Hey, wapendwa
4M inatosha kufungua grocery?
Kama inatosha je vitu gani muhimu?
Na yenyewe inatakiwa kuwa na Vibali au unaweza kufungua kama duka la mangi?
Nafikiria kwenda field ili nipate uzoefu
Yaani niombe kazi hizo sehemu zinazouza pombe, sijuh ni grocery au ni bar.
Ili niweze kufahamu...
Ni tarehe 12 mwezi wa nane,
Je una duka la vifaa vya ujenzi?
Ulishawahi kukopwa mzigo mkubwa na mtu,kikundi cha watu,au taasisi?
Vipi ulilipwa kwa wakati?
Na wakati unadai pesa yako,ilikuwaje?
Natamani hata nifunge duka nibadilishe biashara maana nimechoka kudai, Halafu sipewi majibu...
Nahitaji mfanyakazi wa kuuza dukani
Duka dogo kabisa la REJA reja
Awe mwanamke
Umri kati ya miaka 15 na 23
Atalala hapo hapo
Mshahara 90,000
Anahitajika haraka sana (0655 489 483
Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu.
Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza.
Naomba...
Habirini wana JF, kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM, asanteni
Habirini wana JF,kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM
Asanteni
Wakuu Nijuzeni
Nahitaji kufungua duka la vifaa vya maabara.
Pia nahitaji washirika ambao naweza nikawa nachukua mizigo kwao au nashauriana nao.
Kama una picha ya duka pia naweza kuona maana sijawahi yaona kabisa
Kuna vijana unawaweka dukani unaona kabisa uwepo wao ndio unachangamsha biashara kuanzia kutafuta wateja, ku negotiate, kutangaza biashara, kazoeleka na wateja, n.k. yaani wewe kila ukienda kufunga hesabu unakuta daftari la mauzo linameremeta.
Sasa kijana kaiba lets say elf 5 au 10 kwenye kila...
ELITE BOOKSHOP SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR
Siwezi kupita duka la vitabu bila kuingia ndani.
Achilia mbali kuwa Elite ndiyo wachapaji wa kitabu changu cha watoto, "The School Trip to Zanzibar," kitabu kinachotumika kusomesha Kiingereza na wakati huo huo mwanafunzi anajifundisha historia...
Habari wana JF husika na mada tajwa hapo juu'
Mimi ni kijana wa miaka 23 baada ya kupambana na vibarua nimejikusanya mpaka nimepata milioni 7 ambapo nilitoa milioni tatu nikanunua kiwanja milioni moja nikaweka dharura ya kiafya pamoja na kodi za nyumba wakati mapambano yanaendelea hivyo...
Habari ya leo wanajf!
Nina imani mko salama salimini! Ninaomba mnisaidie namna nzuri ya kuijua faida ya kwenye duka! Ninaomba mfikirie pia hali hii kuwa vitu ndani ya duka kila kimoja kina faida tofauti na kingine na huisha dukani tofauti na kingine.
Msaada tafadhali
Peace,
Wakuu kwa hapo je Moro kuna maduka ya vifaa vya mazoezi nahitaji kumnunulia mtu vifaa basic kwa ajili ya home workout kama vile bench press, dambells na tredmil.
Mimi niko Mwanza maduka hapa ni mengi hata Dar pia maduka ni mengi sana changamoto kusafirisha vifaa vya mazoezi ni gharama...
1. kijana wa kuuza duka ambae kashinikizwa na wazazi/ ndugu, hawa mara nyingi wamekubali kazi kwa msukumo tu kishingo upande, ni ngumu kufanya kazi kwa kujitoa
2. Ndugu wa mke - hakikisha wanakaa mbali sana na biashara, ni watu wanaoweza kuvuruga biashara na hata ndoa yako.
3. Rafiki yako...
Mafundi simu wanasema pamoja na ufundi ni 45 mpaka 55 elfu.... Sasa me nataka nijue gharama ya kioo chenyewe ili ikiwezekana nibadishe mwenyewe hicho kioo!
Mojawapo ya kosa kubwa sana la kiufundi kwa vijana wengi wadogo wanaoanza biashara ni kuwekeza pesa nyingi kwenye vitu ambavyo havirudishi pesa kwa haraka au pengine havirudishi kabisa. Vijana wanafungua maduka ila wengie hawafikishi mwaka mmoja wamefunga baada ya kushindwa biashara.
Vijana...
Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza Duka la nguo za Kike(Magauni na Jeans) linauzwa. Nimepata scholarship inabidi nikasome sasa sina wa kumuachia naitaji kuliuza.
Kuna magauni ya kike kama 70, Tshirt kama 15. Na jeans kama 150. kuna feni mbili, Kioo, Kabati la jeans, na...
Habari wana JF,
Natafuta duka la dawa linalo uzwa
Ambalo lina kila kitu.
Location iwe center kidogo ambapo kuna mzunguko wa biashara.
Mkoa ni Mbeya pamoja na Songwe.
Mawasiliano;0757915171
Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/4/2024)
🔹 Awe amemaliza kidato cha 4 au zaidi.
🔸ANAEJUA HESABU.
🔹Umri miaka 25 au zaidi.
🔸AWE ANAISHI MADALE, WAZO, KULANGWA, TEGETA au maeneo mengine jirani.
MWENYE UZOEFU ATAPEWA KIPAUMBELE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.