Shame on me. Juzi nilipata mwaliko na catalogue ya duka la KENE BEI BURE nikaona suti fulani na nguo fulani nzuri sana. Nikawapigia simu kwamba leo Ijumaa saa nne asubuhi nitaenda kulipia.
Lèo nimeenda, saa nne kamili kuchukua mzigo wangu. Nikaingia kwenye shelves, nikachagua nguo nizitakazo...
Wakuu nikitaka kufungua duka Zenji na mie naishi Bara kuna utaratibu wa kufuata au naweza tu jichanganya nao nikafungua nikaendela na business.
Nataka kuweka branch Zanzibar lakini nature ya biashara yangu ni duka kubwa kama shopping center hivi.
Anahitajika msichana wakuuza Duka la vipodozi.
Vigezo:
Awe na uzoefu wa kuuza duka la vipodozi
Elimu atleast form 4, awe anajua hesabu vizuri.
Kituo cha kazi kipo Tandika Dar es Salaam.
Ambae atakua tayari anicheki PM.
Habari wakuu,
Matumaini yangu mko vizuri na wenye shida Mwenyezimungu awasaidie, Niende moja kwa moja kwenye maada.
Wakuu naomba kuuliza kuhusiana na duka la Dawa za asili au kama ilivyozoeleka Dawa za kisunna, utaratibu katika kufungua duka la namna hii,
Mtaji uanzie kiasi gani Kwa minimum...
Habari wakuu,
Nauza duka langu la vifaa vya ujenzi lililopo kibamba Dar es salaam maeneo ya Kibwegere duka linathamn ya m8. ( Milioni nane)
Mawasiliano yangu ni 0656052164.
Kutokana na kuelemewa na majukumu yanayohitaji kusafiri mara kwa mara na kushindwa kuwa na usimamizi wa karibu tumeamua kuuza biashara yetu ya duka la nguo.
Kama unataka kuingia kwenye biashara hiyo kwa mtaji wa angalau sh milioni nne njoo chukua duka lililo tayari uanze mara moja.
Kwa...
Sifa za mwombaji
1. Kijana anayejituma
2. Anayejua kuandika na kusoma
3. Mkazi wa kigamboni
4. Atakayeweza kufanya kazi kwa siku sita za wiki
5. Mwenye mdhamini aliyemkazi wa kigamboni na awe na mali isiyohamishika
6. Mwenye kitambulisho cha NIDA
TUWASILIANE HAPA KWANZA*
Hellow members,leo jioni angu haijawa powa sana baada ya kufukuzwa na mwanamama mmoja mmiliki wa duka la viungo pale kariakoo akidai kuwa mimi namchunguza.
Ilikuwa hivi mida ya saa saba mchana leo kuna mteja wangu mmoja hivi kutoka mkoa x kanipigia kuwa anataka viungo vifuatavyo kwa bei ya...
Nina laani kitendo cha Wafanyakazi wa TRA kuvamia Duka na Stoo usiku wa mane na kuvunja milango kisha kuondoka na mali walizodai ni Magendo bila mwenye duka kuwepo.
Kitendo hicho kimesababisha Wafanyabiashara wa soko la Manispaa ya Tabora kufunga maduka kama sehemu ya mgomo baada ya...
2015 Nilipomaliza form 6 nilipata binti anauza duka tukaweza kuanzisha mahusiano na muda ukiruhusu nilikuwa namvusha kwao nampeleka geto kumchakata, baada ya wiki alianza kuleta ujuaji + vizinga, nakumbuka alikuwa anatuma sana mesej kuniponda na kunifananisha na wenye uwezo, n.k. tuliachana...
Ni mwaka sasa niko Mbeya, huyu jamaa anajiita vunjabei alifunggua duka lake hapa Sido mbeya kwa mbwembwe lakini naamini hauzi hata laki mbili kwa siku maana hakuna wateja kabisa pale.
Nikipita maeneo yale ya sido naona wafanyakazi wake wamekaa nje tu wamejishika tama.
Tatizo nini wakuu?
Wakuu habarini,
Nahitaji kufungua duka la vinywaji kama bia, soda, pombe kali baadhi, maji na sigara la rejareja sio kuubwa bali la kawaida tu, naomba muongozo wa wanaofanya hii kwamba naweza anza na kiasi gan, pia mahitaji ni yapi, na kibali chake vipi?
Karibuni kwa mawazo
Majukumu yako
Kuuza bidhaa dukani
Usafi wa ofisi wakati wote
Kuendelea na Mpesa na Tigo Pesa
Mshahara
200,000 kwa mwezi
Ofisi itatoa Mlo wa mchana
Ofisi itatoa malazi (sehemu ya kuishi) kwa anaetokea Mkoani Wakati wote atakapokuwa mfanyakazi.
ELIMU
Uwe umefika Chuo chochote
Usikie na kuelewa...
Habari zenu. Kama ambavyo nimeandika juu naulizia jwa Dar duka gani wanauza vioo vipya sio used vya magari mfani mi nikitaka badilisha vioo vya gari yangu Nissan tilda ya 2010 vioo vinaweza patikana? Vioo vipya
Wanajamvi habarini za asubuhi,
Nilifunga mkataba na muuza duka wangu kwa ajili ya kazi ya duka langu.
Mkataba tuliufunga kwa mtendaji wa kijiji tarehe 7.1.2020.
Mkataba ulikuwa na mashahidi upande wake na mimi.
Pia alidhaminiwa na mtu mmoja mwenye mali zisizohamishika.
Tulikubaliana nitakuwa...
Habari.
Mi mwenzenu sijui nikoje haya maimani ya ajabu ajabu yananipa shida sana huku duniani yaani huwa hata siwazagi haya mambo.
Sàsa mimi nina ela yangu msimbazi safi nahitaji kitu kwenye duka chenji hana na mimi kutembea na hela ndogo ndogo siwezi namwambia mwenye duka nasi nipe bidhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.