Nimekuwa najiuliza hili swali lakini bado sijapata majibu.
Huu mkataba ni baina ya sehemu mbili, The said Tanzania na DP World ya Dubai. Huku Tanzania viongozi wa nchi na CCM wanajitahidi kutotoa ukweli kuhusu huu mkataba, na wameshajiwekea uadui mkubwa na watu wanao oji uhalali wa mkataba...
Akihutumia maelfu ya wananchi wa Muleba 29.07.2023, mh Heche amesema Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na DP world hadi vijiweni.
My take: Ngoma inazidi kuwa tamu. Hakuna neno litakalo baki limestirika. Wanabaki uchi wa mnyama.
Mkataba wa usimamizi wa bandari kati ya Tanzania na kampuni ya Dubai unampa Rais Samia Suluhu na Chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukosa usingizi usiku huku upinzani ukiendeleza kampeni za kuibua hisia za kisiasa.
Na kabla ya mzunguko ujao wa uchaguzi utakaoanza mwaka ujao, Rais ambaye...
Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!
Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.
Chuma hiki hapa kimeonekana kimetua Oman jana...
Heshima kwenu wana JF.
Nimekuwa natafakari sana kwa muda sasa juu ya huu mkataba, kuna pande kama tatu hivi zinazozingana.
1: Kuna upande unaodai kuwa huu mkataba una madhaifu fulani hivyo hautakuwa na manufaa kwa taifa, na wameonesha baadhi ya vifungu vyenye makosa.
2: Kuna upande ambao...
"Kabla sijaanza kuongea kuhusu bandari,nizungumzie mambo matatu,la kwanza,mpuuzi na mpumbavu tutamkabili kwa upuuzi na upumbavu wake" Wakili Boniface Mwabukusi.
"Kabla sijaanza kuongea kuhusu bandari,nizungumzie mambo matatu,kumekuwa na tabia ya kubadili upumbavu kuwa hekima,na unapoongea...
DP
A Video Clip for DP World Foundation from Dubai Handing Over 'Futari ' Gifts to Mbeya Muslims in Tanzania
I. Abstract
Based on a rich history of treaty making in the world for the past 2000 years, we argue that, the following are the fifteen dirty tricks which were used to get the...
POLITICAL INTELLIGENCE MEMORANDUM
FROM; Mama Amon Desk
TO; Samia Suluhu Hassan, The President of Tanzania
RE: Five reasons explaining why the Republic of Tanzania has been sold to the Dubai Monarchy
WORD COUNT: 1300 Words
DATE: 22 July 2023
Dear President Samia ,
The President of Tanzania...
Baadhi ya wanasheria wanasema tujitoe kwenye IGA kwa sababu tukishindwa kutekeleza tunaweza kushitakiwa. Mwanazuoni huyu anakataa- soma:-
Intergovernmental agreements
Authors: Daryl R Williams
Abstract
Intergovernmental agreements are made by a variety of parties and in differing ways, take a...
Wajanja walikutana na wajanja wenzao...
In 2021 Kenya turned to port operator Dubai Port World (DP World) to manage Lamu Port due to a lack of capacity at the state-run Kenya Ports Authority.
It was then alleged that...
Kenya signed a deal with the Dubai government to allow Dubai Port (DP)...
Ukitazama kitu ambacho Dubai wanafanya ni mtego ambao umbumbu wa waafrika tunashindwa kukiona.
Hoja siyo kuleta mwekezaji bali umlete nani na kwa maslahi gani yanayotoka wai.
Dubai wamekamata bandari zote kwenye ukanda wa mashariki mwa Afrika, kuanzia embe ya Afrika huko Djibout maka kusini...
Moja ya jambo ambalo linafikirisha katika IGA ya Tanzania na Dubai ni sehemu ya watia sahihi!
Upande wa Serikali ya Dubai amesaini Mkurugenzi wa Bandari! Yani huu ni mkataba wa nchi na nchi anakuja kusaini Mkurugenz wa Bandari kwa niaba ya nchi yake? Mawaziri, na makatibu wakuu hamna huko...
Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
.
Kuna video nimeiona Wakenya wanalalamika kuwa serikali yao pia imesaini mkataba kisiri na DP World kucontrol bandari zote za Kenya. Kama hii ni kweli, hivi kweli kuna sababu yeyote ya kuendelea na hawa watu? Haiwezekani wachukue bandari zetu zote pamoja na za majirani zetu halafu tuwaamini kuwa...
Mh. Madeleka ametumia ibara ya 120 ya katiba ya Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga hoja kuwa The Emirate of Dubai siyo nchi na haina uwezo wa kuingia mikataba na nchi nyingine kwa sababu uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano.
Kwa bahati mbaya sana Mh. Madeleka anapotosha. Ni kweli The...
Wakili Madeleka amesema yapo mambo ambayo yanashughulikiwana muungano wa falme za Kiarabu na yapo mambo yanashughulikiwa 'individual emirate'
Madeleka ametolea mfano wa Zanzibar isivyoweza kusain mktaba na Kenya, kuchukua mkopo japokuwa inae Rais. Madeleka amesema Zanzibar haina ubalozi popote...
Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya...
Bado naendelea kujiuliza, Wanasheria wetu walilala au shinikizo la Rais lilikuwa kubwa kiasi hawakutana hata kufanya kazi kwa makini?
Nimepitia ule mkataba wa IGA kati yetu Tanzania na Serikali ya Dubai (kama wanavyodai) kiukweli sijaona sehemu yeyote Serikali ya Dubai hakuna mahala imesaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.