Salaam wadau wa ujenzi,
Naomba kufahamu maduka ya Spanish tiles kwa hapa Dsm.
Of course najua lililopo Victoria,
Lakini ngependa kujua zaidi ili niwwze kufanya ulinganifu wa Bei,na aina tofauti tofauti ili niweze kuchagua.
Pia kama Kuna mtu anafahamu zaidi kuhusu aina nyingine na ubora za tiles...
Wengi tunapofikiria kufungua frame ya duka, unawaza mahali Pa kuweka bidhaa na dirisha la wateja kuona na kununua bidhaa. Mambo ya muhimu tusiyo yazingatia ni mahitaji ya binadamu anaehudumia duka.
Mhudumu anahitaji kula, anahitaji kwenda haja. Haya ni mambo ya muhimu kwa kila binadamu...
Ndugu watanashati,
Kuna duka la Wahindi walijitanabaisha kama wakala wa clarks—walikuwa wanauza viatu vya brand hii pale Dar es Salaam jirani na mnazi mmoja. Huwezi amini ni mahali nimeshafika lakini huwa nashindwa kupakariri(nina tatizo la kisaikolojia kuhusu kushika maeneo).
Penyewe ukitoka...
Habari;
Je una ndoto ya kumiliki DUKA la mtandaoni.Kama jibu ni Ndio basi Unaweza kutimiza ndoto yako kwa mtaji mdogo tu.
Tunatoa huduma ya kutengeneza maduka ya mtandaoni kwa gharama nafuu.
Yapo maduka ya 900,000shs,1,200,000shs 1,500,000shs,1,750,000shs na kuendelea.Haya ni maduka ambayo...
WaKuU hamjambo Aisee....mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni.
Moja Kwa moja kwenye lengo, kuna Duka Fulani huwa napenda KWENDA kununua vitu vya home mida ya jioni na mara nyingi huwa namkuta mdada MMOJA hivi white ana mwili Ila si WA ubonge maana NI mwepesi.
Anaonekana ana pesa maana...
Nahitaji kuanzisha duka la pembejeo za kilimo elimu yangu ni diploma ya social work
Naomba kuuliza je? Eti ni kweli ni lazima nipitie mafunzo mafupi ili kufungua duka la pembejeo za kilimo,
Na kama yapo je hugharimu kiasi gani cha gedha na kwa muda gani na yanapatikana wapi hayo mafunzo...
Salama ndugu zangu, kwa machinga wa karume dar es salaam poleni sana.
Nina shida na computer LAPTOP nzuri ambayo bei yake ni ya range 250,000/= (laki mbili na elfu 50) mpaka 350,000/= (laki 3 na elfu 50). pia nina shida na bettry ya computer aina ya TOSHIBA (PORTEGE R705)
Location nilipo ni...
Imagine unaishi mjini halafu unataka kuanzisha duka ambalo Lina frem tayari Ila duka Hilo linatazamana na kilabu cha pombe za kienyeji japo cha kisasa Ila wewe una mtaji wa milioni moja hebu sema utanunua vitu gani?
Ambavyo unadhani piga ua hapo lazima vinunuliwe Ila pia kuna kijiwe kikubwa cha...
Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
baada
banda
chuma
dar
dar es salaam
daressalaam
duka
fundi
godown
halali
internship
kariakoo
kazi
kazi yoyote
kibarua
kuuza
kuuza duka
maduka
mafundi
manual
msaada
natafuta
natafuta kazi
sugu
ujenzi
warehouse
Ubalozi wa Tanzania nchini China umetia saini makubaliano na kampuni ya JD.com ya China, ambapo Tanzania itaanzisha duka la kitaifa kwenye tovuti ya JD.com, na kuuza bidhaa zake bora kwa wateja wa China. Hii ni hatua nyingine ya China kuzisaidia nchi za Afrika kuongeza mauzo ya bidhaa zao nchini...
bei yake: 1.2 milioni
sehemu: ukonga, g.mboto
namba ya simu: 0764 509226
risiti yake ipo.
gharama ya usafiri ndani ya Tanzania kutoka lilipo kwenda linapoenda mnunuzi na muuzaji wanachangia nusu gharama.
Hodi wakuu!
Kama kichwa Cha habari hapo juu kilivyosema nahitaji mtu anayetaka kuuza biashara yake ya duka la dawa yaani DLDM au maabara ya afya kwa mikoa ya kanda ya ziwa.
kwa yoyote anayeuza anicheki
Natanguliza shukrani zangu kwenu
DUKA LA MAFUTA YA TAA LA MAMA MARIA NYERERE KARIAKOO NA MAGOMENI 1955
Duka la kwanza la Mama Maria Nyerere lilikuwa Mtaa wa Livingstone na Mchikichi kisha Mama Maria akafunga duka hili la Kariakoo kwa ajili ya umbali baada ya kuhamia Magomeni Maduka Sita kwa msaada wa Ali Msham aliyekuwa...
Kilicho tokea kwa wenzenu kinakuja kwenu hakuna atakaye jali
•umekopa shilingi ngapi
•una bidhaa nzuri kiasi gani
•bidhaa ulizo nazo mmiliki wake ni nani
•umedumu hapo kwa muda gani
•wala una unyonge kiasi gani
•unalipa ushuru/kodi/kitambulisho cha mjasiria mali
•wala mbunge Msukuma atakutetea...
Msichana wa kwa ajili aje auze Duka la makasha ya simu na charger nk.
Awe anaishi kwao umbali wa kutembea tu karibu na pale PALM VILLAGE Mikocheni A ili mambo ya nauli yasiwepo.
Malipo kwa mwezi ni shs.100,000/- (laki moja Tu) kwa kuanzia.
contact 0628501029
Asanteni.
Wadau Salaam!
Inaitajika Frame ya kuweka duka la vitu vya ndani (chakula na groceries) kwa jumla na lejareja, liwepo sehemu yoyote Dar yenye mkusanyiko na mzunguko mkubwa wa watu.
Mwenye tarrifa naomba ani DM.
Shukurani!
Habari, naitwa Ephraim nikijana mdogo nimetoka VETA miaka miwili nyuma natamani nifanye biashara ya kuuza VIFAA VYA umeme Maana ndio taaluma niliyosoma kwa ngazi ya cheti Na level III.
Pia Ni fundi mzuri naweza kufunga wiring ya nyumba vizuri from the scratch mpaka finishing.
Changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.