Arusha. Shahidi wa tano wa Jamuhuri katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Seleman Kassim Msuya (36) ameileza mahakama kuwa akiwa nje dukani kwake alimuona Sabaya akiongoza vijana wake kati ya 11 hadi 12 kuingia dukani kwa...
Arusha. Shahidi wa tatu wa Jamhuri, Ramadhan Ayubu Rashid (26) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, jinsi mwenye duka alivyolazimishwa aseme hatoi risiti na watu waliokuwa eneo hilo, huku akimtambua aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.
Shahidi huyo ambaye ni...
Kwa mana rahisi tunaweza kufasili duka la mtandaoni kuwa ni jukwaa maalumu kwaajili ya kuuzia bidha au huduma mtandaoni. Mfano wa maduka ya mtandaoni ni Amazon, Ebay, Jumia market, na Kikuu .Bidhaa unazoweza kuzifungulia duka mtandao ni, vitabu, vifaa umeme, mavazi na kadhalika. Zipo faida...
Habari za Mchana wadau.
Msaada wenu, nina milioni15 niko Dar es salaam nataka kuanzisha duka la kuuza vifaa vya umeme pamoja na plumbing naomba kujua vifaa gani vinatoka sana pamoja na changamoto za hii biashara.
Habari wadau..!
Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa.
Hakika majaribu ni mtaji, Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe😂😂😂
Habari wadau.
Kwa Dar es Salaam wapi naweza kupata duka la viatu vya mtumba bei ya kati. Mimi sio mdosi. Bei zake range kuanzia 30K mpaka 80K.
Mtumba OG kabisa.
Naomba kuwasilisha.
Mke wangu ni mhitimu wa diploma ya maabara.
Nataka kumfungulia duka la Kuuza Chemical reagents za hospital na viwandani.
Naomba ushauri wenu taratibu za awali kabla sijafungua
Habari za muda huu, kuna jamaa yangu ni masonry yaani fundi uashi. Amejikusanya kwa muda mrefu amefanikiwa kukusanya kiasi cha pesa shilingi 5m, amepanga kufungua biashara ya duka la rejareja ili aachane na hii kazi ya masonry uashi ili aweze kuisimamia biashara yake mwenyewe.
Je, hii biashara...
Habari zenu, Nifahamisheni duka zuri hapa Dar zinapouzwa Iphone 12 nzuri na za uhakika (yasiwe maduka ya makanjanja nsije kupigwa feki). Natanguliza shukrani
Habari wana JF,
Samahani katika harakati za kujikwamua kimaisha nimepanga nifungue biashara ya duka la bidhaa za nyumbani kama vile viduka vyetu vya mtaani vya mangi.
Kwa ambaye amewahi kufanya hii biashara anisaidie ushauri, natakiwa niwe na mtaji kama shilingi ngapi? Na gharama za leseni ya...
Mfanyakazi wa kuuza duka la viatu, rasta na vitu vingine anahitajika.
Majukumu:
Atauza vitu vya dukani na kupiga mahesabu ya dukani ya kila siku na kuchukua maoni ya wateja na kupendekeza nini wateja wanahitaji.
Kituo cha kazi/duka lilipo: Mkonze, Dodoma
Jinsia: awe mwanamke /msichana
Umri...
Salam kwenu, wakuu. Naomba kujua mahali ambapo naweza kuuza lulu aina ya "akoya" kwa Dar es salaam, duka lilipo, ili nipate kufika kufanya biashara. Naomba msaada wa anwani yao.
Endapo kuna mtu anahitaji naye anaweza kununua.
Nafasi ya kazi kuuza duka la vifaa vya TEHAMA:
Kituo cha kazi: Arusha mjini
Mwisho wa kupokea maombi: 14 May 2021
Taarifa kuhusu kazi:
Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA (Computer networking accessories).
Kazi za kufanya:
• Kuuza vifaa vya data kwa wateja watakaofika...
Jamani kwema leo nikuja kitofauti kabisa.
Mimi ninapenda kufanya biashara, sijaajiriwa ila nimejiajri kupitia taaluma yangu(...) Lakini pia nina biashara ndogo ya duka lengo nikubusti maisha.
Sasa imekuwa mwanzoni nikifungua biashara mpya huwa inalipa sana yaani utauza juu kweli lakini baada...
Hello JF,
Moja kwa moja kwenye bandiko
Mimi ni mmoja wa wamiliki wa Duka la Jumla kiukweli hi biashara inalipa sana hasa inalipa faida ya milion 1.5 kwa mwezi kabla ya kutoa malipo ya wafanyakazi na Kodi ya pango nabaki na 600k au 700k Kama faida, kwa Duka moja.
Hivyo kutokana na biashara...
Wakuu Habari,
Wapi naweza pata duka linalouza vile vitabu vikubwa vya kuandikia Risiti za mkono kwa hapa Dar?.
Nataka kuanza biashara ndogo nahitaji hivi vitabu kwa ajili ya Risiti na kumbukumbu msaada anayejua upatikanaji.
Kuna mtoto wa mtu amejaa, anataka nimvishe pete, nimeona isiwe tabu ngoja nikate kiu yake.
Naomba kujua maduka yanayouza pete original za madini kama almasi, dhahabu, shaba ama tanzanite kwa hapa Dar es Salaam.
Bajeti yangu ni kuanzia laki 5 hadi 2M. Lakini pia naomba ushauri wa aina nzuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.