Ni tarehe 12 mwezi wa nane,
Je una duka la vifaa vya ujenzi?
Ulishawahi kukopwa mzigo mkubwa na mtu,kikundi cha watu,au taasisi?
Vipi ulilipwa kwa wakati?
Na wakati unadai pesa yako,ilikuwaje?
Natamani hata nifunge duka nibadilishe biashara maana nimechoka kudai, Halafu sipewi majibu...