Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Duka la nguo za kiume linauzwa maeneo ya Ukonga, Lina kioo kabati za kisasa za viatu, na kodi ya miezi 4 imebaki, display board za rangi za kuwekeza viatu, meza ya kioo, pamoja na mzigo wa nguo.
Mawasiliano zaidi 0656909474.