Nimeenda duka la simu kuulizia kitu fulani, mwenye duka alishakuwa maarufu ndiyo maana niliagiziwa pale, nimeshangaa sana yuko makini na Instagram, hanisikilizi. Mara ana 'screenshot' Instagram anamtumia mfanyakazi wake namuongelesha hanisikilizi.
Hivi tutafika kweli kwa mtindo huu? Kwamba duka...
Wakuu naomba kupata location ya Duka linalouza Vito vya thamani Kama pete za gold hapa Iringa. Kwani nimezunguka nakutana na masonara tu.. nami cna utaalam sana.
Maduka mengi naamini yanauza vitu vya uhakika.. Moshi, Arusha maduka yapo mengi au hapa Iringa ni kumalizana na sonaraz tu?
Habari za muda huu wadau.
Anatafutwa mtu wa kuuza duka la dawa muhimu.
SIFA
Awe na ADO
Awe mwaminifu
Awe mwadilifu
Awe na ujuzi wa kutoa dawa kwa usahihi
Sehemu ya kazi ni Sikonge - Tabora
Siku za kazi ni Jumapili - Ijumaa
Mawasiliano
0620860602
0621601703
0744200166
0764601703
Serikali imeanza uchunguzi wa ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi uliofanywa na Serikali ya Rais John Magufuli, kupitia alichoita, “Sheria ya Plea Bargain," Raia Mwema imeelezwa. Taarifa kutoka serikalini na baadhi ya watu walioswekwa magerezani na kutolewa kwa utaratibu huo, zinaeleza kuwa...
Vijana wawili wanaodaiwa kuwa ni wezi wanusurika kuuawa na wananchi, baada ya kuvamia ofisi ya michezo ya kubahatisha (Premier bet) eneo la Mwenge.
Vijana hao ambao walifika kama wateja wanahitaji huduma, walianza kumshambulia mhasibu kwa kumpiga na jiwe kichwani huku mwingine alijaribu kuvunja...
Habarini,, wakubwa heshima yenu,,, mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs,sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda, na...
Katika mji wa Yangzhou, Jiangsu, China, duka la kwanza la paka limefunguliwa rasmi. Duka hilo lina zaidi ya paka 70 wa aina mbalimbali.Wapenzi wa paka na watoto wanaweza kununua na kucheza na paka katika duka hilo.
Kamusi ya Kiingereza ya Oxford (OED) ambayo ni kamusi kubwa zaidi ya lugha ya Kiingereza imeongeza maingizo 200 mapya na yaliyosahihishwa kutoka Kiingereza cha Afrika Mashariki, ambayo kimsingi yanatumiwa nchini Kenya, Tanzania, na Uganda.
Katika taarifa yake, OED ilisema kuwa lugha ya...
Naomba kunishauri, biashara gani kati ya hizo haina complication Nahitaji kufungua biashara, akili yangu inawaza biashara tatu lakini moja tu ndo inabidi nichague kati ya hizo.
I wish niwe na biashara kabla ya mwaka huu kuisha. Moja ya biashara inayo trend kichwani mwangu ni duka la vinywaji. Yani niuze vitu vifuatavyo.
Bia
Pombe kali kama K. vant na konyagi. Soda zote +plus takeaway. Maji ya jumla na rejareja. Sigara za jumla na rejareja. Wine kidogo. Naomba wale...
Mwenza wangu nilimpa mtaji afungue biashara kwa kuwa anapenda sana urembo akaona afungue biashara ya duka la urembo, cosmetic na mavazi.
Lakini anapitia changamoto ya kukosa wateja inaweza ipite siku mteja asiingie kabisa dukani. Siku akiuza basi ni bidhaa chache tu. Duka lipo Mikocheni lina...
Kwa Tanzania hasa kwenye miji mikubwa hili limekuwa tatizo kubwa. Wafanyabiashara wadogo tena wanaoanza biashara utakuta wanatumia hela nyingi za mtaji kuwekeza kwenye mwonekano wa duka badala ya bidhaa anazouza.
Vijana wengi hasa kwenye biashara ya nguo wamejikuta wanafunga biashara zao chini...
Na Bernard Ntiyakama, BScN, TMCEHP, RN.
Mafunzo yanayomwandaa mtu kuwa Muuguzi humpa maarifa anayo yahitaji kutekeleza wajibu mbalimbali za kitaalamu ikiwemo kutoa Dawa.
Jukumu hili lanabakia kuwa salama sana mikononi mwa Muuguzi kwa sababu nyingi ikiwemo zifuatazo.
1. Anaufahamu mwili na...
Habari wadau,
Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitu vya nyumbani.
Naomba kufahamu makadirio ya mtaji, changamoto na uzuri wa biashara, na mahitaji yote ili kufungua biashara hii.
Location ni kigamboni
NB; Duka la kisasa(mfano wa mini supermarket). asanteni
Ni mara ya tatu sasa naenda kwenye duka la linalomilikiwa na serikali linalouza asali ila sijawahi kufanikiwa. Duka lipo karibia na mataa ya Chang'ombe kama unaelekea mkuki house (Dar es Salaam).
Lile duka hawapokei cash malipo ni kwa control namba, lakini hata hiyo control namba mara zote ni...
Habari wakuu!
Nahitaji kufungua duka la vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam, sasa naomba kwa anaefahamu jinsi ya kuwapata mawakala wanaosambaza vifaa vya ujenzi baada ya kuagiza toka nje ya Tanzania anisaidie namna ya kuwapata.
Au hata kama kuna namna ya kuwa naagiza vifaa hivyo toka nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.