Washukiwa wawili walikamatwa Jumanne kufuatia wizi uliofaanyka katika duka la Imara lililopo katika Kaunti ya Vihiga, ambapo katika tukio hilo mlinzi aliuawa na mwingine aliyejeruhiwa vibaya.
Polisi wafafanua kuwa watu hao walivunja mlango wa nyuma na kisha kutumia silaha za moto kuwashambulia...
WanaJF ninaomba kwa yeyote anayejua mahali Bookshop ya vitabu vya hesabu vya A-level hapa jijini Mbeya ninaomba anijuze! Ninatafuta vitabu vya Tranter, Shayo na Backhouse
Salama wakuu? kwema? niende kwenye mada moja kwa moja.
Nafikiria kuanzisha duka la kuuza vifungashio vya bidhaa mbali mbali mfano: asali, karanga, ubuyu wengine wanawekea pilipili kiujumla wale wanaofanya biashara ya ku process na ku - pack vyakula vilivyoongezewa thamani hua wanatumia sana...
Nilipompata nilisema nimepata, huyu mwanaume tuliishi vizuri ghafla akaanza kuwa busy.
Katika kubembeleza nijue kulikoni nilinunua khanga na vitenge viende kwa mama yake kama zawadi ya sikukuu. Hiyo ndiyo siku alipofunguka kuwa haina haja kwani hatutakaa tuoane. Nililia, Sikuu ilikuwa chungu...
Msaada, ni vitu gani vinaitajika humo dukani? Kuanzia ni mtaji bei gani, na ni bora kuagiza mtandaoni au nje ya nchi? Je, ukinunua hapa hapa ndani na wewe kuuza faida zipoje?
KUNA WATU WAKIONA KATUKIO KADOGO GHAFLA WAKO HUMU
SASA VYEMA KUWAJULISHA WOTE NA HATERS WA NDEGE ZETU MKIONA FAYA INAMWAGIA NDEGE MAJI INAPOTUA SIO KAMA KUNA MOTO
NI SALUTE KWA NDEGE YETU KUIKARIBISHA NCHINI NA ILE NI ALAMA KWAMBA UKO NYUMBANI, NYUMBANI KUMNOGA
MSIKURUPUKE KUJA HUMU
KAMA MKO...
Serikali imewataka wananchi kuepuka matumizi ya dawa zinazotangazwa kupitia mitandao ya kijamii kwa kuwa hazijadhibitishwa ubora wake na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA).
Akizungumza Jijini Dodoma mara baada ya kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Waziri wa...
Kumekuwa na malumbano kuwa biashara ya duka hasa rejareja haina faida. Leo nitaleta baadhi ya bidhaa tu kupinga malumbano hayo (maana ndo ishu nnayoifanya)
Just kabla sijaanza, ukitaka kuona mafanikio ya hii biashara wewe muuzaji uwe mtaji wa kwanza. Kichwa chako kiwe mtaji dukani pia mazoea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.