanii sana, kiukweli kutokana na ufinyu wa muda sidhani kama ilikuwa sahihi kwa Simba kwenda Dubai.
Wachezaji hawana miili ya chuma kuna wasaa wanahitaji kupumzika lakini unawasafirisha...
Maasai walituma ushahidi wa ndege kubwa isiyo na alama ikitua na kuruka kutoka Pololeti
==
https://www.jamiiforums.com/threads/msigwa-hakuna-ndege-inayobeba-wanyama-mwenye-ushahidi-alete.2055025/
ILE TIMU inayosemekana Ina hali mbaya ya kipesa imeweka Kambi ya wiki moja Dubai.
Timu hiyo ambayo ilisemekana imevuliwa ubingwa wa mapinduzi kumbe ilikuwa na mipango yake ya kujiandaa na michuano ya kimataifa imeonyesha tofauti ya club kubwa na ndogo inapokuja mashindano ya kimataifa
Hii ni mojawapo ya kauli ama ushauri wa kipumbavu sana hua unatolewa humu JF magari kwa mtu anaetaka kununua gari.
Mtu anamshauri mtu anunue gari halafu spear atakua anaagiza online ama Dubai.
Watu wengi wanaokuja humu kuomba ushauri wa kununua gari mara nyingi hua ndio gari yao ya kwanza...
"Kama imewezekana kutengeneza bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga inawezekana kabisa kutoa maji Ziwa Victoria kupeleka Mbeya, Morogoro na maeneo mengine sababu ni suala la bomba tu, nimeenda Dubai nimekuta maji yana bei kuliko mafuta.
Kwanini tusitafute bomba kubwa linaloweza kutoa maji...
Dah! Leo nimekumbuka mbali sana aisee.
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nikiwa na yule msichana niliyempenda kuliko KITIMOTO ROSTI NA NDIZI MBILI (Pilipili usiweke), tulienda first date pale Dubai. Mida ya saa 5 asbh hivi tukakwea pipa Emirates hadi huko Dubai na kufika kama saa 12 jioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.