Dkt. Kigwangalla ambaye ni waziri mstaafu wa Serikali ya awamu ya 5 amesema kwa sasa amejikita kwenye ufugaji kwa kuwa ujasiriamali unalipa kuliko kitu kingine chochote.
Kigwangalla amesema kwa sasa anamiliki shamba kubwa la mifugo huko Mvomero mkoani Morogoro ambako anazalisha ng'ombe wa...
Siku moja wakati natoka lindo nikafika bar moja asubuhi nikapaki Suzuki yangu ili nipate supu. Mara mdada mmoja akaja kunisalimia na kujichekesha. Akaniuliza unanikumbuka nikasema yes. Nikamkaribisha supu akasema ameshiba. Wakati nainuka nikampa cha ten, akasema sasa tutawasiliana vipi...
Habari za muda huu mwanajukwaa.
Ninampango wa kufungua duka la dawa za mifugo pamoja na vyakula vyao. Sasa napata changamoto kuzijua sheria zinazonipasa kufuata.
Ikiwa ni lesen na vyeti je ninapaswa kuwa na lesen ya aina gani? Na cheti cha aina gani? Na je ni lazima niwe nimesomea masuala ya...
Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta ambapo vile vile dukani hapo inatolewa huduma za kiufundi.
Vigezo
Awe mkazi wa Arusha Mjini.
Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta.
Awe anajua vizuri spea za laptop na desktop na jinsi ya kubadilisha.
Awe anajua kutoa kauli nzuri...
Ndugu zangu,
Nafikiria kufungua duka la Dawa.Naomba anayejua Vigezo na Vibali vinavyohitajika anifahamishe. Vilevile naomba kufahamishwa na Dawa za Msingi na zinazouzika haraka.
Duka la Dawa ninalohitaji ni la Mtaji wa Milioni Kumi.
Naomba kwa wale wafanyabiashara wa nguo au watembeaji kama mimi mnaoweza nisaidia kujua ni wapi naweza pata duka la nguo za watoto wa kiume hasa hasa SUTI au pigo zozote za ki ofisi na ki utu uzima uzima naomba mnisaidie location.
Au kama yupo anaemjua fundi mshonaji anaeshona suti kali kali za...
Nimepata wazo la kufungua duka litakalouza vifaa vya urembo kwa wakina Dada (cosmetics) maeneo ya Mbezi ya kimara au Kibaha. Nimewaza kuweka perfume mbali mbali! Mafuta ya kupaka, lotion, sabuni za manukato, rangi za kucha.
Je nahitaji kuwa na mtaji wa kiasi gani!?
Kariakoo nitapata bidhaa kwa...
Habari ndugu zangu, nauza duka langu lililopo Tandika double kibin sokoni, duka ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukari, ngano, mafuta, sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000.
Biashara Ni nzuri Sana na ofisi ni nzuri ila mimi nahama makazi; nahamisha familia namfuata mume wangu...
Babari ndugu zangu,nauza duka langu lililopo tandika dable kibin sokoni,duka Ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukar,ngano,mafuta,sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000.
Biashara Ni nzuri Sana na ofisi Ni nzuri ila Mimi nahama makazi; nahamisha familia namfuata mume wangu.
Hutojuta...
Wakuu kwa mara nyingine tena:
Pikipiki zimeenea sana sasa hasa katika jiji letu la Dar es salaam.Hii inanifanya nione biashara ya spea za pikipiki itakuwa inalipa sana?
Sijajua upande mwingine wa shillingi. Hebu nipate mawazo yenu wakubwa.
Mna maoni gani katika hili?
Asanteni sana wakuu...
Habari za mchana kila mmoja wetu.
Poleni na majukumu.
Naomba usaidizi wenu wakuu najua huku kuna watu wa namna tofauti,wafanyabiashara wakubwa,wadogo,wakati,waajiriwa na kuendelea.
Kuna biashara mbili kati ya hizo 👆juu moja wapo naitamani kufanya lkni sina uzoefu nazo kwa upande faida na...
Habari Wakuu Heri ya jumapili!
Mimi kwangu kwa akili yangu najua ni zipo kwenye friji 🤦😂😂 lakini nikiingia napewa za moto, najua kabisa lakini nafanya kusudi,
Karibu tuichangamshe jumapili
Habarini wakuu na wale wazoefu mjini Dar, ni wapi nitapata spare parts za Toyota Noah, Corrola na RAV4 pia ningependa kujua wapi walipo mafundi wa kutengeneza Auto Transmission zinapokorofisha?
Wandugu salaam!
Kwa wenye ufahamu mzuri kuhusu biashara ya vifaa vya ushonaji, naomba maelekezo hasa kama bado ina wahitaji kwenye jamii. Maana kuna mtu ananiambia nguo za mitumba na zile special zimeharibu hii biashara.
Nawasilisha.
Hbr ndugu.
Nimeshalipa frame sehemu ambayo imechangamka na haina maduka mengi ya mtindo huo.
Naomba ushauri mtaji wangu si mkubwa sana ni vitu gani vya muhimu vinavyotoka sana ili nianze navyo?
Lakini pia ushauri wowote unao ona utanifaa ili nijikongoje mdogo mdogo.
NB
Naomba ushauri pia juu...
Sijawahi kununua friji, haya mambo ya corona sasa yananilazimisha. Naomba maelekezo, aina zipi za friji ni nzuri na naweza kupata mojawapo duka gani Kariakoo kwa bei nafuu? TZS ngapi?
Salaam!
Naomba kujulishwa aina ya vibali au leseni nitakavyohitajika kuwa navyo nikiwa nataka kuanzisha duka la kuuza mbolea hasa NPK, DAP na Urea.
Pia, nitauza na mbegu za mazao mbalimbali ila sitaweka madawa ya mifugo.
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.